AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,406
- 4,899
Nawe Rudi katika maandiko, ukasome utawala wa Mfalme Suleiman,
Hapakuwa na vita katika utawala wake.
Ilikuwa Amani tupu,
Alipomwacha Mungu na kugeukia miungu, mtoto wake akakumbana na LAANA ya vita kama ADHABU.
Mungu akipewa nafasi kuongoza Watawala Amani hutamalaki, la vita IPO malangoni.
Mimi ni mkristo makini ninayesoma sana biblia lakini huwa hainiingii akilini ninaposoma stori za kwenye biblia. Kama Israel ni taifa teule mbona Mungu mwenyewe amekuwa akiwasotesha sana? Kwa mfano kulikuwa na sababu gani za kusafiri miaka 40 jangwani kutoka Misri hado Caanan? Na ilikuwaje taifa teule liwe watumwa kwa wamisri? Kwenye biblia kuna stori za mtu anaitwa Hamani aliyetaka waisrael wote wauwawe, inakuwaje wateule wasiwe na ulinzi? Hata miaka ya Yesu bado Israel ilikuwa koloni la warumi. Hata kwenye hii miaka yetu kuna Hitler ambaye aliwaangamiza vibaya. Ninadhani huu uteule wao una walakini. Watafakari upya. Ni wateule wanaoishi kwa mashaka miaka yote tangu enzi za Musa.