Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Wapi imesema
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


109_1.gif

1. Sema: Enyi makafiri! 1


109_2.gif

2. Siabudu mnacho kiabudu; 2


109_3.gif

3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3


109_4.gif

4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 4


109_5.gif

5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5


109_6.gif

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6

Kifupi wewe ndo unalazimisha Allah awe Mungu wa wakristo naayahudi
 
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


109_1.gif

1. Sema: Enyi makafiri! 1


109_2.gif

2. Siabudu mnacho kiabudu; 2


109_3.gif

3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3


109_4.gif

4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 4


109_5.gif

5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5


109_6.gif

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6

Kifupi wewe ndo unalazimisha Allah awe Mungu wa wakristo naayahudi
Nilijua tu lazima utaleta hii!
Hapo wamezungumzia kuhusu masuala ya kuabudu na sio masuala ya Mungu maana watu wote ni wa Mungu mmoja lakini sio wote wanaomuabudu huyo Mungu
 
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.

Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.

Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Unajua maana ya Uislam? Kabla ya Muhammad wapo waliokuwa wakijisalimisha kwa mola wao na kufuata maagizo ya Allah na Manabii zake wa mwanzoni akina Daud, Yusuph, Ibrahim, Isihakha na wengine, huo unatosha kuwa Uislam
 
Nilijua tu lazima utaleta hii!
Hapo wamezungumzia kuhusu masuala ya kuabudu na sio masuala ya Mungu maana watu wote ni wa Mungu mmoja lakini sio wote wanaomuabudu huyo Mungu
Mnamuabudu Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu?
Huyo Allah anayeabudiwa na waarabu wakristo ana mwana?
Huyo Mungu anayekataliwa kwenye shahada ndiye anayeabudiwa na wakristo!
"There's no God but Allah"
 
Ila Ukristo haukuwepo kipindi chake
Ndugu, naomba kama unaweza jibu hii...
Kama uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad walikuwa wanaitanaje kwa ajili ya sala ikiwa tunaona kwenye Hadith Muhammad anajadiliana na wenzake kuanzisha adhana?
 
Back
Top Bottom