Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Tafuta biblia ya kiarabu alafu usome Yahweh ameitwa Kwa jina gani kama sio ALLAH
Allah ni Mungu kwa kiarabu,ni sifa sio jina. Hata Mungu wetu kule Kyela kwa kiarabu anaitwa Allah pia,hata nikiabudu mlima kama Mungu wangu basi kwa kiarabu huo mlima utaitwa Allah.

Kama Allah sio jina basi Mungu wa waisraeli sio Allah kwa sababu anajitambulisha kwa jina lake mwenyewe (Yahweh).

Mungu wa waarabu (Allah) jina lake ni nani? Wewe unaweza kuwa baba nyumbani kwako ila mtoto wako akiulizwa baba yake anaitwa nani basi hatasema baba. Atalitaja jina lako (mjingamimi).
 
Shida mnateseka na uislam.
Mitume tote ilikuja kuhubiri Mungu mmoja,kumpwekesha umoja wake.
Hapo ndipo unapopata maana ya uislam.uislam haukuanzishwa na mtume Muhammad Bali aliupokea kutoka Kwa mitume na manabii wengine.
Hoja yako tulisha ibatilisha hapa hspa jf kama ni hivyo .. je muislamu usilimu kuwa muislamu? Kwa nini wayahudi wanatakiwa kusilimu ili kuwa waislamu? ..pia hoja ya kuabudu mungu mmoja na kumpwekesha ipo hata kwa waabudu jua waabudu mwezi nk ...kumu abudu Mungu mmoja akumfanyi muabudu kuwa na dini sahihi au la .
 
Mafundisho aliyokuja nayo mtume Muhammad ndo waliokuja nayo mitume na manabii wote hata wale wa kiyahudi.
Uislam maana yake kuamini mungu mmoja na kumpwekesha umoja wake.
Baada ya wajanja kubadili maandiko Sasa myahudj na mkristo wanatakiwa watoe shahada ndo waingie kwenye uislam.
 
Hiyo kutoa shahada ilianza ndani ya uislamu wa Muhammad tu mbona hakuna hayo mambo ndani ya torati .
 
Ulikuwepo labda wewe unampinga Muhammad pia na pia haujui maana ya ukristo? Neno WAKRISTO ni kama kusema neno MASWAHABA yaani maswahaba wa Muhammad ndiyo waislamu na maswahaba wa Yesu kristo ndiyo Wakristo ..hivyo UKRISTO MAANA YAKE NI WAFUASI WA YESU NA INJILI ALIYOKUJA NAYO NA WAFUASI WA MUHAMMAD (MASWAHABA) NA MSAHAFU ALIOKUJANAO HAO NDIYO WAISLAMU...
Injili aliyokuja nayo Yesu ni ipi?
Ili tuone hao wakristo wanaomfuata Yesu na Injili aliyokuja nayo
 
Neno Allah lilikuwepo kabla hata ya Muhammad kuwepo duniani na lilitumika na wakristo wa Arabuni kabla ya kuwepo Muhammad hivyo neno Allah lina maana ya Mungu kwa lugha ya kiarabu....hivyo neno Allah siyo Uislamu, bali ni tafsiri ya neno MUNGU KWA KIARABU. Hivyo siyo Muhammad aliye tunga hilo neno wala siyo la Kiislamu bali ni neno la lugha ya kiarabu ...tatizo waislamu mmepotoshwa kuwa kiarabu ndiyo uislamu pia..hivyo kabla ya uislam wa Muhammad kuja duniani lugha ya kiarabu ilikuwepo na hiyo lugha ilikuwa na neno Allah kabla ya uislam wa Muhammad na Msahafu wake.....kutokana na kuja kwa uislamu wa msahafu ambao ndiyo uliteka nyara lugha ya kiarabu na kuifanya kuwa sehemu ya Dini ....basi wakristo wengi wanadhani neno Allah ni Neno lililo kuja na MUHAMMAD NA MSAHAFU JAMBO AMBALO SIYO KWELI...USHAHIDI WA UISLAMU KUWA NI DINI ILIYO ANZISHWA NA MUHAMMAD NI KUHUSISHWA KWA KIARABU NA HIYO DINI MOJA KWA MOJA .. waislamu wanalazimika kutumia kiarabu kumuabudu Mungu wao katika uislamu kote duniani tofauti na Mitume na Manabii na Waumini wa kale katika uyahudi na katika ukristo, ambao wao lugha siyo sehemu ya Dini, unaweza kumuabudu Mungu kwa lugha yoyote pasipo walakini mbele za Mungu...

Niliwahi kuwauliza waislamu hapa jf ..kuwa ni nani aliye kifanya kiarabu kuwa ndiyo lugha ya Mungu ya kumuabudia ?.... Kisha nikauliza hapa ni wapi ambapo lugha zisizo ya Kiarabu ziliharamishwa ?.

Maswali kama haya niliwahi kuwauliza wakristo kuhusu Kanisa kuitwa nyumba ya ibada..! Niliwauliza wakristo ni lini na niwapi nani Mtume au Nabii gani aliye badili taratibu za nyumba ya ibada hadi wakristo wakaketi vitini na kuingia na viatu na kutokutawaza ? Hakuna mkristo aliye toa jibu.... nikama hili swali la kiarabu kuwa lugha ya kumuabudia mungu... adri Al-mukheef FaizaFoxy Jagina Covax Bwana Utam OHB11 Malaria 2
Wewe ndio unadhani kiarabu ni Uislamu
Hakuna sehemu lugha nyingine zimeharamishwa
 
Injili aliyokuja nayo Yesu ni ipi?
Ili tuone hao wakristo wanaomfuata Yesu na Injili aliyokuja nayo
Wakristo tunayo injili ya Yesu ( Mathew, Mark, Luke and John). Nyie waislam mnao ikataa injili yetu ndiyo mtuonyeshe hiyo injili halisi ambayo sisi hatuna.

Allah anataka wakristo tuiamini injili wakati wewe unasema injili hatuna!! Bora tumsikilize Allah wenu tu.

Quran 5:68
Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hamna lenu jambo mpaka muishike Taurati na Injili na yote mlio teremshiwa kutokana na Mola wenu Mlezi. Na hakika ulio teremshiwa wewe kutokana na Mola wako Mlezi yatawazidishia wengi katika wao uasi na ukafiri. Basi usiwasikitikie watu makafiri.
 
Hujajibu swali Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
Au ndio unataka kusema hizo uchwara ulizozitaja hapo hahaha
 
Hujajibu swali Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
Au ndio unataka kusema hizo uchwara ulizozitaja hapo hahaha
Kama wewe huamini kwamba injili yetu ni halisi basi tuonyeshe hiyo original ambayo unayo.

Maana huwezi kupinga baadhi la kuwa na hiyo original tusiokuwa nayo wakristo. Allah anaopo tuambia wakristo tuhukumu kwa kutumia injili,ni injili ipi?

Allah anaweza kutoa amri ya kitu ambacho hakipo? Ukisema hatuna injili basi pia lete andiko kutoka kwenye Quran lisemalo wakristo hatuna injili.
 
Siongelei Injili halisi waka fake nimeuliza Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
 
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.

Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.

Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Umemaliza
 
Siongelei Injili halisi waka fake nimeuliza Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
Yesu hakushushiwa kitabu kama nyie waislam mnavyoamini kuhusu Quran. Injili ya Yesu (habari njema) ni mafundisho aliyoyafanya wakati wa uhai wake na baada ya kufufuka pia.

Mafundisho hayo pamoja na habari za maisha yake zimeandikwa na Mathew, Mark, Luke and John .
 
Kama unaamini hivyo basi kaa pembeni nijadiliane na huyo aliyesema Yesu alikuja na Injili
 
Back
Top Bottom