Kusema kweli Mimi Sijui biashara za Mbowe anazosema zipo ndani na nje zaidi ya Bilcanas ya zamani. Anayejua atutajie

Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.

1.

2

3

4

Kisheria kuna biashara za aina mbili binashara binafsi na biashara ambazo jamii imewekeza. Kwenye biashara za kibinafsi ni wanabodi wa biashara husika wanaweza kuamua waziweke hadharani kwa manufaa ya kampuni mfano kama kampuni inapata tender serikalini inaweza kunyimwa tender kwasababu tu ya siasa hivyo biashara binafsi kipato chake hakitangazwi mara nyingi. Hivyo kwasababu za kisiasa namuelewa Mbowe. Lakini nachojua wanahotel nje kama familia.
 
Hahaha, umegusa tunapopataka....!

In Reality, Mbowe sio Tajiri Mkubwa mwenye mali nyingi kama ambavyo watu humsema na kumsifia, angekuwa tajiri CHADEMA isingekuwa inachangisha pesa kwa wanachama wa mtaani mpaka bodaboda

Ana hela ya kawaida, take it from me...na ukiondoa Billicanas na Protea Hotel hana investment nyingine kubwa na Bili aliirithi kwa Baba yake

Najua watu hapa watabisha na kushambulia ila huo ndio ukweli

Pesa zingine zinazomweka mjini ni za Ruzuku
 
Kisheria kuna biashara za aina mbili binashara binafsi na biashara ambazo jamii imewekeza. Kwenye biashara za kibinafsi ni wanabodi wa biashara husika wanaweza kuamua waziweke hadharani kwa manufaa ya kampuni mfano kama kampuni inapata tender serikalini inaweza kunyimwa tender kwasababu tu ya siasa hivyo biashara binafsi kipato chake hakitangazwi mara nyingi. Hivyo kwasababu za kisiasa namuelewa Mbowe. Lakini nachojua wanahotel nje kama familia.
Kama hawezi kuwa transparent leo je akipewa uenyekiti tena au urais si atafirisi nchi au chamq kwa sababu za kijinga kama hizi
 
Back
Top Bottom