Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Ukishaanza kuita watu makafiri wajanja tunajua umeishiwa hoja!
Makafiri ni Hawa hapa na walikuwepo kabla ya kuzaliwa Muhamadi:
Na sisi kiungwana wala hatuwaiti hivyo:
Tunawajua
Yuda 1:4
Allah ndio aliyowambia Wana wa Israel wafanye Ibada siku ya Sabato
Na Allah anasema ndani ya Quran Kuna wakazi wa Kijiji kimoja aliwaangamiza Kwa kuvunja Sabato
Quran 7:163
- Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko). Samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:165
- Basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:166
- Walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa.

Kitu ambacho haukijui ni kuwa Mungu alileta manabii na vitabu vitawale katika nyakati tofauti kama sisi tunavyochagua maraisi Kila Baada ya miaka 10 tena wengine wanataka na katiba mpya
Raisi ni sawa na Nabii na katiba ni sawa na kitabu

Hivi Sasa wewe ukisema raisi wako ni Kikwete au Magu watu watakushangaa na mitume wa Mungu ni hivyo hivyo

Muda wa Sabato na Taurati uliisha Baada ya kuja mtume Muhammad

Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Ili ugundue hilo inatakiwa uwe na akili ya ziada

Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
Allah ndio aliyowambia Wana wa Israel wafanye Ibada siku ya Sabato
Na Allah anasema ndani ya Quran Kuna wakazi wa Kijiji kimoja aliwaangamiza Kwa kuvunja Sabato
Quran 7:163
- Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko). Samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:165
- Basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:166
- Walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa.

Kitu ambacho haukijui ni kuwa Mungu alileta manabii na vitabu vitawale katika nyakati tofauti kama sisi tunavyochagua maraisi Kila Baada ya miaka 10 tena wengine wanataka na katiba mpya
Raisi ni sawa na Nabii na katiba ni sawa na kitabu

Hivi Sasa wewe ukisema raisi wako ni Kikwete au Magu watu watakushangaa na mitume wa Mungu ni hivyo hivyo

Muda wa Sabato na Taurati uliisha Baada ya kuja mtume Muhammad

Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Ili ugundue hilo inatakiwa uwe na akili ya ziada
Wapi Allah aliposema Mswali Ijumaa?
Kutwa mara TANO
Lete andiko
 
Kila umma ulikuwa na mtume wao na shahada yao.
Kipindi mtume hayupo.walikuwa wanatumia shahada ya hakuna mungu mwingine ila Allah.
Hii hoja umeitoa wapi? Kwenye Quran au hadithi? Allah hakuwahi kuwa Mungu wa wayahudi.
 
Ukiacha ukiristo na utajiri kupotoahwa saana, tubaamini hizi dininziko half cooked, I mean hazijakamilika,

Ndo maana kuna kufanana, ila hazijakamilika.

In all, tunawaaita wakristo na wayahudi watu wa kitabu, yaani wananafuu kuliko dini nyingine zozote.

So, hatuna shida na wakristo wala wayahudi, tunaamini wakielekezwa vzr watakuwa waislamu, tofauti na dini nyingine ambazo haziamini kwenye mitume.
Mtume wenu aliambiwa akiwa na wasi wasi kuhusu ufunuo wake (Quran) basi awaulize watu walioshushiwa kitabu kabla yake (wakristo na wayahudi).

Wakati huo huo ufunuo wake (Quran) unapotosha kwa kutofautiana na maandiko ya kale. Mohamed kaleta Mungu mpya,dini mpya na taratibu mpya tofauti na manabii wa kale. Uislamu ni dini ya uongo .
 
Mungu hajawahi kumtuma mtume anayeitwa Mwamposa

Waislam wa kipindi cha Nuhu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Nuhu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Musa shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Musa ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Yesu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Na Yesu kwakuwa alijua hi ndio nguzo kubwa katika uislam aliwafundisha Wana wa Israel

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapo Yesu anatoa na kufundisha shahada

Hata wewe kama utalikubali hilo andiko hapo kuwa Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Automatically unakuwa muislam kama Yesu
Umenifurahisha sana ulipoquote hiyo injili!
Ungeshuka chini kdg ungejua kuwa Yesu siye huyo umdhaniaye!
6.Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa. 6.Nimewafahamisha jina lako wale ambao umenipa kutoka katika ulimwengu. Wao wametii neno lako. 7.Sasa wamefahamu ya kuwa vyote ulivyonipa vinatoka kwako ; 8.Kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma.
 
Allah ndio aliyowambia Wana wa Israel wafanye Ibada siku ya Sabato
Na Allah anasema ndani ya Quran Kuna wakazi wa Kijiji kimoja aliwaangamiza Kwa kuvunja Sabato
Quran 7:163
- Na waulize khabari za mji ulio kuwa kando ya bahari, wakiivunja Sabato (Jumaamosi ya mapumziko). Samaki walikuwa wakiwajia juu juu siku ya mapumziko yao, na siku zisio kuwa za kupumzika hawakuwa wakiwajia. Kwa namna hiyo tuliwajaribu kwa sababu walikuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:165
- Basi walipo yasahau waliyo kumbushwa, tuliwaokoa walio kuwa wakikataza maovu, na tukawatesa walio dhulumu kwa adhabu mbaya kwa vile walivyo kuwa wakifanya upotovu.
Quran 7:166
- Walipo jifakharisha katika waliyo kanywa tuliwaambia: Kuweni manyani wa kudharauliwa.

Kitu ambacho haukijui ni kuwa Mungu alileta manabii na vitabu vitawale katika nyakati tofauti kama sisi tunavyochagua maraisi Kila Baada ya miaka 10 tena wengine wanataka na katiba mpya
Raisi ni sawa na Nabii na katiba ni sawa na kitabu

Hivi Sasa wewe ukisema raisi wako ni Kikwete au Magu watu watakushangaa na mitume wa Mungu ni hivyo hivyo

Muda wa Sabato na Taurati uliisha Baada ya kuja mtume Muhammad

Nyinyi wagalatia Wazungu wamekuingizeni chaka na Ili ugundue hilo inatakiwa uwe na akili ya ziada
Muhammad kabla ya kupewa utume chini ya miaka 39 ali heshimu sabato au alikuwa ana abudu Mungu kwa muongozo gani maana hatuoni ndani ya uislamu Muhammad kuwa kabla ya kupewa utume alikuwa ana heshimu sabata ...kumbuka kuwa Ibrahimu alikuwa anafuata sabato
 
Mnalazimisha sana Uwongo wenu:
Eti Dini ya Iburahimu:
Wapi Muhamadi alitahiriwa?

Mwanzo 17:9
Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.
10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake;
amelivunja agano langu.
 
Muhamadi ni WA Kutengwa:

Mwanzo 17:14
Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.
 
Mtume wenu aliambiwa akiwa na wasi wasi kuhusu ufunuo wake (Quran) basi awaulize watu walioshushiwa kitabu kabla yake (wakristo na wayahudi).

Wakati huo huo ufunuo wake (Quran) unapotosha kwa kutofautiana na maandiko ya kale. Mohamed kaleta Mungu mpya,dini mpya na taratibu mpya tofauti na manabii wa kale. Uislamu ni dini ya uongo .
Hii unasema wewe,

Vitabu vyenu vimepotoshwa saana, hakuna cha kuamini,

Mtume aliongea na Mwenyezi Mungu kupitia Jibril, hakuwa na haja ya kuwauliza watu wengine angemuuliza Mwenyezi Mungu straight.

Issue kubwa kwa ukiristo na uyahudi ni mikono ya watu imebadilisha saana dini, hasa kingdoms, ndo maana vitabu haviaminiki
 
Umenifurahisha sana ulipoquote hiyo injili!
Ungeshuka chini kdg ungejua kuwa Yesu siye huyo umdhaniaye!
6.Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa. 6.Nimewafahamisha jina lako wale ambao umenipa kutoka katika ulimwengu. Wao wametii neno lako. 7.Sasa wamefahamu ya kuwa vyote ulivyonipa vinatoka kwako ; 8.Kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma.
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hili andiko wewe hauliamini na Wala haulifuati Kwa sababu hapa Yesu alikuwa anawafundisha waislam wenziwe shahada

By the way Quran, Taurati, Zaburi na Injili vyote ni vitabu vya waislam

Quran 3:3
- Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili

Nyinyi wagalatia vitabu vyenu ni Wakolintho. Wagalatia. Warumi. Tito sijui Efeso
Barua za Paulo alizokuwa anawaandikia wapendwa wake ndio vitabu vyenu
 
Hii unasema wewe,

Vitabu vyenu vimepotoshwa saana, hakuna cha kuamini,

Mtume aliongea na Mwenyezi Mungu kupitia Jibril, hakuwa na haja ya kuwauliza watu wengine angemuuliza Mwenyezi Mungu straight.

Issue kubwa kwa ukiristo na uyahudi ni mikono ya watu imebadilisha saana dini, hasa kingdoms, ndo maana vitabu haviaminiki
Hata Zumaridi alishawahi kusema aliongea na Mungu
 
Mnalazimisha sana Uwongo wenu:
Eti Dini ya Iburahimu:
Wapi Muhamadi alitahiriwa?

Mwanzo 17:9
Mungu akamwambia Ibrahimu, Nawe ulishike agano langu, wewe na uzao wako kwa vizazi vyao baada yako.
10 Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
11 Mtatahiriwa nyama ya magovi yenu, na jambo hilo litakuwa ishara ya agano kati ya mimi na ninyi.
12 Mtoto wa siku nane atatahiriwa kwenu, kila mwanamume katika vizazi vyenu, mzaliwa nyumbani, na mnunuliwa kwa fedha, kila mgeni asiyekuwa wa uzao wako.
13 Mzaliwa nyumbani mwako, na mnunuliwa kwa fedha yako, lazima atahiriwe; na agano langu litakuwa katika mwili wenu, kuwa agano la milele.
14 Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake;
amelivunja agano langu.
Kutahiri si lazima na jambo la ibada na sheria kwenye Uislamu ?
 
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.

Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.

Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Shida yako nini?

Mbona unateseka sana?.
Wewe una dini yako ,nasi tuna dini yetu.

Wewe una Mungu wako, nasi tuna Mungu wetu.
 
Hawa manabii waliitanaje kwenye swala?
Waliswali sala ngapi?
Walifunga?
Walikwenda kuhiji wapi?
Walitoa zaka?
Imani ya kiislamu ilikuwepo kabla.

Muhammad amekuja kukamilisha na kukabidhiwa rasmi uislamu.

Msingi mkuu wa uislamu ni uwepo wa Mungu mmoja na mtume wake.,

Mfano kipindi cha Mussa utasema la ilaha illallah ,Mussa Rasulullah.

Kipindi cha Ibrahimu utasema La ilaha Illalah ,Ibrahim Rasulullah.
 
Unaweza kunithibitishia hayo unayoyasema kwa sources nje ya vitabu vya kiislam?
Saa hizi ni kipindi Cha nani,Mwamposa?
 
Mungu hajawahi kumtuma mtume anayeitwa Mwamposa

Waislam wa kipindi cha Nuhu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Nuhu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Musa shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Musa ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Yesu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Na Yesu kwakuwa alijua hi ndio nguzo kubwa katika uislam aliwafundisha Wana wa Israel

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapo Yesu anatoa na kufundisha shahada

Hata wewe kama utalikubali hilo andiko hapo kuwa Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Automatically unakuwa muislam kama Yesu
Lete ushahidi wa hizo Shaada bob acha abracadabra!
 
Wagalatia wote pamoja na Bibilia zenu mmeshindwa kujibu hili swali

Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo

Kitabu pekee ambacho kina majibu ni Quran

Achane kudanganyana kuwa uislam umeanza wakati wa Muhammad wakati Quran inasema MUHAMMAD uislam ameukuta na uislam ndio dini ya manabii wote wa Mungu

Quran 42:13
- Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
 
Muda wote tumekwambia tuthibitishie madai yako kutoka sources nyingine unabaki kuleta porojo tuu!
 
Hii unasema wewe,

Vitabu vyenu vimepotoshwa saana, hakuna cha kuamini,

Mtume aliongea na Mwenyezi Mungu kupitia Jibril, hakuwa na haja ya kuwauliza watu wengine angemuuliza Mwenyezi Mungu straight.

Issue kubwa kwa ukiristo na uyahudi ni mikono ya watu imebadilisha saana dini, hasa kingdoms, ndo maana vitabu haviaminiki
Unajuaje kwamba Mohamed aliongea na jibril? Yule kiumbe kule pangoni haku jitambulisha,aliyempa jina la jibril alikuwa mzee Waraq.

Mohamed alivyorudi nyumbani kwa Hadija alikuwa na hofu kubwa ,alidhani amekutana na jini . Akaomba mkewe amfunike na mashuka kitandani.

Mzee Waraq ndiye alisema yule atakuwa ni jibril ambaya alikutana na Musa hapo zamani. Ukisoma torati hakuna sehemu imeandikwa kwamba Musa aliwahi kutana na jibril.

Kama Mohamed asingepelekwa kwa Mzee waraq basi kuna uwezekano yule kiumbe angepewa jina lingine. Chanzo cha dini yenu kinatia mashaka sana, Mohamed alikutana na shetani aliyejifanya ni malaika .

Ukisema vitabu vyetu vime chakachuliwa basi mlaumu Allah ambaye alimtuma Mohamed kwetu kutuuliza kama ana mashaka.

Quran 10:94
Quran 5:47
Quran 47:53.
 
Pamoja na ujinga walio nao waislamu hiwezi kuwadanganya wafunge week nzima ili wande mbinguni au ujiite nabii kama mwamposa au uwadanganye waingie kwenye safina mwisho wa dunia umefika watakukata kicha ndio maana yule jamaa anajiita IPM alivyoona waislamu wajanja kaamue akafungue kanisa lakini anafundisha mafundisho ya dini ya kiislamu anapiga pesa balaa
 
Back
Top Bottom