sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Mkuu Mbowe companies are private not public company.Akitaka kwenda public labda kuogeza mtaji ndipo.anaweza kuwa public na watu wakanunua hisa zake.Yeye ndo angeonesha mfano ili kujua siyo walewale waendeaha biashara gizani