Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wanaccm mnaparuana😅😅Hapa JF wewe ndio unaongoza kwa uongo.
Uongo wangu ndo umesababisha leo Spika katoa maelekezo bungeni kwa serikali na Mkuu wa Mkoa wa Dar kutoa tamko kwa wazazi ambao hawatawaona watoto wao wakawatafute vituo vya polisi na kwenye hospitaliHapa JF wewe ndio unaongoza kwa uongo.
Naamini ushauri uliotolewa hapa unafanyiwa kaziHao ni wa kutandika risasi tu
Mtu akijifanya nunda na wee mpeleke kiununda
Mnakumbuka wale vijana sehemu za ilala walikuwa wanajiita chaukucha
Mnajuwa walifanywa nini!na kwann walipotezwa na hawakurudi tena?
Ova
watu tunapenda usalama lkn si kwa gharama ya usalama wa wengine, na sidhan km rais samia alikua akimaanisha vibaka, kuna aina ya kesi alizokua anamaanisha ambazo watu walikaa ndani maka kisa upelelezi haujakamilika na si hao wanaokata watu mapanga mitaaniHivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam.
Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe.
Haya yanatokea kukiwa kumemalizika kikao cha wakuu wa polisi ambapo Rais Samia aliwaeleza mambo mengi sana pfu kulingana na mazingira yetu yalivyo. Kila nchi ina mazingira yake, Sio kwamba Marekani alishindwa kutawala Afghanistan ila kwa jinsi Afghanistan ilivyo nchi haiwezi kwenda bila utawala wa manguvu na ndo mana Leo Taliban karudi kutawala Afghanistan tena kwa baraka za Mmarekani yuleyule aliwafurusha pale mwanzoni
Sio kweli kwani hiyo kauli kaitoa lini na hao panya road wameanza uhalifu wao lini?Maelekezo ya kutowashikilia watu upelelezi usipokamilika ndo matokeo yake haya
Moja ya mbinu za kufanya kusiwepo na uhalifu mitaani ni kukamata wahalifu na kuwaweka ndani kwa mda fulani. Hili Tanzania limesaidia sana kufanya mitaani kuwe na amani. Maana ukisema umkamate mtu ukishakamilisha upelelezi basi wahalifu wengi watazagaa mitaani na kuwazidi nguvu polisi maana polisi hawawezi kuwa kila mahali na kila wakati.
Sasa hapa tofautisha muhalifu, muhalifu kweli treatment yake iwe nyingine na ya muhalifu sababu fulani ametaka mtu huyo aonekane ni muhalifu.Hivi karibuni kumetokea kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu hasa katika jiji la Dar es Salaam.
Leo hii kwenye taarifa ya habari imetangazwa kuwa wahalifu hawa wameua mtu mmoja eneo la Kawe.
Haya yanatokea kukiwa kumemalizika kikao cha wakuu wa polisi ambapo Rais Samia aliwaeleza mambo mengi sana polisi ikiwemo kuwaachia watu endapo upelelezi haujakamilika.
Leo kwa maslahi mapana ya nchi yangu napenda kumshauri Rais wangu mpendwa Samia kuwa, tunajua anapenda sana haki, anataka haki itendeke, ila kwenye kushughulikia wahalifu na uhalifu ni vizuri aviachie vyombo vyetu kufanya kazi ambayo wamekuwa wanaifanya kila siku katika kushughulikia wahalifu.
Kwa Tanzania yetu kuna watu bila kuwa ndani hawawezi kuacha uhalifu na wanawekwaga ndani kwa sababu maalum ikiwemo kuhakikisha kwenye jamii yetu kunakuwa na amani na utulivu. Ukitaka kuwaweka ndani ukiwa na ushahidi hutapata huo ushahidi kwa namna wanavyofanya matukio yao na kwa namna nchi yetu ilivyo nyuma kiteknolojia. Wenzetu wako vizuri kiteknolojia ikiwemo kuwa na kamera za mitaani na teknolojia ya DNA na database za wanachi wote ndo mana likitokea tukio upelelezi unakamilika haraka.
Nakuomba Rais wangu mpendwa, waachie polisi wetu wafanye kazi yao dhidi ya hawa wahalifu kulingana na mazingira yetu yalivyo. Kila nchi ina mazingira yake, Sio kwamba Marekani alishindwa kutawala Afghanistan ila kwa jinsi Afghanistan ilivyo nchi haiwezi kwenda bila utawala wa manguvu na ndo mana Leo Taliban karudi kutawala Afghanistan tena kwa baraka za Mmarekani yuleyule aliwafurusha pale mwanzoni
Kama hufuatilii habari za nchini kwako kaa kimya tuSio kweli kwani hiyo kauli kaitoa lini na hao panya road wameanza uhalifu wao lini?
Ukiona unalala na kuamka asubuhi salama ujue kuna kazi polisi wanafanya. Kama polisi wakisema wawaachie wahalifu wote wazagae mtaani kwa sababu tu hakuna ushahidi basi hii nchi itakuwa Kama Nigeria ndani ya masaa machache tuwatu tunapenda usalama lkn si kwa gharama ya usalama wa wengine, na sidhan km rais samia alikua akimaanisha vibaka, kuna aina ya kesi alizokua anamaanisha ambazo watu walikaa ndani maka kisa upelelezi haujakamilika na si hao wanaokata watu mapanga mitaani
Hakuna treatment ya tofauti kwa muhalifu.Sasa hapa tofautisha muhalifu, muhalifu kweli treatment yake iwe nyingine na ya muhalifu sababu fulani ametaka mtu huyo aonekane ni muhalifu.
Duh.Uongo wangu ndo umesababisha leo Spika katoa maelekezo bungeni kwa serikali na Mkuu wa Mkoa wa Dar kutoa tamko kwa wazazi ambao hawatawaona watoto wao wakawatafute vituo vya polisi na kwenye hospitali
Huwezi shindana na akili kubwa we endelea kuomboleza tu hapo Burundi
hapo ndio tatizo, sasa km ushahidi hakuna huyo mtu mnamshilia ili iweje au mtampeleka mahakama gani? usikute mmemkamata bila hata ya probable causeUkiona unalala na kuamka asubuhi salama ujue kuna kazi polisi wanafanya. Kama polisi wakisema wawaachie wahalifu wote wazagae mtaani kwa sababu tu hakuna ushahidi basi hii nchi itakuwa Kama Nigeria ndani ya masaa machache tu
mkuu kwn wanawake wana shida gani, mbn wenzetu waliotuzidi wanao piaShida ya hii nchi ni kuwapa wanawake mihimili mikubwa waongoze tucheke ila iko siku akili zitakaa sawa.
Paya road unaogopa hatua za jpmtushawachoka nanyie!
Unaumia eeh?Duh.
Kweli hili tutusa.
Kwahiyo wewe post zako ndio zinaiendesha serikali?
Akili kubwa wewe kabisa??
Wahaya bwana. Ila nakushangaa mhaya anayekosa akili kama wewe.
Endelea kusota hapo kwenye hako ka Lawfirm unakopata mshahara kiduchu baada ya kupiga majungu wenzako.
Hawana maamuzi na huruma nyingi.mkuu kwn wanawake wana shida gani, mbn wenzetu waliotuzidi wanao pia