Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Kanisa langu rasmi limekuwa SINAGOGI LA SHETANI. Soon Chukizo la uharibifu linakwea patakatifu.
 
Hawa watu hawatambuliki katika dunia ya uislam, hawawezi kuthubutu hata kwenda kuhiji Mecca Uarabuni, watapigwa mawe mpaka wafe.
Lakini ni waislamu, na hao wa mrengo huo wapo katika kila nchi unayosikia kuwa ushoga umehalalishwa
 
Lakini ni waislamu, na hao wa mrengo huo wapo katika kila nchi unayosikia kuwa ushoga umehalalishwa
Tofauti ni kuwa Ukiristu wa sasa umeanza kutolerate huo uchafu na kuanza kuuchukulia ni kitu cha kawaida, wakati Uislamu hauna compromise na hilo

Suala la mtu mmojammoja kufanya, hiyo ni juu yake mwenyewe lakini taasisi kucompromise na dhambi hiyo haikubaliki.
 
Tofauti ni kuwa Ukiristu wa sasa unatolerate huo uchafu na kuanza kuuchukulia ni kitu cha kawaida, wakati Uislamu hauna compromise na hilo
Siyo kweli..

Tukiacha waarabu na wazungu, nenda hapo Zanzibar tu uone.
Mashoga wanafunga ndoa wazi wazi, mchana kweupe, na wote ni wa hiyo dini yenu.

Pili, hii hapa chini ni mtu mmoja?
👇
 
Siyo kweli..

Tukiacha waarabu na wazungu, nenda hapo Zanzibar tu uone.
Mashoga wanafunga ndoa wazi wazi, mchana kweupe, na wote ni wa hiyo dini yenu.

Pili, hii hapa chini ni mtu mmoja?
👇
Naona unapambana sana kubalance

But hicho ulicholete ni mashoga wenyewe wameunda umoja wao kupeana hope na kusaidiana ktk uchafu wao, hiyo haihusiani na UISLAMU

Hebu basi kalete Fatwa ya Maulamaa wa kiislamu, au chombo cha kidini cha Waislamu kukubaliana na huo uchafu halafu uje tuzungumze!. Hakuna chombo cha kidini cha Waislamu kinaweza kuleta huo uchafu, watapigwa bakora mchana kweupe!
 
Sadaka,

RC wanakhofia kukosa sadaka na ushawishi

Watapokea kila aina ya uchafu as long as sadaka,utajiri na ushawishi wa kisiasa upo guaranteed

Kumbuka RC imeshawahi kiwa dola kamili na ina maadui wengi lazima iendelee kutafuta ushawishi ili kanisa liendelee kuwa top leading church in the world.
 
Bora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........

Hadith zinaenda kupigwa marufuku,pia uislam manayake unafiki,ukiingia humo ndio utaelewa
 
Ni aibu kuita Imani ya wakatoliki Ukristo na ni aibu kubwa sana kutambua nyumba zao za kukutania kama kanisa, ukimtazama kiongozi wao namna anavyo ongea na kufanya kazi zake unaona taswira halisi ya shetani kabisa

Huo ukristo unaojidai nao umelindwa na kupiganiwa na RC
 
Catholism ndio baasi tena!
Kutoka KANISA TAKATIFU LA MITUME Hadi KANISA TAKAVITU.

Mbona ndio kwanza,papa kasema anataka kanisa la kisasa,nyie mwahafidhina na primitive lazima mpinge,haya kapande punda.
 
Kumbuka RC imeshawahi kiwa dola kamili na ina maadui wengi lazima iendelee kutafuta ushawishi ili kanisa liendelee kuwa top leading church in the world.
Na ndiyo maana wapo tayari kupokea uchafu wowote
 
Huo ukristo unaojidai nao umelindwa na kupiganiwa na RC
Hayo ni mawazo yako na hiyo rc yenu, walicho kipigania rc ni hiki wanacho kifanya leo ambacho ni mbali kabisa na ukristo, Zima fegi ukae kwa kutulia
 
Hakuna ktiu hapa naona Mungu wanayemwamini anaenda na mabadiliko ya nyakati anabadilika. I was born in a Catholic family, sijawahi kukana wala kuhama dhehebu ila niliacha kuamini katika dhehebu langu toka nilipoanza kusoma na kujiuliza amswali ambayo hakuna ambaye aliwahi nipa majibu ya kueleweka.
Huyu papa huyu ... nahisi siku za mbele utatokea mpasuka kama wa anglican
Hata mimi, ni mkatoliki, lkn sikubaliani na huu upumbavu
 
Back
Top Bottom