Ramesses II
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 3,710
- 5,054
Kanisa langu rasmi limekuwa SINAGOGI LA SHETANI. Soon Chukizo la uharibifu linakwea patakatifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni waislamu, na hao wa mrengo huo wapo katika kila nchi unayosikia kuwa ushoga umehalalishwaHawa watu hawatambuliki katika dunia ya uislam, hawawezi kuthubutu hata kwenda kuhiji Mecca Uarabuni, watapigwa mawe mpaka wafe.
Tofauti ni kuwa Ukiristu wa sasa umeanza kutolerate huo uchafu na kuanza kuuchukulia ni kitu cha kawaida, wakati Uislamu hauna compromise na hiloLakini ni waislamu, na hao wa mrengo huo wapo katika kila nchi unayosikia kuwa ushoga umehalalishwa
Hapana bakieni tu humohumo hakuna kutokakuna kitu hakiko sawa kabisa nafikiri Afrika tunatakiwa tutazame upya ukatoliki wetu hawa jamaa wasituchanganye kabisa.
Siyo kweli..Tofauti ni kuwa Ukiristu wa sasa unatolerate huo uchafu na kuanza kuuchukulia ni kitu cha kawaida, wakati Uislamu hauna compromise na hilo
Huwezi kuukuta huu ujinga kwa wasabato.
Naona unapambana sana kubalanceSiyo kweli..
Tukiacha waarabu na wazungu, nenda hapo Zanzibar tu uone.
Mashoga wanafunga ndoa wazi wazi, mchana kweupe, na wote ni wa hiyo dini yenu.
Pili, hii hapa chini ni mtu mmoja?
👇
The MASGD
MASGD works to support, empower, and connect LGBTQ+ Muslims.* We promote an understanding of Islam that is centered on inclusion, justice, and equity.www.themasgd.org
Sadaka,
RC wanakhofia kukosa sadaka na ushawishi
Watapokea kila aina ya uchafu as long as sadaka,utajiri na ushawishi wa kisiasa upo guaranteed
Bora niende zangu uislamu.......kwa maana hawa jamaa hawafanyi editing kwenye mambo ya mungu........
Ni aibu kuita Imani ya wakatoliki Ukristo na ni aibu kubwa sana kutambua nyumba zao za kukutania kama kanisa, ukimtazama kiongozi wao namna anavyo ongea na kufanya kazi zake unaona taswira halisi ya shetani kabisa
Catholism ndio baasi tena!
Kutoka KANISA TAKATIFU LA MITUME Hadi KANISA TAKAVITU.
Na ndiyo maana wapo tayari kupokea uchafu wowoteKumbuka RC imeshawahi kiwa dola kamili na ina maadui wengi lazima iendelee kutafuta ushawishi ili kanisa liendelee kuwa top leading church in the world.
Na ndiyo maana wapo tayari kupokea uchafu wowote
Nashukuru umekiri kuwa RC inapokea uchafuMkuu uchafu upo kila mahali hakuna taaisi ya ya dini iliyosafi.
Hayo ni mawazo yako na hiyo rc yenu, walicho kipigania rc ni hiki wanacho kifanya leo ambacho ni mbali kabisa na ukristo, Zima fegi ukae kwa kutuliaHuo ukristo unaojidai nao umelindwa na kupiganiwa na RC
Hata mimi, ni mkatoliki, lkn sikubaliani na huu upumbavuHakuna ktiu hapa naona Mungu wanayemwamini anaenda na mabadiliko ya nyakati anabadilika. I was born in a Catholic family, sijawahi kukana wala kuhama dhehebu ila niliacha kuamini katika dhehebu langu toka nilipoanza kusoma na kujiuliza amswali ambayo hakuna ambaye aliwahi nipa majibu ya kueleweka.
Huyu papa huyu ... nahisi siku za mbele utatokea mpasuka kama wa anglican
Miaka mingi inasemekana kuwa kuna makadinali na makaasisi vatican ni gays na hata papa aliwahi kukiri hilo.