Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.

1.

2

3

4
Wakati bado kama umezaliwa basi ulikuwa mshamba sana uliza baba yake Freeman alikuwa ni nani akamrithisha nini, waulize habari hii waliokuwa karibu na Mw Nyerere
 
Si alisema ana biashara. Sisi tukasema biashara zake ni kuiibia chadema. Sasa anage refute hilo kwa kuweka wazi biashara zake ili kutu proove wrong
Nenda kwake atakuonyesha c unataka kujua biashara zake mzee.
 
Mkuu Mbowe companies are private not public company.Akitaka kwenda public labda kuogeza mtaji ndipo.anaweza kuwa public na watu wakanunua hisa zake.
Hana biashara yoyote ndo mana anataka kufui kwenye kiti cha uenyekiti mana ile ndo biashara yake ya uhakika
 
Unauliza maswali ya mali za mtu kwa kejeli ili zikusaidie nini?.au unataka ujipitishe akuoe?..au ndo ujinga,chuki na wivu wa kiafrika vinakusumbua.jinga kweli wewe.
 
Hahaha, umegusa tunapopataka....!

In Reality, Mbowe sio Tajiri Mkubwa mwenye mali nyingi kama ambavyo watu humsema na kumsifia, angekuwa tajiri CHADEMA isingekuwa inachangisha pesa kwa wanachama wa mtaani mpaka bodaboda

Ana hela ya kawaida, take it from me...na ukiondoa Billicanas na Protea Hotel hana investment nyingine kubwa na Bili aliirithi kwa Baba yake

Najua watu hapa watabisha na kushambulia ila huo ndio ukweli

Pesa zingine zinazomweka mjini ni za Ruzuku
Trump mwenyewe anachangisha pesa ndio itakuwa Mbowe asichangishe.
 
Back
Top Bottom