Kurejea kwa Vitendo vya Uhalifu. Rais wangu Samia acha polisi wafanye kazi

Hao ni wa kutandika risasi tu

Mtu akijifanya nunda na wee mpeleke kiununda

Mnakumbuka wale vijana sehemu za ilala walikuwa wanajiita chaukucha
Mnajuwa walifanywa nini!na kwann walipotezwa na hawakurudi tena?

Ova
 
Mbona unachanganya vitu vitatu tofauti kwenye hoja moja?
 
Hapa JF wewe ndio unaongoza kwa uongo.
Uongo wangu ndo umesababisha leo Spika katoa maelekezo bungeni kwa serikali na Mkuu wa Mkoa wa Dar kutoa tamko kwa wazazi ambao hawatawaona watoto wao wakawatafute vituo vya polisi na kwenye hospitali

Huwezi shindana na akili kubwa we endelea kuomboleza tu hapo Burundi
 
Hao ni wa kutandika risasi tu

Mtu akijifanya nunda na wee mpeleke kiununda

Mnakumbuka wale vijana sehemu za ilala walikuwa wanajiita chaukucha
Mnajuwa walifanywa nini!na kwann walipotezwa na hawakurudi tena?

Ova
Naamini ushauri uliotolewa hapa unafanyiwa kazi
 
watu tunapenda usalama lkn si kwa gharama ya usalama wa wengine, na sidhan km rais samia alikua akimaanisha vibaka, kuna aina ya kesi alizokua anamaanisha ambazo watu walikaa ndani maka kisa upelelezi haujakamilika na si hao wanaokata watu mapanga mitaani
 
Sio kweli kwani hiyo kauli kaitoa lini na hao panya road wameanza uhalifu wao lini?
 
Sasa hapa tofautisha muhalifu, muhalifu kweli treatment yake iwe nyingine na ya muhalifu sababu fulani ametaka mtu huyo aonekane ni muhalifu.
 
Ukiona unalala na kuamka asubuhi salama ujue kuna kazi polisi wanafanya. Kama polisi wakisema wawaachie wahalifu wote wazagae mtaani kwa sababu tu hakuna ushahidi basi hii nchi itakuwa Kama Nigeria ndani ya masaa machache tu
 
Sasa hapa tofautisha muhalifu, muhalifu kweli treatment yake iwe nyingine na ya muhalifu sababu fulani ametaka mtu huyo aonekane ni muhalifu.
Hakuna treatment ya tofauti kwa muhalifu.
 
Hawa watoto ni kupiga risasi kama kumi hivii nadhani akili zitawakaa sawa maana wanachofanya ni UJAMBAZIII sasa jambazi hachekewei hata siku mojaa.. leo wanavamia makazi kesho watavamia vituo vya polisi kupora bunduki na sehemu za biasharaa au bank kabisa...!! Wanapata confidence ya kufanya uhalifu sababu serikali haipo serious toka huyo Binti auliwee sio polisi wala waziri kasema neno wapoo tu mbwa hawa wanakula AC kwa tozo za wananchi juzi suala hili sio la kumuachia mkuu wa mkoa nae limeshamshindaaaa kazi kuitisha vikao na kupiga mikwaraa tuu
 
Kuna mtu kachangia hoja huko juu kwamba , hawa wahalifu tunaishi nao mtaani lkn kutoa taarifa polisi ili wakamatwe ndio tatzo lipo hapo .
 
Shida ya hii nchi ni kuwapa wanawake mihimili mikubwa waongoze tucheke ila iko siku akili zitakaa sawa.
 
Duh.

Kweli hili tutusa.

Kwahiyo wewe post zako ndio zinaiendesha serikali?

Akili kubwa wewe kabisa??

Wahaya bwana. Ila nakushangaa mhaya anayekosa akili kama wewe.

Endelea kusota hapo kwenye hako ka Lawfirm unakopata mshahara kiduchu baada ya kupiga majungu wenzako.
 
Ukiona unalala na kuamka asubuhi salama ujue kuna kazi polisi wanafanya. Kama polisi wakisema wawaachie wahalifu wote wazagae mtaani kwa sababu tu hakuna ushahidi basi hii nchi itakuwa Kama Nigeria ndani ya masaa machache tu
hapo ndio tatizo, sasa km ushahidi hakuna huyo mtu mnamshilia ili iweje au mtampeleka mahakama gani? usikute mmemkamata bila hata ya probable cause
 
Unaumia eeh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…