Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Hasira za Nini mzee!?
Mimi nikajua tunaelimishana!
Na namna Bora ya kupata elimu ni kuchunguza mambo kwenye 3D!
Sasa nambie manake wewe ndiye umeleta hoja na kitabu kinachobishaniwa haliwezi kujitetea, nje ya Quran tutapata wapi ushahidi kwamba manabii wote walikuwa waislam?
Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani

Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki

Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo

Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
 
Nakuuliza Sheikh Wazolee je Adamu,Nuhu,Abraham,Musa na Yesu wote walishahidia Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanakuaje Waislamu bila Shaada?

Kwani shahada maana yake nini?

Shahada maana yake ni kushuhudia kuwa Mungu ni Mmoja na mtume wenu ametumwa na huyo Mungu mmoja
 
Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam

Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Na wewe utueleze kama walisilimu na utueleze mtu wa kwanZa kuwa muislam kwa kusilisimu.Utueleze jini la kwanza kusilimu kwa mtume kuingia UIslamu na kabla hilo jini liliabudu nini. Utueleze kwanini Muddy alijitaja ndo muislam wa kwanza..na bado utueleze kwanini alicopy vitabu vya Wayahudi. Kisha rudi kutupa dini ya hao umewaorodhesha hapo juu kwa ushahidi wote kwamba walikuwa WaIslam si blabla mara alipwekesha,mara kujisalimisha. Utupe na nguzo za UIslamu na vipi kama hujazifata au kuzipata bado utakuwa muIslamu?
 
Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani

Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki

Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo

Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
Kwani sisi makafiri hatuna haki ya kujua ukweli jamani?
Mimi binafsi na ukafiri wangu nilitaka kujiridhisha kama Kuna aina yeyote ya ushahidi nje ya sources za kiislam kuthibitisha madai yako kitu ambacho nimegundua ni porojo tu.
Hakuna ushahidi wa mambo kale Wala wa kihistoria unaothibitisha kuwa hao manabii walikuwa waislam.
Isaya alikuwa Myahudi and so are many others na historical evidences kuprove hayo zipo!
Kuhusu ukafiri wangu Mimi naamini wewe ni kafiri kuliko Mimi kwa sababu Mimi sijawahi kumkana Mungu muumba mbingu na nchi kwa kusema "Hakuna Mungu isipokuwa Allah"
Kati yangu Mimi na wewe wewe ndo likafiri lililokubuhu! na libusu jiwe jeusi la Mecca linalomponda shetani mawe kitu ambacho tunakiita ibada ya sanamu!
NB:Biblia ikinyamaza kutaja dini za manabii haina maana kuwa walikuwa waislam!
Vipi tukisema kuwa mwamedi alitumia huo mwanya kuhalalisha madai yake,tutakuwa tumekosea?
 
Kwahiyo wewe na Bibilia yako hamjui hao manabii walikuwa na dini gani

Alafu Quran inasema walikuwa waislam wewe hautaki

Umezaliwa umekuta Quran inasema Nuhu, Ibrahim. Isaka na Yakobo na Musa na Yesu walikuwa waislam na utakufa utaiacha Quran inasema hivyo hivyo

Kinachokusumbua wewe ni ukafiri wako tu lakini Hauna hoja Wala uwezo wa kuikosoa Quran
There is no independent historical or archaeological evidence proving all prophets were Muslims (meaning followers of Islam as we know it), as "Islam" is a post-Muhammad term; however, non-Muslim sources confirm Muhammad's existence and the emergence of his movement, while archaeological finds support early Islamic societal changes, but evidence for earlier figures like Abraham or Moses relies heavily on religious texts, with limited or ambiguous external proof for specific historical details or their adherence to later Islamic theology.
On Prophet Muhammad (PBUH):
  • Non-Muslim Sources: Early Syriac, Greek, and Armenian Christian texts from the 7th century acknowledge Muhammad and the rise of his followers, corroborating parts of the Islamic narrative from external perspectives, though sometimes biased.
  • Archaeology: While few personal artifacts exist, archaeological finds like early Islamic coins and inscriptions support the context of 7th-century Arabian society described in Islamic texts.
On Earlier Prophets (Abraham, Moses, Jesus, etc.):
  • Textual Reliance: Evidence for these figures primarily comes from the Bible, Quran, and other religious texts, with authorship and dating often debated.
  • Lack of Direct Evidence: There's no direct archaeological evidence (like buildings or records) for Abraham or Moses, as they lived much earlier.
  • Contextual Support: Archaeology confirms cultures and places mentioned in these older traditions (e.g., evidence for ancient Israel, cities like Uruk), but not necessarily the specific miraculous events or the personal faith of the prophets in the later Islamic sense, notes Wikipedia and this Quora thread.
Key Distinction:
  • The concept of "Islam" and being a "Muslim" (one who submits to God's will) is central to Islamic theology, applied retrospectively to all prophets by Muslims.
  • Non-Islamic sources generally confirm the historical existence and impact of Muhammad and his movement, but don't validate the theological claim that all prophets before him adhered to the specific doctrines and practices of 7th-century Islam, as these sources predate its formal establishment.
 
Kwa hiyo Adam,Ibrahim,Musa.na Issa kazi yao ilikuwa kumwamini Mungu na mtume?
Ndio kipindi chao hawakuwa na swala.labda Kwa wao manabii na mitume ndo walipewa ila sio waumini.sababu uislam ulikuwa bado .yaani mtu kufuatwa na mtume amwambie mimi ni mtume nimetuma na Mungu alafu mtu akaamini sio jambo dogo.
Ebu fikiria Leo yesu anarudi anakuja kwako anakwambia mimi ndio yesu utamuamini?
 
Msingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!
Swali linakuja kuwa walimuamini Mungu mmoja na mtume gani ilhali Mwamedi alikuwa hajazaliwa?
Nikisema Namshuhudia Mungu mmoja na Zumaridi ni mtume wake tayari nakuwa muislam?
 
Waislam tubaamini uislam ulianza na Adam, ukakamilika kwa Mtumeuhammad.

Na mitume wote walijazia maamrisho ya Uislam ndo maana kuna mitume mingi, yote imekuja kufundisha sehem ya Uislam (ukiacha kuswali)
Sasa hao waisrael au wayahudi Jews mitume mbona mwawachukia tena Yani dini ya muarabu wenu ilianzishwa na Jews halafu Leo mnapambana na Jews.
 
NABII NUHU, IBRAHIM, MUSA NA YESU
WALIKUWA WAISLAM

Quran 42:13
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

NABII IBRAHIM NA WANAWE YANI ISHIMAEL NA ISAKA WALIKUWA WAISLAM

Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

NABII YAAQUB NA WANAWE WALIKUWA WAISLAM

Quran 2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.

Haya ndio maelezo ya Quran kitabu ambacho ni kiboko ya makafiri

Sasa kama wewe ni kidume vunja hizo hoja za Quran hapo zinazosema hao manabii na vizazi vyao wote walikuwa waislam

Weka ushahidi hapa kama walikuwa wakristo kama wewe au walikuwa na dini ya kiyahudi au kama walikuwa wapagani weka hapa ushahidi
Same time hao manabii wa Israel mnawachukia uzao wao Yani uislam ni janga kama ukoma au mtoto wa ukoo anaefirwa.
 
Ili uwe muislamu lazima usome shahada na umkiri Mohamed kwamba ni mtume wa Allah. Jiulize Adam, Abrahamu na Musa walisoma shahada gani?

Hii habari ya kuabudu Mungu mmoja kwamba ndiyo uislamu ni upuuzi tu. Buddhist wana abudu Mungu mmoja,Shinto kule japan wana abudu Mungu mmoja. Hizo ni dini za kale kabla ya uislamu,je nao nao ni waislamu?
 
Msingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!
Swali linakuja kuwa walimuamini Mungu mmoja na mtume gani ilhali Mwamedi alikuwa hajazaliwa?
Nikisema Namshuhudia Mungu mmoja na Zumaridi ni mtume wake tayari nakuwa muislam?
Kila umma ulikuwa na mtume wao na shahada yao.
Kipindi mtume hayupo.walikuwa wanatumia shahada ya hakuna mungu mwingine ila Allah.
 
Msingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!
Swali linakuja kuwa walimuamini Mungu mmoja na mtume gani ilhali Mwamedi alikuwa hajazaliwa?
Nikisema Namshuhudia Mungu mmoja na Zumaridi ni mtume wake tayari nakuwa muislam?
Unaona hyo Aya ya bibilia huyo mwenyezi mungu ndo walikuwa Wana mtukuza mitume WOTE kuanzia Adam mpaka yesu mpaka mwisho muhammad.ujumbe ulikuwa kumuamini mungu MMOJA
 
Attachments

  • Screenshot_20260103-063422.jpg
    Screenshot_20260103-063422.jpg
    47.3 KB · Views: 20
Wavumbuzi wa mambo ya kale, Archeologists, bado wanafanyia kazi hili Swali lako. Muda huu napo type hii comment. .
Mbona mimi nilisha toaga majibu ya haya maswali kwa wakristo na waislamu....ukishindwa kujua majibu ya hayo maswali basi hata ili swali uwezi kulijibu je watu ambao awakufikiwa na mafundisho ya dini ya kweli, siku ya kihama watahukumiwa vipi?
 
Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu

Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo

Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko

Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Wacha uanithi wa akili ..hao ulio wataja...walitamka shahada yenye kumtaja ALLAH NA MUHAMMADI?... je Muhammad alikuwa anajulikana dhama hizo ?...muislamu ni mtu aliye tamka shahada au anaye ilidhia hiyo shahada ya Allah na mudi boy....DINI YA WACHAMUNGU WOTE WA KWELI WA KALE NA WAPYA NI MOJA TU NAYO INAITWA 👉UTAKATIFU ...Ndiyo maana Mungu aliwaambia waisrael kuweni 👉WATAKATIFU KWA KUWA MIMI MUNGU WENU NI MTAKATIFU .. hivyo yoyote aliye mtakatifu huyo ndiyo yupo kwenye dini ya kweli na ya HAKI ...watu awaingii peponi kwa sababu ya dini au madhehebu yao bali kwa kuwa👉 💥WATAKATIFU MBELE YA MUNGU💥
Ndiyo maana maandiko yanasema hakuna hatakaye pata WOKOVU PASIPO HUO UTAKATIFU. adriz Malaria 2 FaizaFoxy Al-mukheef Jagina Covax
 
Sasa hao waisrael au wayahudi Jews mitume mbona mwawachukia tena Yani dini ya muarabu wenu ilianzishwa na Jews halafu Leo mnapambana na Jews.
Ukiacha ukiristo na utajiri kupotoahwa saana, tubaamini hizi dininziko half cooked, I mean hazijakamilika,

Ndo maana kuna kufanana, ila hazijakamilika.

In all, tunawaaita wakristo na wayahudi watu wa kitabu, yaani wananafuu kuliko dini nyingine zozote.

So, hatuna shida na wakristo wala wayahudi, tunaamini wakielekezwa vzr watakuwa waislamu, tofauti na dini nyingine ambazo haziamini kwenye mitume.
 
Back
Top Bottom