Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Nachoona kupingwa sana kwa Diamond ni wivu wa mafanikio yake na kwa kuwa wengi walimuona alivyoanza kutoka kwenye matumizi mnataka kumpangia muache aishi maisha yake na wewe ishi yako unatolea mifano ya Beyonce kweli kwenye mambo ya hizi party wakati wao ndio wachafu zaidi...
 
umejitahidi kueleza vizuri,lakini ukae ukijua Clouds ni ya wasambaa familia ya Kusaga,mhaya yeye ni kijakazi kama vijakazi wengine tu,atulize mtaro tu.
 
Ruge mutahaba ana akili sana ya biashara kuliko Joe ile CMG unayoiona ni akili za Ruge yy Joe pale anapewa tu taarifa nini kinaendelea
Comment yako imekaa kishabiki sana, pia hauna taarifa sahihi za unachosema, na hata wengine wetu tunajua Clouds ni Radio na TV tu. Kwa taarifa tu ambazo ziko mtandaoni na unaweza zipata pia, Clouds Media Group ina entities nyingine nyingi tu, list hapa chini ni media tu.
Clouds Radio
Choice FM
Classic FM
Coconut FM(Zanzibar)
Coconut TV(Zanzibar)
Clouds TV(Tanzania)
Clouds TV(Rwanda)
Clouds TV Plus
Clouds TV International(Abu dhabi)
Clouds TV(Botswana)

Source:Home - Clouds Media Group
 
CMG wanakubali kuwa WCB empire ni . Note. Ni maoni yangu tuko tofauti kimtizamo,Welcome,am a new comer to the forum,be calm please.
Humjui Joe,unapiga Ramli tu
Joe ni mtu hatari sana kwenye mipango ya pesa kwenye Tasnia ya habari na burudani
Joe ana clouds Rwanda
Joe ana clouds International,ipo Abu Dhabi na makazi yake rasmi yapo Dubai Rugemalira anatumwa tu pale,usijaribu kabisa ku underestimate uwezo wa Joe ,nikikuambia miradi yake moyo wako unaweza kuchomoka kuputia kifuani kwako
 
Kama unaona mbali wasafi wanaleta mapinduzi ya media, miaka mitano ijayo wcb itakuwa media yenye nguvu kuliko zote bongo
 
Wote wafanyabiashara wanakunana Migongo
Diamond ana ubia na kusaga kwenye Diamond karanga
 
Mie naona Joe anaanza kujitoa kidogo pale CMG coz ni mali ya familia
Anataka kuwa na investment yake nje ya familia
Huyo mnaemuita mhaya nae ni mmoja kati ya share holders toka CMG ikijulikana kama mawingu enzi zile za ofisi ikiwa pale MWENGE!
 
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.
 
Kama unaona mbali wasafi wanaleta mapinduzi ya media, miaka mitano ijayo wcb itakuwa media yenye nguvu kuliko zote bongo
Kuna media houses nyingi sana Bongo, ushindani unaouzungumzia ni upi? Mfano: kwa maoni yangu ulinganifu unaofanywa kati ya Clouds na Wasafi umekaa kishabiki sana, na si mpya, ulifanyika pia ilipoanza Magic FM, Times FM na EFM, na sasa haziongelewi tena, na zote ni kwenye eneo moja sana la burudani, jiulize kwanini ulinganifu hauhusishi media nyingine kama IPP media, StarTV, Channel na Azam Media.
 
Wana kiredio pia kipo Dom nimekisahau jina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…