Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

Taifa teule,nikikumbuka ile habari wanavyowahasi wanawake wa kiafrica walio Israël ili wasizae.Jews ni wabaguzi tena ni wauaji.Imagine kuwahasi wanawake kisa tu hao wanawake ni weusi.Hivi kuna jew kawahi oa mwanamke mweusi kweli?
Taifa teule waongo wakubwa ,juzi wamebomb hospital na afisa wao alatweet kabisa ingawa ile ujembe twitter aliufuta baade.Sasa wanabisha si wao.Yaani anaetetea Jews haijielewi kabisa.
 
Soma hapo wewe;

SOMA: Namna BIBLIA ilivyotabiri kipigo cha GAZA na Majirani zake, na namna GAZA ilivyokuwa ikisurubiwa toka enzi za manabii


Nabii Amos alitabiri kuwa Gazi na nchi jirani watakuwa wanapokea kichapo tu... Na haijawahi kutokea Israel ikapigwa toka Amos alivyotabiri. Unazungumzia misri anatosha kumpiga Israel lakini unasahau Israel alipigana na waarabu wote ukanda huo, yani kina Misri, Syria, Uturuki, Lebanon, Palestina na wajinga wengine wengine wote wakapigwa vibaya sana, na Misri ikanyanganywa eneo la sinai, ila badae wakarudishiwa... Huu ni unabii wa Amos

AMOS 1:6-8 alitabiri juu ya kichapo
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Ukimkataa tu YESU, vita ipo mlangoni...

Vita sio tu hiyo ya Israel na Hamas tu...

Vita yaweza kuwa ya uchumi, ndoa, kazi, wachawi, washirikina, shule kila mtu anavita yake...

Yani ukimkataa tu YESU unapigwa...
 
Israel inamuhitaji Mungu sasa hivi kuliko maelezo! Cha ajabu Israel hawamjui Mungu wao! Ukiwauliza Mesiah aliishakuja na mukamuua kwa kumsurubisha msalabani wanakataa wanasema hajaja! Dunia nzima na hata huyo mmarekani watamgeuka watake kumuangamiza ndo atatokeza Yesu waliyemsulibisha kuja kuwaokoa!
 
Israel ndio taifa pekee lenye demokrasia ya kweli hapo mashariki ya kati, mapenzi ya jinsia moja ruksa, lazima tuisapoti israel tuachane na waarabu hawana demokrasia
 
Yesu huyu huyu, alie kua fundi seremala, ambae hao hao waisrail walimdhalilisha kwa kumtundika msalabani na kichupi tu? ama kuna mwengine?
Ndo huyo huyo anayekuja kuuhukumu Ulimwengu juu ya dhambi.

Usipomwamini jiandae kutupwa Jehanum.

Nakuombea umpokee, akuokoe uwe kiumbe kipya.

Amen
 
Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.
Unahuzunisha sana
 
Soma old testament nzima afu utaelewa Kama Mungu wa Israel hakuwa na upande. Soma story za Joshua walivyokua wanauwa watoto kwa wakubwa wanaume kwa wanawake wanabakiza bikra tu as slaves wa ngono afu ndo uje uniambie god of Israel all loving cjui Nini. Kila jamii Ina miungu Yao sema tu Israel kutawaliwa na Romans na Romans kutawala ulaya na ulaya kutawala dunia ndo story imekuwa Israel Israel wahindi wangetutawala tungekuwa tunaongelea kina brahma saa hivi. Religion is an accident of geography and history
🔨🔨🔨
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Wewe ni Myahudi?
 
Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.
[emoji316]
FB_IMG_1697371577064.jpg
 
Wewe endelea kubisha lakini huo ndio ukweli, kama Israel sio taifa teule mngekuwa mmeshalifuta kwenye ramani ya dunia muda mrefu sana,ila kwakuwa Mungu yupo na Israel hamuwezi kumfanya chochote kama umesahau nakukumbusha kidogo tu,rejea six days war,mliungana waarabu wote lakini mlipigwa na kataifa kachanga kabisa,utasema alisaidiwa na marekani mbona marekani mwenyewe kashindwa vita nyingi tu,na sio kila taifa linalosaidiwa na marekani linashinda kama unaakili timamu utaanza kujiuliza hii nchi inapataje ushindi, na kwanini mataifa yote duniani yanaitetemekea Israel na habari za Israel zinagusa dunia nzima, jibu Mungu yupo kazini na Israel vyovyote vile ya yanayoendelea ipo sababu ambayo yeye Mungu anajua kwanini ipo hivyo.
 
Nani alikudanganya kuwa israel inalindwa na marekani? Nani alikudanganya Mungu wa Biblia anawachukia wapalestina? Kupitia Yesu Kristo Mungu wa Biblia anapenda watu wote kwa upendo wa kufa msalabani kuonyesha kwa jinsi gani anawapenda watu wote! Swali la kukuuliza! Hao wapalestina wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Waislamu wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Jibu hapana! Kwahiyo pambana na hali zenu! Mtapigwa tu! Hata hivyo wakati utafika ambapo dunia nzima pamoja na huyo mmarekani watamchukia Israel na kujipanga kumuangamiza! Vita hiyo inaitwa vita ya 'Amaegadon' ambapo Yesu mwenyewe ndo atashuka kuwatetea Israel! Mleta mada tambua kuwa hata Israel ya sasa hawamtabui Yesu Mesiah kuwa alishakuja! Bado wanasubiri wakati alikuja wakamuua kwa kumsurubisha msalabani! Hizi nyakati za mwisho okoka!
Upuuzi huu umeutoa wapi?
 
Mungu hayupo.

Hao Israel na wapalestina ni Magaidi kama walivyo Taliban, Al Shabaab, Al -Qeida, Boko Haram na Islamic state.
Wote magaidi Si Israël si Hamas. Ndo maana mimi ninawalaani wote wawili.Wanaua watu wasio na Hatia. Ninalaani kitendo cha Hamas kufanya mauaji ya watu wasio na hatia,nilalaani Israël kwa kufanya mauaji kwa watu wasio na hatia.
 
Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia?
Duh..

Yale mauaji ya watoto wa Israel zaidi ya 260 yaliyotekelezwa na magaidi wa Kipalestina kwenye tamasha la muziki siyo hatia?!!!

Au hao Waisraeli waliouliwa walikuwa na hatia?!!

Hapo wa kulaumiwa ni Hamas tuu..
1697702936645.png
 
Back
Top Bottom