Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Wewe ndio mbumbu kabisa
Unalo andiko Yesu aliwahi kuingia kanisani?

Yani hata haujui kuwa ukristo umeanza miaka 30 Baada ya Yesu kupaa?

Na Ilikuwa Ili Warumi waanzishe ukristo ilibidi wawaue wanafunzi wote wa Yesu

Na ndio maana hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyekufa kifo Cha kawaida wote waliuawa na hiyo kazi ilifanywa na Warumi
Siyo kweli mitume wote wa Yesu waliuawa kwa Yohana mwana wa Zebedayo alikufa kwa uzee huko Uturuki (Efeso)
 
Maandiko ambayo umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha yanasema Yule Malaika Jibril
Nani alimwambia kuwa yule ni Jibril?
Jibril alijitambulisha kwake?
Hata maandiko ya uchawi nilizaliwa nikayakuta haina maana ni ya utakatifu!
 
Hiyo Sasa ni kazi yako utumie hiyo Bibilia yako uikosoe Quran kuwa imedanganya Kwa kusema hao manabii wote ni waislam

Kama Bibilia imekuwa bubu katika hizo hoja za Quran hauoni kuwa haya maji ni marefu kwako?

Wewe nenda tu kanisani ukaimbe, upige makofi na kulia usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
Kwa hiyo binadamu anaweza kuwa mtu kabla hata hajazaliwa?Imani yangu ni kwamba,duniani huwa hakuna swali la kijinga.Naomba unijibu hapo.
 
NABII NUHU, IBRAHIM, MUSA NA YESU
WALIKUWA WAISLAM

Quran 42:13
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.

NABII IBRAHIM NA WANAWE YANI ISHIMAEL NA ISAKA WALIKUWA WAISLAM

Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.

NABII YAAQUB NA WANAWE WALIKUWA WAISLAM

Quran 2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.

Haya ndio maelezo ya Quran kitabu ambacho ni kiboko ya makafiri

Sasa kama wewe ni kidume vunja hizo hoja za Quran hapo zinazosema hao manabii na vizazi vyao wote walikuwa waislam

Weka ushahidi hapa kama walikuwa wakristo kama wewe au walikuwa na dini ya kiyahudi au kama walikuwa wapagani weka hapa ushahidi
Yaani hapo ni sawa na unamtetea mwizi kwa kusema, "kwa kuwa kasema mwenyewe kwamba hajaiba, basi hajaiba"
Kumbe kujua kwamba hajaiba ilibidi utafute uthibitisho kutoka kwa watu wengine.

Muhammad kaanzisha uislam Kisha akawavika manabii wote uislam. Hebu lete kitabu chochote cha kabla ya Muhammad kinachosema hao jamaa walikuwa waislam nitakubaliana na wewe ila kama unaleta Aya za kitabu cha kujitungia (Quran) sikubaliani nawe.
 
Muislamu yoyote ansye amini katika uislamu awezi kuwa na akili ....dini ya lugha ni uislamu pekee dini ya kweli ya mungu haiwezi kuwa kwa lugha moja...
Kweli kabisa, lugha zote zipo kwa uwezo wa Mungu halafu wao waseme Mungu anaongea kiarabu na peponi ni kiarabu tuuu, hawa maamuma hawana kabisa ufahamu
 
Mmedanganywa Kwa kuletewa dini ya uongo na Wazungu na Sasa mnadanganywa kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule yao

Ngoja nikufundishe Ili usidanywe tena

First time malaika Jibril anakuja Kwa mtume alimkuta pangoni na alikuja na hizi Aya 5 za Quran

Quran 96:1 - Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,

96:2 - Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,

96:3- Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!

96:4 - Ambaye amefundisha kwa kalamu.
96:5 - Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.

Baada ya hilo tukio mtume akiwa hofu na kujiuliza maswali mengi kuhusu kilichomtokea pangoni

Mara ya pili Malaika Jibril akaja tena nyumbani Kwa mtume na hizi Aya

Quran 74:1 - Ewe uliye jigubika!
74:2 - Simama uonye!
74:3 - Na Mola wako Mlezi mtukuze!
74:4 - Na nguo zako, zisafishe.
74:5 - Na yaliyo machafu yahame!

Na Baada ya hapo Malaika Jibril aliendelea kuja Kwa mtume Muhammad Hadi Quran yote ikakamilika na Quran ilikamilika Kwa muda wa miaka 23

Inawezekana mtume Muhammad ndio Nabii aliyekutana na Malaika Jibril mara nyingi zaidi kuliko manabii wote

Sasa nyinyi jinsi mnavyodanganyana kana kwamba Baada ya Malaika Jibril kumtokea mtume Muhammad pale pangoni hakuja tena sio hivyo aliendelea kuja Kwa mtume Kwa muda wa miaka 23
Ukristo ni dini ya wazungu? Uislamu kwa sababu ni dini ya waarabu ndiyo inafanya iwe dini ya kweli? Ukweli ni nini?

Huyo kiumbe alipomuua Mohamed hakujitambulisha, Mohamed hakujua ni nani. Ndiyo maana aliingiwa na woga mpaka alivyorudi kwa Hadija akamwambia anahisi amekutana na jini.

Sahihi Bukhari 4953

Kisha Mtume wa Allah (ﷺ) alirudi na uzoefu huo; na misuli kati ya shingo yake na mabega yake ilikuwa inatetema hadi alipomfikia Khadija (mke wake) na kusema, "Nifunzeni!" Wakamfunika, na wakati hali ya woga ilipopita, akamwambia Khadija, "Ewe Khadija! Nini kinanitokea? Niliogopa kuwa kuna jambo baya linaweza kunitokea." Kisha akamweleza habari. Khadija akasema, "La! Bali pokea bishara njema! Wallahi, Allah hatakuaibisha kamwe, kwani wallahi, wewe unashikilia uhusiano mzuri na jamaa zako, unasema ukweli, unawasaidia maskini na wahitaji, unawakaribisha wageni wako kwa ukarimu na unawasaidia wale wanaopata misiba." Khadija kisha akampeleka kwa Waraqa bin Naufal, mwana wa mjomba wa baba wa Khadija. Waraqa alikuwa amegeukia Ukristo katika kipindi cha kabla ya Uislamu na alikuwa akiandika Kiarabu na kuandika Injili kwa Kiarabu kadiri Allah alivyomtaka aandike. Alikuwa mzee na alikuwa amepoteza uwezo wa kuona. Khadija akamwambia (Waraqa), "Ewe binamu yangu! Sikiliza anachokisema mpwa wako." Waraqa akasema, "Ewe mpwa wangu! Umeyaona nini?" Mtume (ﷺ) kisha akaeleza chochote alichokiona. Waraqa akasema, "Huyu ndiye malaika yuleyule (Jibril) aliyetumwa kwa Musa.

Malaika jibril hakuwahi kutumwa kwa Muda,hizo habari Mzee waraq alizitoa wapi?
 
Sasa kutakuwa na Mungu wangapi walioumba Dunia?
maana yehova ana sema Dunia kaumba yeye ALLAH nae anasema Dunia ya kwake.
Je Hawa wapo wawili au ni mmoja ila sisi ndo tunamtenganisha?
Miungu ipo mingi tu na haina idadi,kwani ipo iliyokufa pia kama ile ya wagiriki wa kale. Zeus, Athena ,Hera,Appolo.
 
Miungu ipo mingi tu na haina idadi,kwani ipo iliyokufa pia kama ile ya wagiriki wa kale. Zeus, Athena ,Hera,Appolo.
Achaana na hao.hata mitume hawana.wengine misanamu tu.
Yaani binadamu aliposhindwa kufikiri akaamua kujiundia miungu ya uongo ila mwenyewe yupo
 
Yaani hapo ni sawa na unamtetea mwizi kwa kusema, "kwa kuwa kasema mwenyewe kwamba hajaiba, basi hajaiba"
Kumbe kujua kwamba hajaiba ilibidi utafute uthibitisho kutoka kwa watu wengine.

Muhammad kaanzisha uislam Kisha akawavika manabii wote uislam. Hebu lete kitabu chochote cha kabla ya Muhammad kinachosema hao jamaa walikuwa waislam nitakubaliana na wewe ila kama unaleta Aya za kitabu cha kujitungia (Quran) sikubaliani nawe.
Sio hakubaliani na Mimi sema hakubaliani na maandiko ya Quran Mimi nimeweka tu hayo maandiko

By the way kwani Kuna mtu amekushikia fimbo kuwa lazima uamini kilichosemwa na Quran

Hayo ni maandiko umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha kuamini au kutoamini hiyo ni juu yako

Tokea lini kafiri akaiyamini Quran
 
Sio hakubaliani na Mimi sema hakubaliani na maandiko ya Quran Mimi nimeweka tu hayo maandiko

By the way kwani Kuna mtu amekushikia fimbo kuwa lazima uamini kilichosemwa na Quran

Hayo ni maandiko umezaliwa umeyakuta na utakufa utayaacha kuamini au kutoamini hiyo ni juu yako

Tokea lini kafiri akaiyamini Quran
Kafiri ni wewe unayesema "Hakuna Mungu isipokuwa Allah"
Kafiri ni wewe unayemuabudu Mungu anayeishi kwenye alkaaba huko Mecca!
Kafiri ni wewe unayebusu jiwe jeusi lenye mfano wa K ya mwanamke
Kafiri ni wewe unayekeenda Mecca kumponda shetani mawe?
Kafiri ni wewe unayemnyanganya YHWH mitume na manabii wake na kumpa Allah!
Need I say more?
 
Achaana na hao.hata mitume hawana.wengine misanamu tu.
Yaani binadamu aliposhindwa kufikiri akaamua kujiundia miungu ya uongo ila mwenyewe yupo
Wewe ndiye unasema hawana mitume,umeshawahi kuchunguza dini zao?
 
Wewe ndio mbumbu kabisa
Unalo andiko Yesu aliwahi kuingia kanisani?

Yani hata haujui kuwa ukristo umeanza miaka 30 Baada ya Yesu kupaa?

Na Ilikuwa Ili Warumi waanzishe ukristo ilibidi wawaue wanafunzi wote wa Yesu

Na ndio maana hakuna mwanafunzi wa Yesu aliyekufa kifo Cha kawaida wote waliuawa na hiyo kazi ilifanywa na Warumi
Yesu ndio aliingia kwenye makanisa, kipindi kile sehemu ya kukusanyikia kwa wayahudi yalikuwa ni synagogue.

Ukristo ulianza na yesu mwenyewe hata kabla ya kufa kwake, ukristo ni kufuata mafundisho ya kristo.

Sio kweli wanafunzi wake waliuawa ili warumi waanzishe ukristo, wengi wa wanafunzi wake kama Yohane, Peter, Mathew walikuwa ni Wayahudi, wengine ni Turkish, na Egyptian ambao walieneza ukristo baada ya yesu sema walikumbana na pingamizi kali kutoka katika serikali ya Roma empire wakati huo Roma empire ilikuwa ikitawala Parts of Europe, Asia and Africa, wakati huo kueneza ukristo ulikuwa ni uhaini, wanafunzi wa yesu walipoteana, wengine wakakimbilia Rome huyo peter akakamatwa na kuuliwa.

Kwanza mimi huwa nawashangaa waislam ku associate ukristo na warumi au western countries, wao walipokea ukristo kama sehemu zingine walivyopokea.
 
Mungu hajawahi kumtuma mtume anayeitwa Mwamposa

Waislam wa kipindi cha Nuhu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Nuhu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Musa shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Musa ametumwa na huyo Mungu mmoja

Waislam wa kipindi cha Yesu shahada Yao
Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja

Na Yesu kwakuwa alijua hi ndio nguzo kubwa katika uislam aliwafundisha Wana wa Israel

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hapo Yesu anatoa na kufundisha shahada

Hata wewe kama utalikubali hilo andiko hapo kuwa Mungu ni Mmoja na Yesu ametumwa na huyo Mungu mmoja
Automatically unakuwa muislam kama Yesu
UIslamu unamtambua Yesu ?
 
UIslamu unamtambua Yesu ?
Sio Yesu tu! Quran inatambua tokea Mariam mwenyewe akiwa bado mimba katika tumbo la mke wa Imran

Quran 3:35
- Alipo sema mke wa Imran: Mola wangu Mlezi! Nimekuwekea nadhiri kilichomo tumboni mwangu kuwa wakfu; basi nikubalie. Hakika Wewe ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Anayeongea hayo Maneno hapo ni bibi yake Yesu

Yani bibi yake Yesu alimuomba Mungu ampe mtoto mwema amtoe kuwa wakfu hivyo alitamani huyo mtoto awe wa kiume

Kwa bahati mbaya au mzuri akazaa mtoto wa kike ambaye ndio Mariam mama wa Yesu

Yani nyinyi wagalatia tunavyokuambieni kuwa mmepotea sio joke nyinyi mmepotea kweli na waliokupotezini ni Wazungu
 
atizo unaandika mada usiyokuwa na Elimu nayo.
Cha kwanza ungeuliza uelimishwe Uislamu maana yake ni nini?
Ukishajua maana yake; inamaana wale wote waliokuwa wanafuata hiyo maana tangia Dunia iumbwe...tangia kina Adam walikuwa ni Waislam. Kilichotokea ni kuwa Mungu alikuwa analeta maboresho kila mara kulingana na hali ya wakati husika kupitia kwa mitume wake ILA alipofika stage nzuri akaona sasa asimamishe updates na hapo ndipo tukabakia na huu Uislam tulio nao leo.

Ni sawa na kusema hapakuwepo na Physics enzi ya kina Adam na Eva/Hawa; na anayesema hiyo utakuta ni mjinga asiyejua maana ya somo la Phyics; amebakia kukariri kuwa Physics imeletwa na kina
Albert Einstein, Isaac Newton, James Clerk Maxwell, Paul Dirac etc
Hii hoja waislamu mnaitumia kwa baadhi ya maswala tu ila sehemu nyingine mnaikimbia ...mfano kwa hii hii hoja yako kama ni kweli basi kuna maswali kadha wa kadha ndani ya uislamu inatakiwa kunyoshwa...maswali ni haya...

1)kwa hiyo hoja vipi Muhammad awe ni muislamu wa kwanza ?
2)ndani ya uislamu Muhammad anawaambia waislamu kuwa 👉sisi waislamu tuko mwisho kwa kuja duniani, lakini tutakuwa wa kwanza kuingia peponi siku ya Kiama. Sasa hapa unatakiwa kupima hiyo hoja yako ya uislamu na muislamu ni nini kama inafiti.
3)kama wayahudi na wakristo ni waislamu kwanini walitakiwa kusilimu ili kuwa waislamu?
 
Back
Top Bottom