Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Mbona sasa hashindwe kuwatetea WCB ili nyimbo zao zichezwe pale CMG.
 
Wacheni vijana wale raha za dunia, as long as hawaibi cha mtu wala hawavunji sheria yoyote ya nchi.
 
Na wasiwasi na nani mmiliki wa Clouds Media group.Wanasema ni ya familia ya Kusaga.Mi nakataa hapo.It seems Ruge ni mkubwa kuliko Kusaga.

Ruge ni zaidi ya mkurugenzi wa vipindi pale.Angekuwa muajiriwa.Angelishatimuliwa.

Kusaga anamuogopa Ruge.I don't know why?
Nani kakwambia anamuogopa?
 
Kuna media houses nyingi sana Bongo, ushindani unaouzungumzia ni upi? Mfano: kwa maoni yangu ulinganifu unaofanywa kati ya Clouds na Wasafi umekaa kishabiki sana, na si mpya, ulifanyika pia ilipoanza Magic FM, Times FM na EFM, na sasa haziongelewi tena, na zote ni kwenye eneo moja sana la burudani, jiulize kwanini ulinganifu hauhusishi media nyingine kama IPP media, StarTV, Channel na Azam Media.
Wasafi na CMG tunawalinganisha katika nyanja ya kiburudani zaidi na in terms of control ya muziki bongo,so huwezi linganisha wasafi na azam au star tv na hata ITV.
 
Mie naona Joe anaanza kujitoa kidogo pale CMG coz ni mali ya familia
Anataka kuwa na investment yake nje ya familia
Huyo mnaemuita mhaya nae ni mmoja kati ya share holders toka CMG ikijulikana kama mawingu enzi zile za ofisi ikiwa pale MWENGE!
Exactly Wewe ni mjuvi hakika.
 
Kuna media houses nyingi sana Bongo, ushindani unaouzungumzia ni upi? Mfano: kwa maoni yangu ulinganifu unaofanywa kati ya Clouds na Wasafi umekaa kishabiki sana, na si mpya, ulifanyika pia ilipoanza Magic FM, Times FM na EFM, na sasa haziongelewi tena, na zote ni kwenye eneo moja sana la burudani, jiulize kwanini ulinganifu hauhusishi media nyingine kama IPP media, StarTV, Channel na Azam Media.
U can't compare wasafi with news based media's.lazima ujue malengo ya media's mbalimbali na kuweza kuzilinganisha,so hapo ondoa star tv,azam,na ITV.
 
Kama unaona mbali wasafi wanaleta mapinduzi ya media, miaka mitano ijayo wcb itakuwa media yenye nguvu kuliko zote bongo
Sio kwa maudhui Yale ya kuonyesha birthday party, arobaini za watoto, party za diamond, yaani kidemu chochote Cha diamond kikiwa na sherehe wasafi tv iko live
 
Back
Top Bottom