Kurudishwa pesa Simba vs Yanga ni uongo wa hali ya juu na haiwezakani

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
1,503
Reaction score
2,426
Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga,
katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu.

Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu uhuni na udanganyifu +propaganda kwanni msiache tu mkae kimya viongozi.

Ivi utajuaje uyu aliingia au uyu akuingia achilia mbali wale waliokata tiketi kwa mtandao mbona ni udanganyifu wa hali ya juu.
Viongozi wote wanajikataa awahusiki serikali inasikitika.

TFF inasikitika.

simba wana sikitika.

Yanga wanasikitika.

Mashabiki ndio kabisa wametapeliwa kibingwa nao wana masikitiko ya halali kabisa.

Lakini viongozi acheni hii.

SWALA LA VIINGILIO AVIWEZI KURUDI OVER NI UDANGANYIFU TU.
Cha msingi muheshimiwa Bashungwa wizara yako ndio ilitoa maagizo kutoka kwenu juu mueleze sababu ni hii ilisababisha yakatokea haya ili tujue kwisha ila kinachoonekana sababu ipo lakini ni ya kisiasa ambayo aihusiani na mpira.
 
Mkuu nafikiri hujawahi kwenda uwanjani hivi karibuni toka mfumo wa ukataji tiketi mpya(unatumika uwanja wa Taifa tu) uanze..ili ukate tiketi unahitaji kusajiliwa kwenye mfumo wa Internet na kupewa kadi kama ATM(N-CARD) ambayo unasajiliwa kwa alama za vidole(NIDA) au unasajiliwa kwa kutumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole..ili ujisajili N-CARD ni lazima pia uwe na namba ya simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole.

Hakuna tiketi inayouzwa kinyume na mfumo huu pale Taifa..hata kama utanunua kwa MPESA au TIGOPESA unatumia N-CARD hiyo hiyo uliyojisajili, huna N-CARD huwezi kununua tiketi kwa namna yoyote ile.

Hivyo suala la kurudisha ni rahisi sana labda waamue kudhulumu tu..wanaweza kurudisha kwenye wallet ya N-CARD ama moja kwa moja kwenye line ya simu ya mmiliki wa N-CARD.
 
Nimeandika haya maana nilikuwa ni moja ya watu tuliopewa kadi hizi bure kabisa siku ya kwanza zinaanza kutumika(SIMBA DAY MWAKA JANA)..na hata juzi mechi ya watani nilikata tiketi na nilikuwepo uwanjani..ni mfumo mzuri sana na hili lililojitokeza ni moja ya faida zake..maana ingekuwa zamani au zile ticket za viwanja vya mikoani ndo ingekuwa imetoka hiyo kusingekua na uwezekano wa kurudishiwa nauli
 
Sahihi kama in ivyo
 
Huwezi nunua tiketi tatu halafu mbili ukaziuza?
 
Mkuu nafikiri hujawahi kwenda uwanjani hivi karibuni toka mfumo wa ukataji tiketi mpya(unatumika uwanja wa Taifa tu) uanze..ili ukate tiketi unahitaji kusajiliwa kwenye mfumo wa Internet na kupewa kadi kama ATM(N-CARD) ambayo unasajiliwa kwa alama za vidole(NIDA) au unasajiliwa kwa kutumia namba ya simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole..ili ujisajili N-CARD ni lazima pia uwe na namba ya simu iliyosajiliwa kwa alama za vidole..hakuna tiketi inayouzwa kinyume na mfumo huu pale Taifa..hata kama utanunua kwa MPESA au TIGOPESA unatumia N-CARD hiyo hiyo uliyojisajili,huna N-CARD huwezi kununua tiketi kwa namna yoyote ile..hivyo suala la kurudisha ni rahisi sana labda waamue kudhulumu tu..wanaweza kurudisha kwenye wallet ya N-CARD ama moja kwa moja kwenye line ya simu ya mmiliki wa N-CARD.
Walipwe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona mi nimerudishiwa[emoji7]
IMG-20210510-WA0056.jpg
 
Baada ya sintofahamu iliotokea siku ya jumamosi tarehe 8 palipo kua na mchezo mkubwa wa mpira wa miguu Simba vs Yanga,
katika nchi ya Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya mechi iyo kuota mbawa pasipo kua na sababu maalumu.

Kichekesho kikubwa ni hiki kuludisha pesa kwa waliokata tiketi ivi huu uhuni na udanganyifu +propaganda kwanni msiache tu mkae kimya viongozi.

Ivi utajuaje uyu aliingia au uyu akuingia achilia mbali wale waliokata tiketi kwa mtandao mbona ni udanganyifu wa hali ya juu.
Viongozi wote wanajikataa awahusiki serikali inasikitika.

TFF inasikitika.

simba wana sikitika.

Yanga wanasikitika.

Mashabiki ndio kabisa wametapeliwa kibingwa nao wana masikitiko ya halali kabisa.

Lakini viongozi acheni hii.

SWALA LA VIINGILIO AVIWEZI KURUDI OVER NI UDANGANYIFU TU.
Cha msingi muheshimiwa Bashungwa wizara yako ndio ilitoa maagizo kutoka kwenu juu mueleze sababu ni hii ilisababisha yakatokea haya ili tujue kwisha ila kinachoonekana sababu ipo lakini ni ya kisiasa ambayo aihusiani na mpira.
Hujawahi kukata ticket na kwenda kwa mkapa. Funga BAKULI LAKO
 
Back
Top Bottom