Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa.
Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa mganga lakini ukweli ni kwamba watu ndiyo sababu ya watu kwenda kwa waganga!.
Mara nyingi watu wanaofanya twende kwa waganga kwa ajili ya tiba ya kuweka miili sawa ni MASHANGAZI & WAJOMBA (USHANGAZINI na UJOMBANI).
Hadi leo sijafahamu ni kwanini kwenye jamii hii ya watanzania kina-Shangazi na Wajomba mara nyingi kama si zote wamekuwa na husda sana kwa watoto wa ndugu zao,yaani wapo radhi wakaroge huku na huko ili kuona mtoto wa ndugu yao hafanikiwi,na mara zote hizo wanapokuwa wakihangaika na watoto wa ndugu zao huwa wamewasahau watoto wao kwamba wanaendelea kukua na umri kuzidi kusonga, mwisho wa siku wanakuja kushituka watoto wa ndugu waliokuwa wakiwapiga vita wamefanikiwa huku mitoto yao akiendelea kugombania ugali wa mazabe hapo makwao.
Tusingechukua hatua mapema za kwenda kwa Sangoma kuwekwa mili sawa bila shaka mashangazi na wajomba wangekuwa wametumaliza zamani sana.
Kuanzia kizazi cha miaka ya 1970 hadi 1990 ukikuta mtu hana Chale kwenye mwili wake basi yawezekana hakuwa akiishi Tanzania na kama aliishi Tanzania uenda hakuwa na Mashangazi au Wajomba.
Asilimia 90% ya kizazi cha Miaka 1970 hadi 1990 wamepigwa Chale na Chale nyingi zilizopigwa kwa watu hao ni kuwekwa sawa ili mambo yanyooke baada ya kuharibiwa na Ndugu zao hasa Mashangazi na wajomba.
Ungegegeda tuu, wala hakuna ambacho kingekuathiri baadae. Hizo ni imani za kinjinga zinazowasumbua wajinga, hazina matokeo yeyote ya maana kwao zaidi ya kuharibu miili yao, kujipotezea baadhi ya fursa nk.Kuna bint nilitaka nimgegede leo jioni bahati mbaya sijui aliinama vip ndio nikaona chale juu ya tako na alivyo kaha sawa kifuaNi nako iko chale nyeus iliyotakiwa kufutwa ila ikashindikana Basi haifichikia
Mara nyingi siwakubali San mademu venya chale na machale nais nao Kama Ni wachawi tu
NotedWeka Notification mkuu huwezi jua hata leo usiku naweza anza kusimulia
Uchawi unaoongelewa kwenye biblia sio huu wa kiafrica na kitanzania mnaofundishana hapaSoma mambo ya walawi vizuri"usimwache mchawi akaishi,auawe"!!
Kumbe maandiko yanatambua uchawi sio !!
Yaani kama kuna nguvu za Mungu pia kuna nguvu za giza yaani uchawi!!
Kasome na Musa MBELE ya farao kuhusu fimbo ile!!!
Kama kweli huamini ipo siku uki decode pin code FULANI utashangaa SANA!!
Mi scientist hizi mambo nilikua sizitaki hata kuzisikia coz niliamini azipo lakini nilipoanza kujenga,kuingia kwenye biashara na mengineyo aiseh very bad!!!
Toa tu fungu la kumi angalau ulindwe na Mungu dhidi ya mabaya!!!
...Sasa sisi Tunakuchoshaje ? [emoji57][emoji57]Nisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa.
Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa mganga lakini ukweli ni kwamba watu ndiyo sababu ya watu kwenda kwa waganga!.
Mara nyingi watu wanaofanya twende kwa waganga kwa ajili ya tiba ya kuweka miili sawa ni MASHANGAZI & WAJOMBA (USHANGAZINI na UJOMBANI).
Hadi leo sijafahamu ni kwanini kwenye jamii hii ya watanzania kina-Shangazi na Wajomba mara nyingi kama si zote wamekuwa na husda sana kwa watoto wa ndugu zao,yaani wapo radhi wakaroge huku na huko ili kuona mtoto wa ndugu yao hafanikiwi,na mara zote hizo wanapokuwa wakihangaika na watoto wa ndugu zao huwa wamewasahau watoto wao kwamba wanaendelea kukua na umri kuzidi kusonga, mwisho wa siku wanakuja kushituka watoto wa ndugu waliokuwa wakiwapiga vita wamefanikiwa huku mitoto yao akiendelea kugombania ugali wa mazabe hapo makwao.
Tusingechukua hatua mapema za kwenda kwa Sangoma kuwekwa mili sawa bila shaka mashangazi na wajomba wangekuwa wametumaliza zamani sana.
Kuanzia kizazi cha miaka ya 1970 hadi 1990 ukikuta mtu hana Chale kwenye mwili wake basi yawezekana hakuwa akiishi Tanzania na kama aliishi Tanzania uenda hakuwa na Mashangazi au Wajomba.
Asilimia 90% ya kizazi cha Miaka 1970 hadi 1990 wamepigwa Chale na Chale nyingi zilizopigwa kwa watu hao ni kuwekwa sawa ili mambo yanyooke baada ya kuharibiwa na Ndugu zao hasa Mashangazi na wajomba.
Iyo ni Imani yako tu ya chale ss kwetu hatufanyi ayo mambo na tunasavaivu vzr kabisaa tena ni jamii kubwa tu ambayo haifanyi izo milaNisikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!
Maisha haya ya kitanzania yaliyojaa dhiki, umasikini, roho mbaya, husda, vijicho, masengenyo na masimango ingekuwa ngumu sana kutoboa kimaisha kama wengi wetu tusingepita kwa kina karumanzira ili kuwekwa sawa.
Kila mtu anafahamu kilichompeleka kwa mganga lakini ukweli ni kwamba watu ndiyo sababu ya watu kwenda kwa waganga!.
Mara nyingi watu wanaofanya twende kwa waganga kwa ajili ya tiba ya kuweka miili sawa ni MASHANGAZI & WAJOMBA (USHANGAZINI na UJOMBANI).
Hadi leo sijafahamu ni kwanini kwenye jamii hii ya watanzania kina-Shangazi na Wajomba mara nyingi kama si zote wamekuwa na husda sana kwa watoto wa ndugu zao,yaani wapo radhi wakaroge huku na huko ili kuona mtoto wa ndugu yao hafanikiwi,na mara zote hizo wanapokuwa wakihangaika na watoto wa ndugu zao huwa wamewasahau watoto wao kwamba wanaendelea kukua na umri kuzidi kusonga, mwisho wa siku wanakuja kushituka watoto wa ndugu waliokuwa wakiwapiga vita wamefanikiwa huku mitoto yao akiendelea kugombania ugali wa mazabe hapo makwao.
Tusingechukua hatua mapema za kwenda kwa Sangoma kuwekwa mili sawa bila shaka mashangazi na wajomba wangekuwa wametumaliza zamani sana.
Kuanzia kizazi cha miaka ya 1970 hadi 1990 ukikuta mtu hana Chale kwenye mwili wake basi yawezekana hakuwa akiishi Tanzania na kama aliishi Tanzania uenda hakuwa na Mashangazi au Wajomba.
Asilimia 90% ya kizazi cha Miaka 1970 hadi 1990 wamepigwa Chale na Chale nyingi zilizopigwa kwa watu hao ni kuwekwa sawa ili mambo yanyooke baada ya kuharibiwa na Ndugu zao hasa Mashangazi na wajomba.
Ukienda Usukumani sidhani kama utayarudia haya maneno yako. Nakukaribisha Ileje uone alichofanyiwa waziri wenuwaganga ni matapeli bana, miujiza haipo uchawi ni stori tu za vijiweni