Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Znz nisha pigwa pesa nikatumiwa majini waniuwe ila bahati nzuri kuwa mimi ni kaka wa shetani.Leo kafashida unasahau ule usemi MTI WENYE MATUNDA MAZURI NDIYO HUPIGWA MAWE NA KUWA NA NGEU NYINGI🤣🤣🤣🤣🤣
na hapo ndipo shida na tofauti ilipo🤣😅🤣😅Znz nisha pigwa pesa nikatumiwa majini waniuwe ila bahati nzuri kuwa mimi ni kaka wa shetani.Leo kafa
Hahahaha bora huyo kafa akitetea watoto kuliko vishoiya wanaofia guest na waume za watu 😅Tulikua zetu silence tu ,mara paa jeni urassa akaja kuchomoa betri maurassa katukosti mno😅