Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sifahamu walianza lini kutahiriwa.. Unataka kusemaje kwenye hilo swali lakojibu swali wewe. Ni kini walianza kutahiriwa?
Asee bwana mdogo huo ujasiri wa kubishana na mimi umeutoa wapi?Sifahamu walianza lini kutahiriwa.. Unataka kusemaje kwenye hilo swali lako
Wewe ni fala kama sio fala una matatizo ya akili.. kilichofanya uni quote ni nini wakati sikukuuliza wewe..? Kwa iyo ulijipendekeza kwenye comment ya mwanaume ili iweje?Asee bwana mdogo huo ujasiri wa kubishana na mimi umeutoa wapi?
Huo uthubutu tu umeutoa wapi?
Bwana mdogo chunga mdomo wako. Usinilazimishe kabisa nikutamkie neno baya kwako ikawa laana ya kudumuWewe ni fala kama sio fala una matatizo ya akili.. kilichofanya uni quote ni nini wakati sikukuuliza wewe..? Kwa iyo ulijipendekeza kwenye comment ya mwanaume ili iweje?
Inaonekana unapenda vitisho.. usiwe kama mama wa kiarabu kuvamia quote za watu usiowajua.. kama huwezi kuchangia nenda kapigwe ukoBwana mdogo chunga mdomo wako. Usinilazimishe kabisa nikutamkie neno baya kwako ikawa laana ya kudumu
kama wanayahudi wanafungamana na ukristo mbona hao wayahudi ndio waliomkataa huyo YESU na kumsulubu.Hivi unajua wayahudi wali na wametapakaa dunia nzima? unajua sababu yake.Unajua safari kutoka Misri hadi nchi ya ahadi sio umbali kiasi cha kusafiri kwa miaka 40 unajua kwanini mungu alikuwa anawatesa ni sababu ya kutengeneza ndama wa dhahabu.Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.