Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe usipoangalia hutofikia hatima Yako, mwamini Yesu Leo.Neno gani la Mungu limejaa uongo!
Biblia ni Hekaya za kutungwa kabisa.
Just imagine, Umbali kutoka Misri mpaka Israel ni kilometa 613 tu.
Lakini Biblia inakwambia waisraeli walitumia miaka 40 mpaka kufika Israel..!!!
Yani Biblia ni zaidi ya chai☕☕☕🍃
Wamisri walichapwa vibaya mpaka Nasser akaugua moyo,wamepanga kuipiga Israel ndege zikafia uwanjaniHii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! [emoji848] ni uongo mkubwa sana.
Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?
Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.
Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.
Kwa hakika Mungu hana ubaguzi.
Matendo 10:34
Kwani Mungu kakwambia anaogopa kuitwa mkatili.Ingekua hivyo kusingekua na kifo.Mungu aliumba dunia yenye kila kitu kibaya na kizuri ili ilete tafsiri halisi ya maisha.Kwahiyo yanayotokea ni hali ya maisha ili kuwe na kuishi na kutokuishi,mwanzo na mwisho.Kungekua na mazuri tu na hakuna kufa mngajuaje kuna aliyewaumba kama sasa tu mnaona kifo kipo bado tunaviburi.Kama matendo ya duniani ni sababu ya uwepo wa Mungu huyo.
Basi hata Uovu, ukatili, uasi, mabaya, mateso na magonjwa na yenyewe ni matendo ya huyo huyo Mungu.
Na Mungu huyo ni Mkatili sana.
Ilitakuwa ujue kwanini walitumia muda mrefu.sababu zipo kwenye biblia hiyo hiyo ila kwavile hujaisoma ndo maana hujui,sasa kutokujua kwako unakuja na jibu la jumla kua ni stori yakutunga.Kitu kama ukijui kiulize uelimishwe.Neno gani la Mungu limejaa uongo!
Biblia ni Hekaya za kutungwa kabisa.
Just imagine, Umbali kutoka Misri mpaka Israel ni kilometa 613 tu.
Lakini Biblia inakwambia waisraeli walitumia miaka 40 mpaka kufika Israel..!!!
Yani Biblia ni zaidi ya chai[emoji477][emoji477][emoji477][emoji261]
Soma biblia yako vizuri uielewe acha kukurupuka.Au kwenye hiyo biblia yako hakuna vita zozote zikizotahwa uko?.Je hao wakiopigana hawakujua hayo unayoyasema yakugeuza mashavu?.Israel wanatumia, rocket,mabomu,bunduki ,ndege kumuadabisha adui,wakati sisi weusi tunafundishwa kuwakabidhi adui zetu kwa mungu wa Israel ashuhurike nao,tunafundishwa kusamehe saba mara sabini,tunafundishwa mtu akikunyanganya koti ,muachie na shati,waislam samahanini sana,nilikosea pakubwa kwa kutowaamini
Wanayofanya Israel ndio alivyofanya mungu wa biblia yaani ndio namna mungu wa biblia anafanya kazi.
Hiyo biblia ya wapi?Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.
Ukweli mchungulakini Hamas asingejibiwa, mngeuliza Mungu wa Israel yuko wapi?
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Mchuma janga hula na wakwao
Kwanza kabisa, thibitisha huyo Mungu yupo.Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.
Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?
Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.
Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.
Kwa hakika Mungu hana ubaguzi.
Matendo 10:34
Nakwambia hivi Biblia ni Hekaya za kutungwa sawa na stori za udaku.Ilitakuwa ujue kwanini walitumia muda mrefu.sababu zipo kwenye biblia hiyo hiyo ila kwavile hujaisoma ndo maana hujui,sasa kutokujua kwako unakuja na jibu la jumla kua ni stori yakutunga.Kitu kama ukijui kiulize uelimishwe.
Kuna sehemu nimeandika Mungu ana ogopa kuitwa mkatili?Kwani Mungu kakwambia anaogopa kuitwa mkatili.
Kiburi ni nini?Ingekua hivyo kusingekua na kifo.Mungu aliumba dunia yenye kila kitu kibaya na kizuri ili ilete tafsiri halisi ya maisha.Kwahiyo yanayotokea ni hali ya maisha ili kuwe na kuishi na kutokuishi,mwanzo na mwisho.Kungekua na mazuri tu na hakuna kufa mngajuaje kuna aliyewaumba kama sasa tu mnaona kifo kipo bado tunaviburi.
Kuijua historia yako anaweza kuijua hata mtu baki siyo jambo geni, wazungu wanaijua historia ya Afrika kuliko waafrika wenyewe.Ina maana wewe unaijua historia ya Israel kuliko wa-Israel wenyewe... I mean Netanyahu.
Nimeielewa sana point hiiIsrael kutawaliwa na Romans na Romans kutawala ulaya na ulaya kutawala dunia ndo story imekuwa Israel Israel wahindi wangetutawala tungekuwa tunaongelea kina brahma saa hivi. Religion is an accident of geography and history
AsanteNimeielewa sana point hii
Mkuu kwa hoja yako, wapalestina kutompenda Mungu wa Biblia ndio wanapaswa kuuawa? Vipi kuhusu wachina wasiomjua hata Mungu wala biblia yenyewe, Wahindu wabudha je? Mbona wao hawateseki kama wapalestina? Au Mungu unaemwanini ww ndio mbaguzi?Nani alikudanganya kuwa israel inalindwa na marekani? Nani alikudanganya Mungu wa Biblia anawachukia wapalestina? Kupitia Yesu Kristo Mungu wa Biblia anapenda watu wote kwa upendo wa kufa msalabani kuonyesha kwa jinsi gani anawapenda watu wote! Swali la kukuuliza! Hao wapalestina wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Waislamu wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Jibu hapana! Kwahiyo pambana na hali zenu! Mtapigwa tu! Hata hivyo wakati utafika ambapo dunia nzima pamoja na huyo mmarekani watamchukia Israel na kujipanga kumuangamiza! Vita hiyo inaitwa vita ya 'Amaegadon' ambapo Yesu mwenyewe ndo atashuka kuwatetea Israel! Mleta mada tambua kuwa hata Israel ya sasa hawamtabui Yesu Mesiah kuwa alishakuja! Bado wanasubiri wakati alikuja wakamuua kwa kumsurubisha msalabani! Hizi nyakati za mwisho okoka!
Endelea kuwaokota wapumbavuUkimkataa tu YESU, vita ipo mlangoni...
Vita sio tu hiyo ya Israel na Hamas tu...
Vita yaweza kuwa ya uchumi, ndoa, kazi, wachawi, washirikina, shule kila mtu anavita yake...
Yani ukimkataa tu YESU unapigwa...