Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislamUislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.
Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.
Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Hawa manabii waliitanaje kwenye swala?Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Wavumbuzi wa mambo ya kale, Archeologists, bado wanafanyia kazi hili Swali lako. Muda huu napo type hii comment. .Hawa manabii waliitanaje kwenye swala?
Waliswali sala ngapi?
Walifunga?
Walikwenda kuhiji wapi?
Walitoa zaka?
Hawa manabii waliitanaje kwenye swala?Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Kwamba kitabu Cha Allah Leo kinatetewa na wavumbuzi!Wavumbuzi wa mambo ya kale, Archeologists, bado wanafanyia kazi hili Swali lako. Muda huu napo type hii comment. .
Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tuHawa manabii waliitanaje kwenye swala?
Waliswali sala ngapi?
Walifunga?
Walikwenda kuhiji wapi?
Walitoa zaka?
Hebu jibu hoja kwanza na wewe ndo uulize.Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Ina maana hao wote walishaahadiaHili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Ina maana hao wote kina Adamu,Nuhu,Abraham,Musa,Daudi,Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Toa ushahidi wa kimaandiko kama hao walikuwa waislamu na si porojo za kujisalimisha! Na ushahidi huo uwe nje ya Quran kwa sababu ndo source inayobishaniwa!Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Jibu kwanza swali kiongozi, acha kuuliza wakati we hujajibu swali ulilolikuta.Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Waislam tubaamini uislam ulianza na Adam, ukakamilika kwa Mtumeuhammad.
Na mitume wote walijazia maamrisho ya Uislam ndo maana kuna mitume mingi, yote imekuja kufundisha sehem ya Uislam (ukiacha kuswali)
Muislamu yoyote anaye amini katika uislamu awezi kuwa na akili ....dini ya lugha ni uislamu pekee dini ya kweli ya mungu haiwezi kuwa kwa lugha moja...Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.