King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
Gazeti la kufungia maandazi kwanza linajiendesha kwa ruzuku za chadema na halijawahi kupata faida hata shingimiatano!Gazeti la Tanzania daima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti la kufungia maandazi kwanza linajiendesha kwa ruzuku za chadema na halijawahi kupata faida hata shingimiatano!Gazeti la Tanzania daima
Vyovyote vile, ila ni biashara zake kama ulivyotaka kutajiwaZiko DSE au ujsnja ujanja tu
Yeye ndo angeonesha mfano ili kujua siyo walewale waendeaha biashara gizaniDSE Ina kampuni hazifiki hata 30 we unauliza kama hotel ya mbowe ipo DSE? Ni matani au upo serious?
Zaidi ya huo ujanja ujanja. Ipi nyingineVyovyote vile, ila ni biashara zake kama ulivyotaka kutajiwa
Wewe umekuwa Mke wake Watoto Wake.Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Fedha zake nyingi ameridhi kutoka kwa mzee wake na kuziendeleza! Ako pia na real estate Dubai na FranceSi anajiita ni public figure? Au kabadili siku hizi ni private figure
Tofauti ni kwamba yeye ana akiliKwa hiyo mbowe naye ni mchuuzi kama wengine wanauza nguo mtaani
Akili gani wakati alipata zero form six pale kibahaTofauti ni kwamba yeye ana akili
Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Natala hizo real estates ziko wapi? Qu ziko mbinguniFedha zake nyingi ameridhi kutoka kwa mzee wake na kuziendeleza! Ako pia na real estate Dubai na France
Zimeisha. Tuanze kuorodhesha zako:Zaidi ya huo ujanja ujanja. Ipi nyingine
Ziko DSE au ujsnja ujanja tu
Hahaha, umegusa tunapopataka....!Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4
Kama hawezi kuwa transparent leo je akipewa uenyekiti tena au urais si atafirisi nchi au chamq kwa sababu za kijinga kama hiziKisheria kuna biashara za aina mbili binashara binafsi na biashara ambazo jamii imewekeza. Kwenye biashara za kibinafsi ni wanabodi wa biashara husika wanaweza kuamua waziweke hadharani kwa manufaa ya kampuni mfano kama kampuni inapata tender serikalini inaweza kunyimwa tender kwasababu tu ya siasa hivyo biashara binafsi kipato chake hakitangazwi mara nyingi. Hivyo kwasababu za kisiasa namuelewa Mbowe. Lakini nachojua wanahotel nje kama familia.
Fursa hiyo kama usajili hauna kikomo anzisha chako upige pesaUkweli ni kwamba Mbowe anatumia chama kama biashara ya uhakika.
Heri yeye kuliko anayeshindwa hata kuandika neno 'six'Akili gani wakati alipata zero form siz pale kibaha
Akil za kutafutia pesa mzee,we kaa na PHD.yako.huku wafa njaaAkili gani wakati alipata zero form six pale kibaha
Mbona hawezi ku disclose sasa biashara zakeAkil za kutafutia pesa mzee,we kaa na PHD.yako.huku wafa njaa
Biashara za mwanaume mwenzako unazitakia nini kijana.Anayejua biashara za mbiwe frankly speaking kabisa naomba azitaje.
1.
2
3
4