Mimi kkkt, ila Kwa yanayoendelea duniani ninazidi kukazia msimamo wangu kua hizi dini zililetwa Kwa sababu maalumu. wanajua wao. Naamini Mungu yupo....na nitaendelea kuamini hivo ila dini hizi mhh! Swali dogo...kama Mungu ni mmoja, kwanini x aone dini ya y sio sahihi? Kwanini tunalumbana kwamba dini yangu ni Bora kuliko Yako?Israel Leo anaua hovyo wasio na hatia vitani tena makusudi na wanafurahia wazi kufanya hivo....wakristo wanaona sawa, eti Taifa la Mungu[emoji34]waislam wanateteana wao Kwa wao, wakristo wanaona haiwahusu. serious???ushetani tunaona ni sawa.[emoji24][emoji24][emoji24].....DINI ZILILETWA KUTUTENGANISHA. watenganishe uwatawale period.