Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Mwenye akili ilikuwaje Yesu yakamfika haya kuchukuliwa na Mwovu na kuwekwa juu ya mnara?.

3 Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate.”

4 Yesu akamjibu, “Maandiko yanasema, ‘Watu hawataishi kwa mkate tu.’”

5 Kisha mwovu akamchukua Yesu na kwa muda mfupi akamwonyesha falme zote za ulimwengu. 6 Mwovu akamwambia, “Nitakufanya uwe mfalme wa sehemu zote hizi. Utakuwa na mamlaka juu yao, na utapata utukufu wote. Yote yametolewa kwangu. Ninaweza kumpa yeyote kadri ninavyopenda. 7 Nitakupa vyote hivi, ikiwa utaniabudu tu.”

8 Yesu akajibu, “Maandiko yanasema, ‘Ni lazima umwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’”

9 Ndipo Shetani akamwongoza Yesu mpaka Yerusalemu na kumweka mahali palipo juu katika mnara wa Hekalu. Akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jirushe!
Wewe hiyo ni code spiritual mwovu kumchukua sio alimbeba kama tai anampeleka vuuu hiyo ilikua mind illusion yaani kila kitu kilikuja kama wazo katika picha yaani tafakuri,Ulimwengu wa roho ni kama wazo ila linatengeneza reality na ndio maana kama umefika kariakoo halafu ukatoka kwenda nyumbani ukifika mtu ukisikia neno kariakoo kuna picha inakuja akilini ya lile eneo ,kama hujawahi kufika kuna picha itajitengeneza sawasawa na taarifa uliyopewa kuhusu hilo eneo so hata Yesu kuchukuliwa haikua physical ila spiritual!
 
Kinacho wachnganya enyi wagalatia ni neno Uislam hapo, lakini ukilitoa Hilo neno ukisema kila Nabii alimuabudu Mungu mmoja TU hapo wote mtakubali ni kweli, kwahio shida ni hapo Lugha na uelewa TU.
Mungu yupi? usilazishe Mungu wa kwenye Quran awe ndo Mungu wa kwenye Biblia. Wewe ukiamini mungu wa quran ishia hapo, usitake tena mungu wa kwenye Biblia naye umlete kwenye Quran. Kama Mungu ni mmoja basi atakuwa ni yule aliyezungumwa kwenye Biblia au kwenye Quran, hivyo Quran haiwezi kuthibitsha ukweli wa Mungu anayezungumzwa kwenye Quran kwa kutumia Biblia wala Biblia haiwezi kuthibitisha Mungu anayezunguzwa kwenye Biblia kwa kutumia Quran. Mungu hawezi kuwa na pande mbili anayoyakataza kwenye quran ayakubali kwenye biblia au anayopinga kwenye biblia au akubali kwenye quran.
Hayo mambo ya kuquote biblia na quran kwa pamoja kwa jambo moja ni propaganda za kisiasa tu wala sio mambo ya IMAN.
 
Tatizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.

Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac etc
Yaani wewe binadamu ndo ujue stage nzuri ya Mungu!

Yaani wewe ndo unajua stage nzuri ya Mungu!
Ati Mungu alikuwa "analeta maboresho" kila stage, kwa hiyo Mungu anafanya majaribio kwanza hana uhakika na anacho kifanya.
 
Tatizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.

Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac

Watu wanaongaika na dini mimi nawashangaa. Wakati huohuo najishangaa. Kuanzia Adam mpaka Musa hapakuwa na dini bali taratibu na desturi za mapokeo kutoka kwa Mungu zilizoritishwa kizazi na kizazi Kuanzia Adam.

Hisia za dini zinaanza kujitokeza kwenye amri 10 pale kutoka 20 mkwenye Biblia lakini sio waziwazi maana bado yalikuwa ni maagizo ya Mungu kwa Musa.

Sasa najiuliza hili suala la dini limetokea vipi. Ninachodhani Mimi dini ni utaratibu tu wa kundi fulani la watu kumtafuta Mungu wao.

Hivyo nawiwa kusema kuwa hakuna dini ya kweli bali kuna taratibu na desturi ambazo mwanadamu akizifuata basi atamuona Mungu au ataingia Mbinguni.

Kwa maana hiyo haijalishi wewe ni dini gani bali unafuata taratibu zipi katika kumuabudu Mungu na hujamkufuru Mungu basi yawezekana ukawa miongoni mwa wateule.

Biblia inasema "Heri wenye moyo safi maana hao watamuona Bwana" haijasema dini fulani ndio watamuona Bwana. Na kuna mahali tena imeandikwa "Waacheni watoto wadogo waje kwangu maana ufalme wa mbingu ni wao" Je tunazijua tabia za watoto na kuziishi?

Vilevile nilisoma mahali kwenye Biblia kuwa dini ya kweli ni kuwaona/ kuwahudumia wajane na yatima.

Kwa maelezo hayo nadhani mbinguni hawaendi watu kwa sababu ni dini fulani. Hivyo kutakuwa na mchanganyiko wa watu wa dini tofauti bali wenye mfanano katika kuabudu na kutenda kadli ya mapenzi ya Mungu
Umeanza vizuri lakini mwisho na wewe unakuja kujichanganya kwenye ukristo.
 
Quran imetunga yenyewe jambo halafu unataka ushahidi nje ya quran au ndani ya quran!
Hapa sawa na unamkuta mtu anatunga kwamba nimetokewa na Mungu usiku ukimbisha anakwambia lete ushahidi kwamba sikutokewa na mungu, hiyo ni akili kweli.
Sasa ushahidi unaotaka wewe ni ushahidi gani wakati quran yenyewe ndo inyosema Mohamad ndo alishushiwa hiyo quran na kuanzisha uislam.
Sawa na wakristo waseme Ibrahim alikuwa mkristo kisa biblia inazungumza habari za Ibrahim. wakati ukristo umetokana kristu.
Kwahiyo Bibilia inasemaje kuhusu Ibrahim na Isaka? Au inasema walikuwa wapagani?

Maana wapagani ndio hawana dini
 
Sasa shida ipo wapi hapo ...Yesu alikua anaonyesha njia kuu 3 ambazo shetana anazitumia kumwangusha mwanadamu ..ambazo ni
1)matamanio yote
2)dhiki za aina zote
3)mafundisho potovu

Ndiyo maana ya yale majaribu matatu.
Kwahio Yesu ni mwanadamu sio Mungu wala mtoto wa Mungu ndio maana Shetani alimjaribu?.
 
Wewe hiyo ni code spiritual mwovu kumchukua sio alimbeba kama tai anampeleka vuuu hiyo ilikua mind illusion yaani kila kitu kilikuja kama wazo katika picha yaani tafakuri,Ulimwengu wa roho ni kama wazo ila linatengeneza reality na ndio maana kama umefika kariakoo halafu ukatoka kwenda nyumbani ukifika mtu ukisikia neno kariakoo kuna picha inakuja akilini ya lile eneo ,kama hujawahi kufika kuna picha itajitengeneza sawasawa na taarifa uliyopewa kuhusu hilo eneo so hata Yesu kuchukuliwa haikua physical ila spiritual!
Nimekuelewa lakini umeelewa hio namba 9 maelezo yake?.

9;Ndipo Shetani akamwongoza Yesu mpaka Yerusalemu na kumweka mahali palipo juu katika mnara wa Hekalu. Akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jirushe!
 
Kwahio Yesu ni mwanadamu sio Mungu wala mtoto wa Mungu ndio maana Shetani alimjaribu?.
Hata binadamu wanaweza kumjsribu mungu ...ujasoma maandiko ? Ndiyo maana kuna amri imeonywa ....USIMJATIBU MUNGU WAKO ...Hoja yako ni sawa na hoja za kipumbavu zinazo sema je mungu anaweza kupigwa makofi nk ? Jibu mbona Mungu anatukanwa duniani na wanao mtukana wanadunda tu na maisha kama hskuna kitu.....kwanini wasife papo hapo...amri za Mungu zinavunjwa siku zote kwanini kama Mungu yupo hao wavunjao amri wasife papo hapo.......lengo la kuja kwa Mungu duniani mfano wa mwanadamu (Yesu) ni matatu ..

1)Kutuonyesha kwa vitendo jinsi itupasavyo kuenenda katika kumcha Mungu...hivyo Mungu alijigeuza kama mchamungu kuwa kielelezo thabiti cha kutufunza jinsi ya kumpendeza yeye mwenyewe. (Hivyo ni mwalimu mkuu).

2)Sababu ya pili ni Kuondoa visingizio na udhuru wowote kwa Wanadamu kuhusu ugumu au hofu nk katika kumcha Mungu (sababu kama yeye aliye Mungu aliutwaa udhaifu wote wa mwili lakini hali simama katika unyoofu hata kufa basi ni UDHURU gani tena binadamu atatoa mbele za Mungu kujitetea na dhambi siku ya hukumu (kiama) ?.

3)sababu ya 3 ni kuwa sadaka takatifu mbele ya Bwana kwa ajili ya toba za dhambi za wanadamu (hapa yesu alijitoa kuwa sadaka kwa hasira ya Mungu juu ya dhambi tutendazo ili Mungu awe mwepesi kuzisamehe tutubupo katika kweli..(siku zote hasira ushindana na msamaha ) siku ya kiama hakuna toba kwa sababu hasira na gadhabu za Mungu zitakuwa juu sana..hata kusiweze kane tena kusamehe dhambi..... Hii ndiyo sababu ya damu ya Yesu na Msalaba kuitwa wokovu 👉 kwa hao wanao okolewa ...pasipo damu ya yesu hakuna awezaye kusamehewa dhambi nyingi tulizo nazo sasa ...Yesu alijitoa sadaka kwa ajili ya dhambi zetu katika kukubaliwa msamaa siyo vinginevyo (wingi wa hasira ya Mungu =ugumu wa Mungu kusamehe..
adriz Malaria 2 FaizaFoxy Al-mukheef Covax Jagina
 
Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani

Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki

Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo

Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
Isa wa Quran na Yesu wa Biblia ni watu wawili tofauti. Isa sio Yesu
 
Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam

Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo

1. Adam hakuwa na Dini
2. Hakuna na Dini alikuwa akimwabudu Mungu na wengine hivyo hivyo.

HUWA TUNADANGANYA KUWA WALIKUWA WAISLAMU ILI KUUPA NGUVU UISLAMU AMBAO WAKRISTO WANAUDHARAU NA KUUKATAA. SABABU HAWAMTAMBUI MUHAMMAD KABISA.

1. Moses alitengeneza Uyahudi ambao ndio wengine walikuja ishi nao
 
Haya ni maoni yako uliyotoa kichwani kwako sio maandiko

Weka ushahidi wa maandiko kuwa Adam baba yetu alikuwa mpagani

Tunafuata maandiko yanavyosema hatuwezi kuufuata maoni ya chizi kilaza kama wewe
 
Quran imetunga yenyewe jambo halafu unataka ushahidi nje ya quran au ndani ya quran!
Hapa sawa na unamkuta mtu anatunga kwamba nimetokewa na Mungu usiku ukimbisha anakwambia lete ushahidi kwamba sikutokewa na mungu, hiyo ni akili kweli.
Sasa ushahidi unaotaka wewe ni ushahidi gani wakati quran yenyewe ndo inyosema Mohamad ndo alishushiwa hiyo quran na kuanzisha uislam.
Sawa na wakristo waseme Ibrahim alikuwa mkristo kisa biblia inazungumza habari za Ibrahim. wakati ukristo umetokana kristu.
Mambo ya ajabu sana
 
1. Adam hakuwa na Dini
2. Hakuna na Dini alikuwa akimwabudu Mungu na wengine hivyo hivyo.

HUWA TUNADANGANYA KUWA WALIKUWA WAISLAMU ILI KUUPA NGUVU UISLAMU AMBAO WAKRISTO WANAUDHARAU NA KUUKATAA. SABABU HAWAMTAMBUI MUHAMMAD KABISA.

1. Moses alitengeneza Uyahudi ambao ndio wengine walikuja ishi nao

We umeona kuna sehemu nmesema alikuwa mpagani? Nioneshe Sehemu kwenye Biblia inataja Dini yake.
 
Ndiyo
Je,wewe unakubali kuwa Ukristo haukuwepo wakati wa Yesu?
Ulikuwepo labda wewe unampinga Muhammad pia na pia haujui maana ya ukristo? Neno WAKRISTO ni kama kusema neno MASWAHABA yaani maswahaba wa Muhammad ndiyo waislamu na maswahaba wa Yesu kristo ndiyo Wakristo ..hivyo UKRISTO MAANA YAKE NI WAFUASI WA YESU NA INJILI ALIYOKUJA NAYO NA WAFUASI WA MUHAMMAD (MASWAHABA) NA MSAHAFU ALIOKUJANAO HAO NDIYO WAISLAMU...
 
Shida mnateseka na uislam.
Mitume tote ilikuja kuhubiri Mungu mmoja,kumpwekesha umoja wake.
Hapo ndipo unapopata maana ya uislam.uislam haukuanzishwa na mtume Muhammad Bali aliupokea kutoka Kwa mitume na manabii wengine.
 
Unashangaa nini wakati wakristo wa Uarabuni wanatumia Jina Allah 😀😀😀
Neno Allah lilikuwepo kabla hata ya Muhammad kuwepo duniani na lilitumika na wakristo wa Arabuni kabla ya kuwepo Muhammad hivyo neno Allah lina maana ya Mungu kwa lugha ya kiarabu....hivyo neno Allah siyo Uislamu, bali ni tafsiri ya neno MUNGU KWA KIARABU. Hivyo siyo Muhammad aliye tunga hilo neno wala siyo la Kiislamu bali ni neno la lugha ya kiarabu ...tatizo waislamu mmepotoshwa kuwa kiarabu ndiyo uislamu pia..hivyo kabla ya uislam wa Muhammad kuja duniani lugha ya kiarabu ilikuwepo na hiyo lugha ilikuwa na neno Allah kabla ya uislam wa Muhammad na Msahafu wake.....kutokana na kuja kwa uislamu wa msahafu ambao ndiyo uliteka nyara lugha ya kiarabu na kuifanya kuwa sehemu ya Dini ....basi wakristo wengi wanadhani neno Allah ni Neno lililo kuja na MUHAMMAD NA MSAHAFU JAMBO AMBALO SIYO KWELI...USHAHIDI WA UISLAMU KUWA NI DINI ILIYO ANZISHWA NA MUHAMMAD NI KUHUSISHWA KWA KIARABU NA HIYO DINI MOJA KWA MOJA .. waislamu wanalazimika kutumia kiarabu kumuabudu Mungu wao katika uislamu kote duniani tofauti na Mitume na Manabii na Waumini wa kale katika uyahudi na katika ukristo, ambao wao lugha siyo sehemu ya Dini, unaweza kumuabudu Mungu kwa lugha yoyote pasipo walakini mbele za Mungu...

Niliwahi kuwauliza waislamu hapa jf ..kuwa ni nani aliye kifanya kiarabu kuwa ndiyo lugha ya Mungu ya kumuabudia ?.... Kisha nikauliza hapa ni wapi ambapo lugha zisizo ya Kiarabu ziliharamishwa ?.

Maswali kama haya niliwahi kuwauliza wakristo kuhusu Kanisa kuitwa nyumba ya ibada..! Niliwauliza wakristo ni lini na niwapi nani Mtume au Nabii gani aliye badili taratibu za nyumba ya ibada hadi wakristo wakaketi vitini na kuingia na viatu na kutokutawaza ? Hakuna mkristo aliye toa jibu.... nikama hili swali la kiarabu kuwa lugha ya kumuabudia mungu... adri Al-mukheef FaizaFoxy Jagina Covax Bwana Utam OHB11 Malaria 2
 
Shida mnateseka na uislam.
Mitume tote ilikuja kuhubiri Mungu mmoja,kumpwekesha umoja wake.
Hapo ndipo unapopata maana ya uislam.uislam haukuanzishwa na mtume Muhammad Bali aliupokea kutoka Kwa mitume na manabii wengine.
Mungu mmoja yupi? Allah hakuwahi kuwa Mungu wa wayahudi,hata kwenye vitabu vyao hayumo. Kwanini mna ng'ang'aniza hili jambo?
 
Mungu mmoja yupi? Allah hakuwahi kuwa Mungu wa wayahudi,hata kwenye vitabu vyao hayumo. Kwanini mna ng'ang'aniza hili jambo?
Tafuta biblia ya kiarabu alafu usome Yahweh ameitwa Kwa jina gani kama sio ALLAH
 
Back
Top Bottom