Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kumiliki saccos kubwa kuliko zote nchini yenye nyumbu milioni 8, ruzuku za kutosha, michango ya vyama rafiki, viti maalum wanampa 1.5m kila mmoja, aida anampa 0.5m. hela za mama Abdul!Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Umekuja Tao lini kutoka huko Ushagoo?Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Watu hawajui aina za kampuni wanadhani kampuni zote ni PLC ,kuna LLC pia.....Orodhesha biashara zilizoko DSE zinazomilikiwa na watu binafsi. DSE sidhani kama kuna kampuni zaidi ya 30. Mfano kampuni za simu ni ttcl na Vodacom pekee, mahotel hakuna hata moja. Acha ujuha. Lete hoja zenye mashiko
Ningekuwa karibu yako ningekunasa kibao cha hatari. Wewe unaweza kutamka hadharani mali na biashara zako tena ukiwa mwanasiasa? Hukumbuki mwendazake aliharibu shamba la Mbowe?Hakuna kitu kama hichi. Kikeke alimuliza swali anamiliki biashara gani akaishiwa pozi
Biashara isipokuwa DSE inakuwa ujanja ujanja tu??Ziko DSE au ujsnja ujanja tu
Kwa hiyo siasa za bongo ni maji taka. Ndo mana mbowe anatupiga fix kuwa anaibeba chadema.kumbe chadema ndo inampa ulaji ndo mana kuliko amwachie mtu uenyekiti ni heri afia humohumoNingekuwa karibu yako ningekunasa kibao cha hatari. Wewe unaweza kutamka hadharani mali na biashara zako tena ukiwa mwanasiasa? Hukumbuki mwendazake aliharibu shamba la Mbowe?
Hiyu hajawahi kusema anakibeba chama flani na kwamba bila yeye chama hakipoBiasha za bilionea Abdul ni zipi?
Oh..aliyegawa mamilioni kwa Wenje na pesa chafu alizosema Lissu ndani ya Chadema ni nani?Hiyu hajawahi kusema anakibeba chama flani na kwamba bila yeye chama hakipo
mkuu umewaz kama mim kumhusu, yan anachat huku wakt watu tunamsubilia kule!Achana na uyo mjinga. Angalia stakishari panakuhusu usipoweka mzigo wa maana leo
Achana na huyo dogo, umaskini wake unamfanya kuchukia maendeleo ya wa tz wanzakeUnamaanisha Brela? DSE inahusu public companies tu
Elewa nilichoandika keanza unless una zero kama ya mboweOh..aliyegawa mamilioni kwa Wenje na pesa chafu alizosema Lissu ndani ya Chadema ni nani?
Ulifikiri Mbowe ni mbumbumbu asiyeweza hata kuandika neno 'six'?Achana na google mana kuld kila mtu anaweza andika chochote. We taja biashara zake utata uishe
Yeye ndiye aliyejitanabaisha kama mali yakeKwani CHADEMA ni Mali yake!Lazima bakuri lipite!
Vilevile ni mmiliki wa pisi kadhaa za chadema akiwemo joyce mukya ndo maana mbowe akiwaza raha hizi aisee hawez achia chama afe kipa afe beki.Kumiliki saccos kubwa kuliko zote nchini yenye nyumbu milioni 8, ruzuku za kutosha, michango ya vyama rafiki, viti maalum wanampa 1.5m kila mmoja, aida anampa 0.5m. hela za mama Abdul!
Wewe unaona ni biashara ndogo hii?
Jifunze kuandika kwanza!Elewa nilichoandika keanza unless una zero kama ya mbowe
Mwenyewe nikabaki nashangaa anamaanisha nini? 😂😂Unajua maana ya DSE kweli kijana? Mbona unauliza swali ambalo Halina mashiko?
Aish hotel,Achana na google mana kuld kila mtu anaweza andika chochote. We taja biashara zake utata uishe