Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.

1.

2

3

4
Kumiliki saccos kubwa kuliko zote nchini yenye nyumbu milioni 8, ruzuku za kutosha, michango ya vyama rafiki, viti maalum wanampa 1.5m kila mmoja, aida anampa 0.5m. hela za mama Abdul!
Wewe unaona ni biashara ndogo hii?
 
Orodhesha biashara zilizoko DSE zinazomilikiwa na watu binafsi. DSE sidhani kama kuna kampuni zaidi ya 30. Mfano kampuni za simu ni ttcl na Vodacom pekee, mahotel hakuna hata moja. Acha ujuha. Lete hoja zenye mashiko
Watu hawajui aina za kampuni wanadhani kampuni zote ni PLC ,kuna LLC pia.....

Elimu Elimu Elimu(ENL 2015)
 
Hakuna kitu kama hichi. Kikeke alimuliza swali anamiliki biashara gani akaishiwa pozi
Ningekuwa karibu yako ningekunasa kibao cha hatari. Wewe unaweza kutamka hadharani mali na biashara zako tena ukiwa mwanasiasa? Hukumbuki mwendazake aliharibu shamba la Mbowe?
 
Ningekuwa karibu yako ningekunasa kibao cha hatari. Wewe unaweza kutamka hadharani mali na biashara zako tena ukiwa mwanasiasa? Hukumbuki mwendazake aliharibu shamba la Mbowe?
Kwa hiyo siasa za bongo ni maji taka. Ndo mana mbowe anatupiga fix kuwa anaibeba chadema.kumbe chadema ndo inampa ulaji ndo mana kuliko amwachie mtu uenyekiti ni heri afia humohumo
 
Kumiliki saccos kubwa kuliko zote nchini yenye nyumbu milioni 8, ruzuku za kutosha, michango ya vyama rafiki, viti maalum wanampa 1.5m kila mmoja, aida anampa 0.5m. hela za mama Abdul!
Wewe unaona ni biashara ndogo hii?
Vilevile ni mmiliki wa pisi kadhaa za chadema akiwemo joyce mukya ndo maana mbowe akiwaza raha hizi aisee hawez achia chama afe kipa afe beki.
 
Biashara ya Mbowe ni kuuza viti maalumu vya chadema
 
Back
Top Bottom