Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Haiwezekani kuwa both hapo.
_Ninaposema Allah maana ya neno Mungu namaanisha hivi,
Mfano sisi waswahili tunaita Mungu, kingereza God, kiarabu ndo inakuwa Allah ama sivyo?

_Ninaposema Allah kwa maana ya jina namaanisha,
Mfano kiswahili tunaita Yehova
Kingereza Jehovah. Kiarabu ndo anaitwa Allah?

Haiwezekani Allah ikawa ni neno lenye maana ya Mungu Kisha Allah likawa jina la Mungu. Elewa hiyo kitu mkuu.
Allah ni kama hivyo ulivyoelewa kwa Yhwh na cheo chake ni Mungu wa watu wote
 
BAsi kama ni hivo,
Yahweh sio Allah.

Hebu niandikie Aya hii ya Biblia kwa kiarabu tuone Allah itakaa hapo kwenye Mungu au hapo kwenye Yehova.

Kut 6:2
Kisha Mungu akasema na Musa, akamwambia, mimi ni YEHOVA
 
Nenda kaangalie kwenye Biblia ya kiarabu sasa
 
Kiongozi, hebu twende na jambo mojamoja,
Nimekupa maelezo ya kuonyesha uislam haukuwepo kabla ya utume wa mudi. We unakataa, weka maelezo usikatae tu bila ushahidi.
 
Nitaweka
Je wewe unakubali kuwa Ukristo haukuwepo kipindi cha Yesu?
 
😂😂Weka sasa, tujadili maelezo yako Kisha tutafata yangu. It's fair?
Mimi naamini Waislamu walikuwepo tangu mwanzo kwa sababu maana ya Uislamu ni kujisalimisha kwa Allah na kuna ushahidi wa kutosha kwenye Qur'an kuwa wapo watu walijisalimisha kwa Allah tangu Adamu
 
Mbona historia na vitabu vya Hadith za mtume wenu zinaonyesha yeye ndo mwanzilishi wa uislam?
Katika kutembea kwake Muhammad sehemu zote kuna habari yoyote inayoonyesha alikutana na waislam
 
Wapi wanasema yeye kaanzisha Uislamu?
Sijaona ushahidi kama kipindi cha Mtume kabla hajapewa utume kulikuwa na Waislamu ila nimeona ushahidi kuwa waislamu walikuwepo hata kabla ya enzi hizo yaani kuanzia kwa Nabii Adam
 
Sasa kiongozi una ushahidi wa uislam kuwepo kuanzia kwa Adam Kupitia mafundisho ya Muhammad, are you serious?
Muhammad ambaye yeye mwenyewe na jamii yake mzima hapakuwepo muislam hata mmoja Kisha anasema manabii wote walikuwa waislam unakubaliana nae? Au unao ushahidi wa Muhammad kuwa muislam kabla ya utume wake?

Kama ushahidi unao ambao ushahidi huo hautokani na Muhammad nipe nione. Ila kama ushahidi wako unatoka kwa Muhammad huo ni uongo.
 
Allah ni kama hivyo ulivyoelewa kwa Yhwh na cheo chake ni Mungu wa watu wote
Hapa umedanganya, katika Arabic Bible Allah haitumiki in place of YEHOVA/YHWH. Allah inatumika in place of God kwenye baadhi ya Bible Versions.

Ieleweke kuwa KJV na SUV versions in Arabic wametumia "Iilha" in Place of God na sio Allah. Nimequote Isaiah 48:2 kwenye Arabic SUV Bible hapo chini.

إشعياء ٤٨: ٢ لأنهم يدعون أنفسهم من المدينة المقدسة، ويعتمدون على إله إسرائيل، يهوه اسمه.

Ukitazama utaona jina la Mungu limetajwa kama يهوه yaani YHWH na neno إله linalosomeka Iilha lipo in place of God. Nashauri usimame kwenye ukweli wakati wote. Uione hii Clever505
 
Hapa umedanganya, katika Arabic Bible Allah haitumiki in place of YEHOVA/YHWH. Allah inatumika in place of God kwenye baadhi ya Bible Versions.

Ieleweke kuwa KJV na SUV versions in Arabic wametumia "Iilha" in Place of God na sio Allah. Nimequote Isaiah 48:2 kwenye Arabic SUV Bible hapo chini.

إشعياء ٤٨: ٢ لأنهم يدعون أنفسهم من المدينة المقدسة، ويعتمدون على إله إسرائيل، يهوه اسمه.

Ukitazama utaona jina la Mungu limetajwa kama يهوه yaani YHWH na neno إله linalosomeka Iilha lipo in place of God
Asante kiongozi kwa ufafanuzi mzuri.
 
Sasa kiongozi una ushahidi wa uislam kuwepo kuanzia kwa Adam Kupitia mafundisho ya Muhammad, are you serious?
Muhammad ambaye yeye mwenyewe na jamii yake mzima hapakuwepo muislam hata mmoja Kisha anasema manabii wote walikuwa waislam unakubaliana nae? Au unao ushahidi wa Muhammad kuwa muislam kabla ya utume wake?

Kama ushahidi unao ambao ushahidi huo hautokani na Muhammad nipe nione. Ila kama ushahidi wako unatoka kwa Muhammad huo ni uongo.
Ushahidi unatoka kwenye Qur’an sio kwa Muhammad
 
Hapa umedanganya, katika Arabic Bible Allah haitumiki in place of YEHOVA/YHWH. Allah inatumika in place of God kwenye baadhi ya Bible Versions.

Ieleweke kuwa KJV na SUV versions in Arabic wametumia "Iilha" in Place of God na sio Allah. Nimequote Isaiah 48:2 kwenye Arabic SUV Bible hapo chini.

إشعياء ٤٨: ٢ لأنهم يدعون أنفسهم من المدينة المقدسة، ويعتمدون على إله إسرائيل، يهوه اسمه.

Ukitazama utaona jina la Mungu limetajwa kama يهوه yaani YHWH na neno إله linalosomeka Iilha lipo in place of God
Mimi nilichosema ni Allah inatumika kwenye Biblia ya kiarabu tu
 
Nami nnachosema haitumiki kama Jina la Mungu (YEHOVA) bali kama cheo yaani Mungu. Na sio kwenye matoleo yote Allah inatumika kwa maana ya Mungu kwenye Biblia za kiarabu maana kuna matoleo neno Allah halionekani kabisa kwa 100% mfano KJV na SUV.
 
Sawa lakini si kuna matoleo neno Allah linatumika?
 
Ushahidi unatoka kwenye Qur’an sio kwa Muhammad
Quran ni kitabu cha uongo kwa hiyo na ushahidi wake ni wa uongo.
Kitu pekee ambacho ni uhakika na hutaki kukubali ni kwamba uislam haukuwepo kabla ya Muhammad.

Haya naanza kujibu swali lako sasa,
Mi nakubali kabla ya Yesu hakukuwepo na watu wanajiita wakristo.
 
Umetaka ushahidi nimekupa unadai Qur’an ni kitabu cha uongo sasa wewe ulitarajia ushahidi nitautoa wapi😀😀😀

Qur’an ndiyo ninayoiamini mimi kwa hiyo imenipa ushahidi kuwa Uislamu ulikuwepo tangu Adam
 
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.

Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.

Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Islam is an identity and so is Christianity. Islam means submission to God and Christianity is the practice of being a follower of Jesus Christ (i.e., being a disciple of Jesus).

Kwa kifupi, hizi identities ni superficial labels za kutambulisha tu spiritual lives za watu. Hayo majina hayakupangwa na Mungu. Waislamu wangeweza kuamua kujiita Wacha Mungu na Wakristo kujiita Wanafunzi wa Yesu na hakuna kosa ambalo wangekuwa wamemtendea Mungu!
 
Back
Top Bottom