IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga,
katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu.
Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu uhuni na udanganyifu +propaganda kwanni msiache tu mkae kimya viongozi.
Ivi utajuaje uyu aliingia au uyu akuingia achilia mbali wale waliokata tiketi kwa mtandao mbona ni udanganyifu wa hali ya juu.
Viongozi wote wanajikataa awahusiki serikali inasikitika.
TFF inasikitika.
simba wana sikitika.
Yanga wanasikitika.
Mashabiki ndio kabisa wametapeliwa kibingwa nao wana masikitiko ya halali kabisa.
Lakini viongozi acheni hii.
SWALA LA VIINGILIO AVIWEZI KURUDI OVER NI UDANGANYIFU TU.
Cha msingi muheshimiwa Bashungwa wizara yako ndio ilitoa maagizo kutoka kwenu juu mueleze sababu ni hii ilisababisha yakatokea haya ili tujue kwisha ila kinachoonekana sababu ipo lakini ni ya kisiasa ambayo aihusiani na mpira.