Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Kumiliki saccos kubwa kuliko zote nchini yenye nyumbu milioni 8, ruzuku za kutosha, michango ya vyama rafiki, viti maalum wanampa 1.5m kila mmoja, aida anampa 0.5m. hela za mama Abdul!Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Wewe unaona ni biashara ndogo hii?