Hii ni aibu yetu Wakristo wote bila kujali madhehebu. Hivi hapa tukiambiwa tuna-support ushoga tunatokea wapi?!6. Je, wapenzi wawili wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wanaweza kuwa mashahidi wa ndoa ?
watu wenye jinsia zinazofanana wanaopendana na kuishi Pamoja wanaweza kuwa mashahidi wa ndoa za kikatoliki chini ya misingi sawa na ile inayoruhusu waumini wengine kuwa mashahidi wa ndoa.
Endeleeni kusali ili mje muende mbinguni,mimi huo upuuzi uitwao dini ni mbali kabisa na mimi.......eti Mungu akuumbe na akuchome moto tenaMimi kkkt, ila Kwa yanayoendelea duniani ninazidi kukazia msimamo wangu kua hizi dini zililetwa Kwa sababu maalumu. wanajua wao. Naamini Mungu yupo....na nitaendelea kuamini hivo ila dini hizi mhh! Swali dogo...kama Mungu ni mmoja, kwanini x aone dini ya y sio sahihi? Kwanini tunalumbana kwamba dini yangu ni Bora kuliko Yako?Israel Leo anaua hovyo wasio na hatia vitani tena makusudi na wanafurahia wazi kufanya hivo....wakristo wanaona sawa, eti Taifa la Mungu[emoji34]waislam wanateteana wao Kwa wao, wakristo wanaona haiwahusu. serious???ushetani tunaona ni sawa.[emoji24][emoji24][emoji24].....DINI ZILILETWA KUTUTENGANISHA. watenganishe uwatawale period.
Wasabato ni suala la muda tu,Ufafanuzi kidogo, shahidi wa ndoa ni nani??
Mfano sisi tunaohudhuria kanisani wakati ndoa inafungishwa kisha swali linaulizwa kuna mtu ana pingamizi au kuna shahidi wa aina nyingine
Sooner or later, utasikia na kufungisha pia tunaruhusu
Hakika kanisa la Sabato litabaki kuwa msingi mkuu wa imani ya kweli ya Kristo maana hawa wengine sasaπ
Walianza Anglikana sasa Roma, ngoja tuone walutheri na wengineo itakuwaje
Usidanganyike mkuu,Bora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........
As long as asili yake ni kwa watu weupe haliwezi kuwa salama, ni suala la muda tu.Hakika kanisa la Sabato litabaki kuwa msingi mkuu wa imani ya kweli ya Kristo maana hawa wengine sasaπ
Huo msikiti ni mtu binafsi tu kaamua kujianzishia, hatambuliki kwenye dunia ya uislam, Hawezi kuthubutu kwenda kukanyaga uarabuni atapigwa mawe mpaka afe.Usidanganyike mkuu,
Na wao wanaenda na wakati kama kawa.
Huu hapa ni msikiti wenye mrengo wa LGBTQA..
π
View: https://youtu.be/IWOp664vukE
Usitukane Biblia..Safi sana. Hapo ndipo mlipodhihirisha kuwa dini yenu ya ukatoliki ni mawakala wa shetani. Hakuna cha upadri wala usister wote ni watumishi wa lucifer mliojificha kwenye mgongo wa dini. Na bado kuna waaumini wanaendelea kuziabudu hizi dini as if wameshikiliwa akili. Ni viziwi, vipofu, hawaelewi chochote kuhusu dini yao kutokana na kukaririshwa mistari uchwara ya kwenye bibiliaView attachment 2816805
Siyo msikiti mmoja wala imam mmoja anayehusika na LGBTQ, ni wengi..Huo msikiti ni mtu binafsi tu kaamua kujianzishia, hatambuliki wala msikiti wake hautambuliki kwenye madhebu makubwa ya kiislam (washia na wasuni), ni kama kwenye ukristo kina Masanja wanavyojianzishia makanisa.