Kusavaivu hadi leo hii wengi wetu bila kupigwa chale tusingetoboa

Kuna bint nilitaka nimgegede leo jioni bahati mbaya sijui aliinama vip ndio nikaona chale juu ya tako na alivyo kaha sawa kifuaNi nako iko chale nyeus iliyotakiwa kufutwa ila ikashindikana Basi haifichikia

Mara nyingi siwakubali San mademu venya chale na machale nais nao Kama Ni wachawi tu
Mkuu kwani unagegeda Chale?

Nenda kapige hiyo Mang'anyu
 
Soma mambo ya walawi vizuri"usimwache mchawi akaishi,auawe"!!

Kumbe maandiko yanatambua uchawi sio !!

Yaani kama kuna nguvu za Mungu pia kuna nguvu za giza yaani uchawi!!

Kasome na Musa MBELE ya farao kuhusu fimbo ile!!!

Kama kweli huamini ipo siku uki decode pin code FULANI utashangaa SANA!!

Mi scientist hizi mambo nilikua sizitaki hata kuzisikia coz niliamini azipo lakini nilipoanza kujenga,kuingia kwenye biashara na mengineyo aiseh very bad!!!

Toa tu fungu la kumi angalau ulindwe na Mungu dhidi ya mabaya!!!
 
Hana haja ya kurifaa mbali huko,aniulize mimi!
 
Amina
 
Chale Ni milango ya Roho wabaya kuingia mwilini mwako hii Ni Network
Tena unavyokuwa na nyingi ndio unakuwa 5G .
Kwakweli Mwanamke hata awe mrembo vipi nikishaona Ana chale mwilini mwanamke thamani yake imashuka nakosa kumwamini kabisa.
Kathalika nakwako mwanamke kimbia wanaume wenye michale miilini mwao.
Ni chanzo Cha.....
 
Back
Top Bottom