Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kura zikipigwa leo, hakika anarudi zake kisiwani

Kumbuka Mahera bado kashikilia tume na inaelekea bado wanamtaka aendelee na cheo chake ..... Imani itaanza kunirudi kidogo siku Mahera akiondoka kwenye hiyo position.
Halafu tume yenyewe wakiwemo wakurugenzi wa halmashauri kama wafanyakazi wa tume wa muda haishitakiwi popote pale hata kwenye mahakama ya rufaa 😢
 
Hili linaitwa dua la kuku, hivi tunavyoandika huko Songwe imetua ndege kubwa kama zile zinazotua KIA kila siku.

Nchi imefungua na itazidi kufunguka, haya malalamiko mnayoyaandika ni kama vile upeo ni zero kabisa.

Utalii huko kaskazini magari yote ya kupeleka wazungu maporini kwa sasa yapo kazini.
Ni mawazo ya Kimaskini sana kujenga uvhumi wako kwa kutegemea ada ya matembezi ya Wageni. Wanaofanya hivyo ni wale ambao hawana Rasilimali nyingine kama tulizo nazo. Uliona wale wote wanaotegemea ada za kutembelewa walikumbwa na nini kiuchumi wakati wa Covid?
 
Hii Nchi ni Bora liende, no one cares

Yaani unaamka unakutana na Bei ya Petrol imefika 3,635 kutoka 1,800 ikiwa ni ongezeko la 105% lakini hakuna wa kulalamika.

Unakuta nondo ya 12mm imepanda kutoka 18,500 hadi 25,500 ikiwa ni ongezeko la 38% lakini hakuna wa kulalamika 🙆

Tutafika tu 🙌
 
KWa Iyo Kama angekuepo bado tozo zilikua hazikwepeki? Maana kama alikua anakopa bado na nyie mnakopa tena KWa speed ya ajabu huku mkisema nchi imefungua

Lakini ukiachiwa uridhi unaenda tu bila kufanya analysis jinsi GANI ya kudumisha huo uridhi na bila kuleta madhara katika familia ? Maana elieondoka alikua na mtazamo,fikra, mawazo flani jinsi ataendesha mali zake ,ambazo haziwezi kufanana na zako, KWa maana Iyo huwezi kuumiza wananchi kisa eti Miradi aliacha Bwana yule, ni vyema ukaifanya katika maono YAKO mwenyewe bila kuumiza watu, na sio lazima yate kuisha katika kipindi Chako,
Ipo miradi alianzisha baba wa Taifa akaimalizia Mzee Mwinyi, na yake pia mingine alimalizia Mzee Mkapa, naye yake ,akamulizia mzee Kikwete,

Tumefika hapa katika kipindi Cha miaka sita Cha maisha magum KWa fikra kwamba Tz inaweza kuwa Kama S.A ,or Dubei just KWa miaka kumi, umeona wapi?
Pole sana, hiki kilio chako kwa sasa ni cha dunia nzima. Hakuna mahali ambapo hakipo. Kuwa mpole tu, vumilia ukijua kuwa kuna kesho na kesho kutwa.
 
Ni mawazo ya Kimaskini sana kujenga uvhumi wako kwa kutegemea ada ya matembezi ya Wageni. Wanaofanya hivyo ni wale ambao hawana Rasilimali nyingine kama tulizo nazo. Uliona wale wote wanaotegemea ada za kutembelewa walikumbwa na nini kiuchumi wakati wa Covid?
Wewe ndio maskini mkubwa kuliko unaodhania ni maskini. Mauritius wana uchumi mkubwa kuliko Tanzania na wanategemea utalii tu, visiwa kibao vinatuzidi kiuchumi na vinategemea utalii tu.

Panua ubongo wako utajifunza mengi katika dunia hii.
 
Mi sijakatiwa mrija boya wewe wala sijawahi kuwa kwenye payroll ya CCM
Wafuasi wa Sukuma gang mnatapatapa Sana tangu mkatiwe bomba la asali 😆😆..

Vijana wanaenda kulambishwa asali huku 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220804-140428.png
    Screenshot_20220804-140428.png
    242.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220804-135647.png
    Screenshot_20220804-135647.png
    207.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220804-135138.png
    Screenshot_20220804-135138.png
    52.8 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220804-135040.png
    Screenshot_20220804-135040.png
    53.7 KB · Views: 3
I
Wewe ndio maskini mkubwa kuliko unaodhania ni maskini. Mauritius wana uchumi mkubwa kuliko Tanzania na wanategemea utalii tu, visiwa kibao vinatuzidi kiuchumi na vinategemea utalii tu.

Panua ubongo wako utajifunza mengi katika dunia hii.
Inaelekea unayo shida ya kuelewa! Hebu tutajie rasimali asili za Mauritius zipatazo hata kumi kisha tuone hiyo utalii kama ndio the best. Hujui kuwa wanategemea Utalii kwa Sababu hawana Potential resources zingine. Hebu fukiria Rusia angekuwa anategemea utalii badala ya Gesi na Mafuta kipindi hiki cha Vita angekuwa mgeni wa nani?
 
Kwa hari ilivyo huku mtaani.

Sioni namna anatoboa. Cha kushangaza hadi walioimba anaupiga mwingi, walioimba anaupiga hadi unamwagikia kwa sasa wako zii. Kitu kina mcost ni lack of consistence, kukosa msimamo.

Wengine wanaenda mbali hadi wanaingiza mambo ya jinsia kwenye uongozi. Alicho baki nacho ni ulinzi tu alio nao.

CCM anzeni maandalizi ya mtu mwingine.

Ni hayo tu.
Ccm ni [emoji117][emoji90]
 
Kinachomsaidia huyo mama ni kuwa ameondosha tu wasiojulikana basi....
Mengine yote ni zero
Wasiojulikana watakao tokea wakati wa mama watakuwa wabaya kama kipindi cha kikwete ukinunua hata tv unavamiwa na kuuliwa na majambazi kila kona...sasa hivi vikundi vya kigaidi vitaibuka tz ...ndipo wapumbavu wote mtamkumbuka jpm
 
Mama pumzi imekata, ilikuwa suala LA muda tu, tuna ombwe la uongozi nchii hii, yaani Hana la kujali, na haelewi afanye nini, eti alitaka kusoma PhD labda ndo hizo za kina msukuma , wewe bichwa zito halielewi Chochote Leo hii 1$ = 2355 Tanzania shillings, kila mahali Kuna shida just within one year, huyu ni Rais kweli?
 
Huyu mama hafai
Unadhani nani anafaa ? Ndani ya Ccm au nje ya Ccm !! Pia bear in mind kwamba vita ya Ukraine imeletaa kizaazaa almost Duniani kote !! Tujaribu ku-surgest nini labda kingefanywa kingeleta unafuu Fulani kupunguza makali ya maisha kwa sasa !!! ??
 
Wanaccm watakao mpigia kura lambda ni hao viongozi aliowateuwa. Lakini ninaoishi nao huku kitaa ni shidaaa.

Asuburi surprise la hatari, tena wa-mama ndio hawaelewi kabisa. Wanaona tu mwana mama mwenzao anavyo zingua.
We toka ndotoni wewe usije ukakojoa kitandani bure!
 
May be ujanisoma vizuri, msimamo ni kwamba hakuna katiba hakuna uchaguzi.
That's nikasema ikiwa uchaguzi utafanyika.
Pili kuwa na katiba bado sio kigezo Cha wahuni kutoiba kura, mkakati wa kulinda kura lazima kuwapo,
Mataifa makubwa pamoja na mifumo yao mizuri ya upigaji kura bado shida ya udukuaji kura upo,hata Uingereza wamebatilisha kupiga kura KWa Hofu ya kudukuliwa kura hizo ,sembuse kwetu hapa, ambapo wizi wa kura imekua desturi na mila
Kelele nyiiiingi utadhani kweli utaingia field
 
Back
Top Bottom