Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No!Tumpe muda
Halafu tume yenyewe wakiwemo wakurugenzi wa halmashauri kama wafanyakazi wa tume wa muda haishitakiwi popote pale hata kwenye mahakama ya rufaa 😢Kumbuka Mahera bado kashikilia tume na inaelekea bado wanamtaka aendelee na cheo chake ..... Imani itaanza kunirudi kidogo siku Mahera akiondoka kwenye hiyo position.
Ni mawazo ya Kimaskini sana kujenga uvhumi wako kwa kutegemea ada ya matembezi ya Wageni. Wanaofanya hivyo ni wale ambao hawana Rasilimali nyingine kama tulizo nazo. Uliona wale wote wanaotegemea ada za kutembelewa walikumbwa na nini kiuchumi wakati wa Covid?Hili linaitwa dua la kuku, hivi tunavyoandika huko Songwe imetua ndege kubwa kama zile zinazotua KIA kila siku.
Nchi imefungua na itazidi kufunguka, haya malalamiko mnayoyaandika ni kama vile upeo ni zero kabisa.
Utalii huko kaskazini magari yote ya kupeleka wazungu maporini kwa sasa yapo kazini.
Pole sana, hiki kilio chako kwa sasa ni cha dunia nzima. Hakuna mahali ambapo hakipo. Kuwa mpole tu, vumilia ukijua kuwa kuna kesho na kesho kutwa.KWa Iyo Kama angekuepo bado tozo zilikua hazikwepeki? Maana kama alikua anakopa bado na nyie mnakopa tena KWa speed ya ajabu huku mkisema nchi imefungua
Lakini ukiachiwa uridhi unaenda tu bila kufanya analysis jinsi GANI ya kudumisha huo uridhi na bila kuleta madhara katika familia ? Maana elieondoka alikua na mtazamo,fikra, mawazo flani jinsi ataendesha mali zake ,ambazo haziwezi kufanana na zako, KWa maana Iyo huwezi kuumiza wananchi kisa eti Miradi aliacha Bwana yule, ni vyema ukaifanya katika maono YAKO mwenyewe bila kuumiza watu, na sio lazima yate kuisha katika kipindi Chako,
Ipo miradi alianzisha baba wa Taifa akaimalizia Mzee Mwinyi, na yake pia mingine alimalizia Mzee Mkapa, naye yake ,akamulizia mzee Kikwete,
Tumefika hapa katika kipindi Cha miaka sita Cha maisha magum KWa fikra kwamba Tz inaweza kuwa Kama S.A ,or Dubei just KWa miaka kumi, umeona wapi?
Inaonekana aliyenunua hana maana isipokuwa aliyeipeleka huko Kiwanja cha Songwe MbeyaHiyo ndege ilinunuliwa chini ya utawala gani? akilini mwako umejaza kinyesi!
Wewe ndio maskini mkubwa kuliko unaodhania ni maskini. Mauritius wana uchumi mkubwa kuliko Tanzania na wanategemea utalii tu, visiwa kibao vinatuzidi kiuchumi na vinategemea utalii tu.Ni mawazo ya Kimaskini sana kujenga uvhumi wako kwa kutegemea ada ya matembezi ya Wageni. Wanaofanya hivyo ni wale ambao hawana Rasilimali nyingine kama tulizo nazo. Uliona wale wote wanaotegemea ada za kutembelewa walikumbwa na nini kiuchumi wakati wa Covid?
Wafuasi wa Sukuma gang mnatapatapa Sana tangu mkatiwe bomba la asali 😆😆..Mi sijakatiwa mrija boya wewe wala sijawahi kuwa kwenye payroll ya CCM
Inaelekea unayo shida ya kuelewa! Hebu tutajie rasimali asili za Mauritius zipatazo hata kumi kisha tuone hiyo utalii kama ndio the best. Hujui kuwa wanategemea Utalii kwa Sababu hawana Potential resources zingine. Hebu fukiria Rusia angekuwa anategemea utalii badala ya Gesi na Mafuta kipindi hiki cha Vita angekuwa mgeni wa nani?Wewe ndio maskini mkubwa kuliko unaodhania ni maskini. Mauritius wana uchumi mkubwa kuliko Tanzania na wanategemea utalii tu, visiwa kibao vinatuzidi kiuchumi na vinategemea utalii tu.
Panua ubongo wako utajifunza mengi katika dunia hii.
Ccm ni [emoji117][emoji90]Kwa hari ilivyo huku mtaani.
Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.
Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.
CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.
Ni hayo tu.
Wasiojulikana watakao tokea wakati wa mama watakuwa wabaya kama kipindi cha kikwete ukinunua hata tv unavamiwa na kuuliwa na majambazi kila kona...sasa hivi vikundi vya kigaidi vitaibuka tz ...ndipo wapumbavu wote mtamkumbuka jpmKinachomsaidia huyo mama ni kuwa ameondosha tu wasiojulikana basi....
Mengine yote ni zero
Umpe wa nini? Kwani yuko Labour Room kusema tusubirie kama njia itafunguka? Hii ni Nchi na haya ni maisha ya watu. Unapokuwa unampa muda maisha nayo unayapq muda au unayasimamisha?Tumpe muda
Kama mbadala yupo !!Au CCM kikae pembeni kabisa? haaaa
Unadhani nani anafaa ? Ndani ya Ccm au nje ya Ccm !! Pia bear in mind kwamba vita ya Ukraine imeletaa kizaazaa almost Duniani kote !! Tujaribu ku-surgest nini labda kingefanywa kingeleta unafuu Fulani kupunguza makali ya maisha kwa sasa !!! ??Huyu mama hafai
We toka ndotoni wewe usije ukakojoa kitandani bure!Wanaccm watakao mpigia kura lambda ni hao viongozi aliowateuwa. Lakini ninaoishi nao huku kitaa ni shidaaa.
Asuburi surprise la hatari, tena wa-mama ndio hawaelewi kabisa. Wanaona tu mwana mama mwenzao anavyo zingua.
Kelele nyiiiingi utadhani kweli utaingia fieldMay be ujanisoma vizuri, msimamo ni kwamba hakuna katiba hakuna uchaguzi.
That's nikasema ikiwa uchaguzi utafanyika.
Pili kuwa na katiba bado sio kigezo Cha wahuni kutoiba kura, mkakati wa kulinda kura lazima kuwapo,
Mataifa makubwa pamoja na mifumo yao mizuri ya upigaji kura bado shida ya udukuaji kura upo,hata Uingereza wamebatilisha kupiga kura KWa Hofu ya kudukuliwa kura hizo ,sembuse kwetu hapa, ambapo wizi wa kura imekua desturi na mila