Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

6. Je, wapenzi wawili wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja wanaweza kuwa mashahidi wa ndoa ?

watu wenye jinsia zinazofanana wanaopendana na kuishi Pamoja wanaweza kuwa mashahidi wa ndoa za kikatoliki chini ya misingi sawa na ile inayoruhusu waumini wengine kuwa mashahidi wa ndoa.
Hii ni aibu yetu Wakristo wote bila kujali madhehebu. Hivi hapa tukiambiwa tuna-support ushoga tunatokea wapi?!
 
Ufafanuzi kidogo, shahidi wa ndoa ni nani??

Mfano sisi tunaohudhuria kanisani wakati ndoa inafungishwa kisha swali linaulizwa kuna mtu ana pingamizi au kuna shahidi wa aina nyingine

Sooner or later, utasikia na kufungisha pia tunaruhusu

Hakika kanisa la Sabato litabaki kuwa msingi mkuu wa imani ya kweli ya Kristo maana hawa wengine sasa😔

Walianza Anglikana sasa Roma, ngoja tuone walutheri na wengineo itakuwaje
 
Mimi kkkt, ila Kwa yanayoendelea duniani ninazidi kukazia msimamo wangu kua hizi dini zililetwa Kwa sababu maalumu. wanajua wao. Naamini Mungu yupo....na nitaendelea kuamini hivo ila dini hizi mhh! Swali dogo...kama Mungu ni mmoja, kwanini x aone dini ya y sio sahihi? Kwanini tunalumbana kwamba dini yangu ni Bora kuliko Yako?Israel Leo anaua hovyo wasio na hatia vitani tena makusudi na wanafurahia wazi kufanya hivo....wakristo wanaona sawa, eti Taifa la Mungu[emoji34]waislam wanateteana wao Kwa wao, wakristo wanaona haiwahusu. serious???ushetani tunaona ni sawa.[emoji24][emoji24][emoji24].....DINI ZILILETWA KUTUTENGANISHA. watenganishe uwatawale period.
Endeleeni kusali ili mje muende mbinguni,mimi huo upuuzi uitwao dini ni mbali kabisa na mimi.......eti Mungu akuumbe na akuchome moto tena
 
Ufafanuzi kidogo, shahidi wa ndoa ni nani??

Mfano sisi tunaohudhuria kanisani wakati ndoa inafungishwa kisha swali linaulizwa kuna mtu ana pingamizi au kuna shahidi wa aina nyingine

Sooner or later, utasikia na kufungisha pia tunaruhusu

Hakika kanisa la Sabato litabaki kuwa msingi mkuu wa imani ya kweli ya Kristo maana hawa wengine sasa😔

Walianza Anglikana sasa Roma, ngoja tuone walutheri na wengineo itakuwaje
Wasabato ni suala la muda tu,

Makao makuu yakiwa kwa watu weupe, dini haliwezi kuwa salama, asilimia kubwa ya watu weupe wanainda sana haki za mapenzi ya jinsia moja.
 
Ni aibu kuita Imani ya wakatoliki Ukristo na ni aibu kubwa sana kutambua nyumba zao za kukutania kama kanisa, ukimtazama kiongozi wao namna anavyo ongea na kufanya kazi zake unaona taswira halisi ya shetani kabisa
 
Dini ni kitu fulani hivi cha kipumbavu sana nilitemana nacho way back huko baada kuona miyeyusho tu.

Mtu anafunga Babu na Bibi zako kama mbuzi kwenye gunia huyu ndio aje kuniambia mimi habari za kipuuzi sijui kuna Mungu huko wa upendo stupid
 
Ilianza kama utani bbc kupublish kauli tata kutoka papa akisema

" wapenzi wa jinsia moja nao watoto wa Mungu"

Mwanzo ilionekana ni kama papa anazushiwa sasa naona huku tunaelekea ukingoni sasa mpaka gays kuruhusiwa kusimamia ndoa kifuatacho ITV......
 
Safi sana. Hapo ndipo mlipodhihirisha kuwa dini yenu ya ukatoliki ni mawakala wa shetani. Hakuna cha upadri wala usister wote ni watumishi wa lucifer mliojificha kwenye mgongo wa dini. Na bado kuna waaumini wanaendelea kuziabudu hizi dini as if wameshikiliwa akili. Ni viziwi, vipofu, hawaelewi chochote kuhusu dini yao kutokana na kukaririshwa mistari uchwara ya kwenye bibilia
1700223772645.jpg
 
Kanisa katoliki kwisha habar yake.

Unacompromise na shetani kwa hoja ya neema?

Subiri muone jeuri ya ibilisi kwa kumkaribisha ndani ya familia!!

Badala ya kukemea ushoga na usagaji, kanisa linaulegezea kwa kuunormalize?
 
Safi sana. Hapo ndipo mlipodhihirisha kuwa dini yenu ya ukatoliki ni mawakala wa shetani. Hakuna cha upadri wala usister wote ni watumishi wa lucifer mliojificha kwenye mgongo wa dini. Na bado kuna waaumini wanaendelea kuziabudu hizi dini as if wameshikiliwa akili. Ni viziwi, vipofu, hawaelewi chochote kuhusu dini yao kutokana na kukaririshwa mistari uchwara ya kwenye bibiliaView attachment 2816805
Usitukane Biblia..

Hapo Biblia inahusika vipi?

Kwanza, Siyo kila msomaji wa Biblia ni mkatolliki.

Pili, hata kwenye imani yako huo upuuzi umejaa tele..

1700250428754.png



View: https://youtu.be/IWOp664vukE
 
Tunakoelekea ukatoliki na ubwabwa vitakuwa ni kitu kimoja rasmi.
Na slogan itabadilika na kuwa, kanisa moja kuu la watu wote kwa usawa( bila kujali jinsia zao, tabia zao na mienendo zao).
 
Popote pale Mkatoliki ulipo, piga kifua chako na kusema mabwabwa ni ndugu zako kamili wa kiimani.
 
Huo msikiti ni mtu binafsi tu kaamua kujianzishia, hatambuliki wala msikiti wake hautambuliki kwenye madhebu makubwa ya kiislam (washia na wasuni), ni kama kwenye ukristo kina Masanja wanavyojianzishia makanisa.
Siyo msikiti mmoja wala imam mmoja anayehusika na LGBTQ, ni wengi..

1700251685446.png


"Being an openly gay imam and having been identified as such, I do get a lot of feedback and also kickback, but that's OK," said Imam Daayiee Abdullah, of Washington, D.C. "I think that when people are unfamiliar with things, they tend to have an emotional knee-jerk reaction to it."

Wengine hawa hapa..
👇

Affirming mosques help gay Muslims reconcile faith, sexuality​

 
Back
Top Bottom