- Thread starter
- #61
No. Hata private companies zipoUnamaanisha Brela? DSE inahusu public companies tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No. Hata private companies zipoUnamaanisha Brela? DSE inahusu public companies tu
We pimbi kweli nizitahe zinisaidie nini?nenda Tume ya maadili ya umma kule kuna kila kitu, una jaza fomu tu then wanakupa failiAtaje sasa biashara zake. Si basi jamani kuna utata hapo kwani
Kibaha o levelKibaha au ihungo?
Nimeenda sinaona ndo mana nimeuliza azitaje ilintufatilieWe pimbi kweli nizitahe zinisaidie nini?nenda Tume ya maadili ya umma kule kuna kila kitu, una jaza fomu tu then wanakupa faili
Nimefatilia hulo kote sijaona chochote ndo mana natala mtu anayejua anitajieMali zinaorodeshwa kwa tume ya maadili ya umma unataka aweke Bango?
Ikisahasajiliwa DSE inamaanisha it's open to public na kila qualified person anaweza kununua share kiongozi! Hii sio yangu ni sheriaNo. Hata private companies zipo
Nilijua alipata zero A level ihungo,kumbe hakufika A level?!Kibaha o level
Sasa mbowe anapaswa kuwa transparent kama mwanasiasa vingine ni biashara za ujanja ujanjaIkisahasajiliwa DSE inamaanisha it's open to public na kila qualified persoanaweza kununua share kiongozi! Hii sio yangu ni sheria
Si alisema ana biashara. Sisi tukasema biashara zake ni kuiibia chadema. Sasa anage refute hilo kwa kuweka wazi biashara zake ili kutu proove wrongBiashara za mwanaume mwenzako unazitakia nini kijana.
Kwani ni Public companies au hujuii?Ziko DSE au ujsnja ujanja tu
Oleweni na Mbowe mjue mali zake.Kama hawezi kuwa transparent leo je akipewa uenyekiti tena au urais si atafirisi nchi au chamq kwa sababu za kijinga kama hizi
This man has claimed himself as public figure not private figure and therefore whatever he does and acts must be publicly known.Kwani ni Public companies au hujuii?
Tukikuuliza na za mwingine na mwingine na Fulani unazijua siyo?hebu waulize hao kama Wana faili TRA,!linaloonyesha mapato yao na Kodi wanayollpa.This man has claimed himself as public figure not private figure and therefore whatever he does and acts must be publicly known.
TCC kabla ya Kaburu kutia mkono ilikuwa ni Parastatal na miaka ya nyuma(about three or four decades ago)ilikuwa ni kampuni ya pili kwa ukubwa nyuma ya Tanzania Breweries.TCC Ltd.
Ukishajuwa zinakisaidia nn embu pambana kutafuta maisha yako na familia yako mengine hayakuhusu jitafute ufikie malengo yako mwaka huu ndio kwanza umeanza we kipaumbele kutaka kujuwa visivyokuhusu kwel?Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Vinanihsu ili nifante maamuzi sahihiUkishajuwa zinakisaidia nn embu pambana kutafuta maisha yako na familia yako mengine hayakuhusu jitafute ufikie malengo yako mwaka huu ndio kwanza umeanza we kipaumbele kutaka kujuwa visivyokuhusu kwel?
Anza na biashara za wazazi wako nadhani utapata kilicho sahihi zaid kuliko vya mzazi wa mwenzioVinanihsu ili nifante maamuzi sahihi
Wewe biashara zako ziko DSE ?Iko DSE au