Kurejea kwa Vitendo vya Uhalifu. Rais wangu Samia acha polisi wafanye kazi

Wewe ni wale wale tu wenye hulka za kikatili. Sasa unazungumzia wahalifu halafu hao wakifungwa wanakuha kuachiwa miaka mitank baadae eti hawana hatia. Sasa utawalipa fidia.

Hapo ni wafanye kazi kwa weledi na sio kukamata kamata tu.
 
Mbona wakati wq Magufuri kulikuwa hakuna ushrnzi huu .
Ulikuwepo sana tu sema wewe uliziba masikio. Ndio kipindi ambacho watu wengi wamepotea kutekwa hadi Mabilionea.
 
Hatupo salama.

Hao panya wasipoangaliwa wataipindua nchi miguu juu kichwa chini.

Nimeona kule fb, dada ameuliwa na panyarod,

God Mercy.
 
Wewe ni wale wale tu wenye hulka za kikatili. Sasa unazungumzia wahalifu halafu hao wakifungwa wanakuha kuachiwa miaka mitank baadae eti hawana hatia. Sasa utawalipa fidia.

Hapo ni wafanye kazi kwa weledi na sio kukamata kamata tu.
Sio ukatili ila huo ndo uhalisia. Kuna watu hawatakiwi kuwa mtaani na kama tukikubali wawe mtaani basi tukibali pia ujambazi, mauaji na watu kujeruhiwa kuwa sehemu ya maisha yetu.

Kuna mazingira fulani huwezi kuapply demokrasia ndo mana hadi leo misri inatawaliwa kijeshi maana ukitaka kufanya demokrasia basi kubali watu wenye siasa kali kushika hatamu na dunia kukosa amani
 
Hatupo salama.

Hao panya wasipoangaliwa wataipindua nchi miguu juu kichwa chini.

Nimeona kule fb, dada ameuliwa na panyarod,

God Mercy.
Tuwaachie polisi wafanye kazi zao dhidi ya hawa wahalifu kama wanavyofanya siku zote na tusipende kuwafanya wajione hawafanyi chochote maana kwa jinsi wanavyofanya wanatusaidia sana kuishi kwa amani

Kwenye mapungufu yao machache tuendelee kuyashughulikia taratibu
 
Mbona wakati wq Magufuri kulikuwa hakuna ushrnzi huu .
Ulikuwepo sema alitumia mbinu hizi tunazoshauri zifanyike katika kuzuia haya matukio. Hata kwenye ulimwengu wa walioendelea hizi njia huwa zinatumika sana
 
Kwa hili umeongea point Sana mkuu, japo hofu ya Rais polisi wasije kuonea watu ambao hawahusiki, hila kwa ilivyofikia Sasa, polisi Inatakiwa wakimkamata kijana ambae ni anahisiwa ni kibaka au jamii ya panyarodi, wahakikishe wanammaliza kabisa wakatupwe mbugani huko, inasikitisha hao panyarodi nasikia wamemuua kijana mdogo kabisa hasiye na hatia
 
Inasikitisha sana juzi hawa vijana wanaojiita panya road wamemuua kijana mmoja pale Buguruni kwa kumchoma kisu.
Mkuu wa Mkoa Mh Makala yupo kweli?
Hawa watoto ni kuwapoteza mazima ..inasikitisha sana...
Yaani nashauri task force iundwe kukabiliana na Hawa wahuni, wakikamatwa wakatupwe kwenye mto wenye mamba wafilie mbali wote, hakuna kuwapeleka mahakamani
 
Kwenye kushughulikia jambo makosa yanatokea. Ni lazima yatokee. kikubwa tuvipe moyo vyombo vyetu kwa kazi nzuri wanayofanya. Tusiwakatishe tamaa na kuwaonesha hakuna lolote zuri wanalofanya.

Kwa experience ya duniani huko muhalifu ukimchekea na usipomuwekea mazingira magumu ya ku operate basi jiandae na wewe kulia na kuumia. Nigeria na South Afrika wameshafika kwenye hatua iyo hivyo inabidi tujitahidi tusifike huko
 
Yaani nashauri task force iundwe kukabiliana na Hawa wahuni, wakikamatwa wakatupwe kwenye mto wenye mamba wafilie mbali wote, hakuna kuwapeleka mahakamani
Hii ni awamu ya kulamba asali.

Kila mtu amerudi kwenye kazi yake aliyokuwa akifanya hapo awalim
 
Rais anahusika vipi na Majukumu waliyopewa Polisi. Polisi watimize majukumu yao ya kulinda raia na mali zao..
 
Kosa la mama ni kuondoa machinga barabarani
 
Hii ni awamu ya kulamba asali.

Kila mtu amerudi kwenye kazi yake aliyokuwa akifanya hapo awalim
Kwahiyo kipindi Cha msukuma mwenzenu ndio ilikuwa awamu ya watakatifu kina bashite,Sabaya,mnyeti, sindio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…