Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Hiyo mbona haihusiani sema kwanza unakubali au unakataa😀😀
Inahusiana kabisa hiyo kwa sababu nataka kujua Wana maana gani kuita Allah. Nitakubali ikiwa watakuwa wanatafsiri neno Mungu kuwa Allah ila sio jina la Mungu kuitwa Allah.
Nafikiri umeelewa hapo.
 
Ila naamini tayari umeshakubali kuwa wanatumia neno Allah
 
Ndugu,
Hoja yangu kuu ni kwamba uislam haukuwepo kabla ya Muhammad. Halafu ninaposema kabla ya Muhammad naona huko ni mbali, wakati uleule wa Muhammad uislam haukuwepo hadi pale alipojipachika utume ndo akaslimu yeye na akaanza kusilimisha watu. Unakubali hii unakataa?
Kama unakataa weka maelezo ya kueleweka.
 
Je wewe unakubali kuwa Ukristo haukuwepo kabla ya Yesu?

Mimi sikubali
 
Haiwezekani kuwa both hapo.
_Ninaposema Allah maana ya neno Mungu namaanisha hivi,
Mfano sisi waswahili tunaita Mungu, kingereza God, kiarabu ndo inakuwa Allah ama sivyo?

_Ninaposema Allah kwa maana ya jina namaanisha,
Mfano kiswahili tunaita Yehova
Kingereza Jehovah. Kiarabu ndo anaitwa Allah?

Haiwezekani Allah ikawa ni neno lenye maana ya Mungu Kisha Allah likawa jina la Mungu. Elewa hiyo kitu mkuu.
 
Back
Top Bottom