Bro ukristo huwa hautetewi Kwa maandiko ila unatetewa Kwa propaganda
Na ndio maana unajichanganya
Post yako no 144 umesema kanisa sio Nyumba ya Ibada
Huku tena unasema kanisa ni Nyumba ya Ibada
Post 144 umesema Nyumba ya Ibada ukiingia unatikiwa utawadhe na kusiwe na viti huku unasema sio lazima
Post yako 144 hi yapa
JIBU ...YESU ALIINGIA KANISANI ILA KANISA SIYO NYUMBA YA IBADA ...NDIYO MAANA KANISA KWA MAANA YA JENGO, WATU UINGIA NA VIATU NA HATA KUKETI VITINI...KANISA KWA MAANA YA JENGO NI JENGO LOLOTE AMBALO WATU WALIKUSANYIKA KUJIFUNZA AU KUFUNDISHANA INJILI ....tukumbuke kuwa wayahudi walimkataa Yesu na Injili waliikataa hivyo yesu alikuwa anafundisha injili kwenye masingagogi na hekaluni na kwenye makanisa yaani majengo yasiyo hekalu wala sinagogi ...hivyo hapa utajua kwa nini hata kipindi cha Yesu kanisani watu waliingia na viatu au kuketi vitini kwa sababu kanisa kwa maana ya Jengo siyo nyumba ya ibada ni kama wewe unavyo weza kutumia nyumba yako binafsi kuabudi ila hiyo nyumba yako siyo msikiti ....
Kosa lilitokea baada ya yesu kuondoka duniani na Injili kukataliwa kwenye masinagogi na hekaluni ...watu wa injili waliendelea kukutanika kwenye majengo wakifundishana injili na kuhubiri injili hivyo ilikuwa siyo kosa ni haki kuingia na viatu na kuketi vitini makanisani .....kosa lilikuja baadae ...WAKRISTO WALIO FUATIA KIZAZI WAKAYAGEUZA MAKANISA KUWA NI NYUMBA ZA "MUNGU ZA IBADA" KUTOKA KUWA MADARASA YA INJILI TU, NA WALIPO YA GEUZA MAKANISA KUWA NYUMBA ZA KUABUDIA MUNGU, ZILE TARATIBU ZA KUINGIA NA VIATU NA KUKETI VITINI ZA MADARASA WAKAENDELEA NAZO ...ILO NDIYO KOSA ...HIVYO YESU ALIINGIA KANISANI KAMA DARASA LA INJILI SIYO NYUMBA YA IBADA.
KUMBUKA KUWA UKRISTO YAANI INJILI ILIKATALIWA NA WAYAHUDI WA TORATI NA KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZA WAYAHUDI WALIMKATAA YESU NA INJILI YAKE ... HIVYO BAADA YA YESU KUONDOKA DUNIANI INJILI NA UKRISTO VILIKUWA HAVINA NYUMBA ZA IBADA ISIPOKUWA MADARASA YAANI MAJENGO YANAYO TUMIKA KUFUNDISHA INJILI =KANISA....WAKRISTO WALIYAGEUZA MADARASA YA INJILI KUWA NYUMBA ZA IBADA BILA YA KUONDOA TARATIBU ZA DARASA NA KULETA TARATIBU ZA NYUMBA YA IBADA AMBAZO NI KUTAWAZA KUABUDU CHINI BILA YA VITI
We nenda tu kanisani ukaimbe, ulie na kupiga makofi usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam