Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

Nonsense, rudi Sunday school kajifunze upya kuliko kufanya quotation ya maandiko hata usiyoyajua maana yake.
Ww unajua maandiko gani yanayounga mkono hoja yako
 
Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.

Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?

Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.

Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.

Kwa hakika Mungu hana ubaguzi.

Matendo 10:34
Mkuu fumbo la uwepo wa Mungu wa Israeli linafikirisha ajabu! La msingi ishi kwa furaha na tenda wema, hiyo ndio imani kuu!
 
Binafsi Namtafakari sana huyu Mungu...
Sanaaa.
 
Soma old testament nzima afu utaelewa Kama Mungu wa Israel hakuwa na upande. Soma story za Joshua walivyokua wanauwa watoto kwa wakubwa wanaume kwa wanawake wanabakiza bikra tu as slaves wa ngono afu ndo uje uniambie god of Israel all loving cjui Nini. Kila jamii Ina miungu Yao sema tu Israel kutawaliwa na Romans na Romans kutawala ulaya na ulaya kutawala dunia ndo story imekuwa Israel Israel wahindi wangetutawala tungekuwa tunaongelea kina brahma saa hivi. Religion is an accident of geography and history
 
Maneno mengi Point chache.
 
Wayahudi wanavutia upande wao na hata Torat (Agano la kale) kila kitu humo ndani ni historia ya Wayahudi na Mungu wao. Biblia (Agano Jipya) ni mambo ya Warumi, Yesu na maajabu aliyoyafanya mpaka kufikia kusulubiwa msalabani tukidanganywa kafuta dhambi zetu. Qur'an nayo hivyo hivyo, wanaongealea masuala ya Mohammed tu na mambo yake huku wakificha mauaji aliyokuwa anafanya makusudi na pia kubaka wake za watu. Ukiangalia utaona kuwa hizi dini si za ukweli ni za kimikakati tu (zimetungwa ili kutawala wanadamu) na waathirika ni sisi Waafrika tusiojitambua akili. Hivi Mungu ni mbaguzi kweli, na kwanini awapende Wayahudi tu, Wazungu, Waarab na sisi wengine ni watu wa nani?

Kwa kweli Ukristu na Uislam ni laana kubwa kuwahi kutokea kwa jamii ya Kiafrika. Angalieni huko Somalia, Nigeria na sehemu zingine hapa Afrika.....ndugu zetu wasio na akili timamu wanauana kwa ajili ya kutaka mataifa huru ya Kiislam na kufuata sheria za karne ya 7 zilizopitwa na wakati, Mungu anaruhusu huu ujinga kweli? Mh. Rais kama unasoma JF tafadhali usiruhusu ujinga kama huu uje kutokea hapa Tanzania, hizi dini ni laana kwetu sisi Waafrika.
 
Soma old testament nzima afu utaelewa Kama Mungu wa Israel hakuwa na upande. Soma story za Joshua walivyokua wanauwa watoto kwa wakubwa wanaume kwa wanawake wanabakiza bikra tu as slaves wa ngono afu ndo uje uniambie god of Israel all loving cjui Nini. Kila jamii Ina miungu Yao sema tu Israel kutawaliwa na Romans na Romans kutawala ulaya na ulaya kutawala dunia ndo story imekuwa Israel Israel wahindi wangetutawala tungekuwa tunaongelea kina brahma saa hivi. Religion is an accident of geography and history
Religion was planted ili viongozi wa dini waweze kutawala kondoo (mambumbumbu) wao. Ona sasa yaani leo hii, mtu akichoka maisha anajifanya Muhubiri, Baba Mchungaji, Nabii, Sheikh Kishiki, hii yote ni katika kutafuta ulaji toka kwa kondoo zao wasiojitambua akili. Ukiangalia nyuma ya pazia, utakuta asilimia kubwa ya wahudumu wa hizi dini ni watu wanafiki, wengi walipitia ufuska huko nyuma, washirikina, si watu wa kuwaamini hata siku moja. In short, ni wasanii tu.
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Duu umeutweza sana utu mbele ya waisrael
 
Wanaoamini hivyo ni wajinga.Hivi unaanzia wapi kusimama na taifa linaloua watoto namna hii.
F8xL6u7XwAAp1ur.jpeg
 
Mungu hayupo.

Hao Israel na wapalestina ni Magaidi kama walivyo Taliban, Al Shabaab, Al -Qeida, Boko Haram na Islamic state.
 
Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.

Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?

Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.

Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.

Kwa hakika Mungu hana ubaguzi.

Matendo 10:34
Nani alikudanganya kuwa israel inalindwa na marekani? Nani alikudanganya Mungu wa Biblia anawachukia wapalestina? Kupitia Yesu Kristo Mungu wa Biblia anapenda watu wote kwa upendo wa kufa msalabani kuonyesha kwa jinsi gani anawapenda watu wote! Swali la kukuuliza! Hao wapalestina wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Waislamu wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Jibu hapana! Kwahiyo pambana na hali zenu! Mtapigwa tu! Hata hivyo wakati utafika ambapo dunia nzima pamoja na huyo mmarekani watamchukia Israel na kujipanga kumuangamiza! Vita hiyo inaitwa vita ya 'Amaegadon' ambapo Yesu mwenyewe ndo atashuka kuwatetea Israel! Mleta mada tambua kuwa hata Israel ya sasa hawamtabui Yesu Mesiah kuwa alishakuja! Bado wanasubiri wakati alikuja wakamuua kwa kumsurubisha msalabani! Hizi nyakati za mwisho okoka!
 
Mkuu fumbo la uwepo wa Mungu wa Israeli linafikirisha ajabu! La msingi ishi kwa furaha na tenda wema, hiyo ndio imani kuu!
Hakuna fumbo lolote.

Mungu hayupo.

Mungu ni fiction character invented by religion.
 
Religion was planted ili viongozi wa dini waweze kutawala kondoo (mambumbumbu) wao. Ona sasa yaani leo hii, mtu akichoka maisha anajifanya Muhubiri, Baba Mchungaji, Nabii, Sheikh Kishiki, hii yote ni katika kutafuta ulaji toka kwa kondoo zao wasiojitambua akili. Ukiangalia nyuma ya pazia, utakuta asilimia kubwa ya wahudumu wa hizi dini ni watu wanafiki, wengi walipitia ufuska huko nyuma, washirikina, si watu wa kuwaamini hata siku moja. In short, ni wasanii tu.
🤐Ndo hivyo tuishi nao tu kidau
 
Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana.

Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?

Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.

Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.

Kwa hakika Mungu hana ubaguzi.

Matendo 10:34
Ukichokoza utapigwa tu. Watu waliouliwa na hamas kule israeli mlikua uvunguni sasa mnanyooshwa mnatusumbua hapa. Msichokoze kaeni kwa kutulia. Ukichokoza ujue kupigana
 
Nani alikudanganya kuwa israel inalindwa na marekani? Nani alikudanganya Mungu wa Biblia anawachukia wapalestina? Kupitia Yesu Kristo Mungu wa Biblia anapenda watu wote kwa upendo wa kufa msalabani kuonyesha kwa jinsi gani anawapenda watu wote! Swali la kukuuliza! Hao wapalestina wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Waislamu wanampenda Mungu wa kwenye Biblia? Jibu hapana! Kwahiyo pambana na hali zenu! Mtapigwa tu! Hata hivyo wakati utafika ambapo dunia nzima pamoja na huyo mmarekani watamchukia Israel na kujipanga kumuangamiza! Vita hiyo inaitwa vita ya 'Amaegadon' ambapo Yesu mwenyewe ndo atashuka kuwatetea Israel! Mleta mada tambua kuwa hata Israel ya sasa hawamtabui Yesu Mesiah kuwa alishakuja! Bado wanasubiri wakati alikuja wakamuua kwa kumsurubisha msalabani! Hizi nyakati za mwisho okoka!
Ukimaliza kutuhadithia katuni ongea point tutakusikiliza😂
 
Okoka na Mpokee Yesu Kristo aliye Mwisrael OG, Ili uwe Raia wa Mbinguni.

Yeye ndiye AMANI, mfalme wa HAKI, BWANA wa mabwana, Ufalme wake Hauna mwisho,

Ni wa Milele na milele.

Ukimkataa Yesu, vita IPO malangoni.

Amen
Yesu huyu huyu, alie kua fundi seremala, ambae hao hao waisrail walimdhalilisha kwa kumtundika msalabani na kichupi tu? ama kuna mwengine?
 
Back
Top Bottom