Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Ikisahasajiliwa DSE inamaanisha it's open to public na kila qualified persoanaweza kununua share kiongozi! Hii sio yangu ni sheria
Sasa mbowe anapaswa kuwa transparent kama mwanasiasa vingine ni biashara za ujanja ujanja
 
Biashara za mwanaume mwenzako unazitakia nini kijana.
Si alisema ana biashara. Sisi tukasema biashara zake ni kuiibia chadema. Sasa anage refute hilo kwa kuweka wazi biashara zake ili kutu proove wrong
 
This man has claimed himself as public figure not private figure and therefore whatever he does and acts must be publicly known.
Tukikuuliza na za mwingine na mwingine na Fulani unazijua siyo?hebu waulize hao kama Wana faili TRA,!linaloonyesha mapato yao na Kodi wanayollpa.
 
Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.

1.

2

3

4
Ukishajuwa zinakisaidia nn embu pambana kutafuta maisha yako na familia yako mengine hayakuhusu jitafute ufikie malengo yako mwaka huu ndio kwanza umeanza we kipaumbele kutaka kujuwa visivyokuhusu kwel?
 
Vinanihsu ili nifante maamuzi sahihi
 
Back
Top Bottom