Dini zote zimetulia
Ni wao tu
Mala Kitabu kisichokuwa na shaka:
Mala Dini Ya Iburahimu
Mala mtume alienda Mbinguni kumswalisha Iburahimu, Musa na Isa
Mala Hakuna Mungu ila Allah(ni vipi kama Allah sio Mungu Mwenyezi?)
Mala Kitabu kimekuja kusadikisha yote.
Mala Hii Dini imekuja kuzishinda Dini nyingine:
Mala Siabudu mnaye Mwabudu(mtaje basi)
Yaani Qurani ni full kujitetea na kujifagilia:
Je kama ni kweli Mnaishika SABATO kama Torati inavyo amrisha?
Kuswali Ijumaa mmekutoa wapi?
Kutoka 20:8
Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
9 Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Hivi ni kwani hamwoni kuwa mnaongopewa?
Haya mniambie kwanini Leo Waislamu hamuishiki SABATO kama Waislamu wa zamani:?
Akina Musa 🤣🤣🤣🤣