Hili ni jukwaa la Dini Mkuu, kuna watu wanapenda kujadili habari za imani na Dini:Hizi mada naonaga hata ni kupoteza muda bure tu kujadili.
Kwa nini tuthibitishe uislam wa mitume wa zamani kwenye kitabu cha Muhammad na si kwenye vitabu vyao hao mitume?Umetaka ushahidi umepewa ila kwa kuwa tayari kichwani una unachokiamini ndio maana unaanza kuongea bila hata ya hoja
Nikisema Ukristo umetungwa na wale walioandika Biblia wewe utasemaje?
Haaa 😁😁😁Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
😁😁😁 Hahaha though uislam na ukristo wote ni janja janjaIna maana hao wote walishaahadia
Ina maana hao wote kina Adamu,Nuhu,Abraham,Musa,Daudi,
Yesu wali shahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia walikuaje waislamu bila Shaada?
Wazolee
Hiki kizazi nyokooo 😁😁😁
Mtoa mada anauliza swali kama hiki ulichokisema kina ukweliWaislam tubaamini uislam ulianza na Adam, ukakamilika kwa Mtumeuhammad.
Na mitume wote walijazia maamrisho ya Uislam ndo maana kuna mitume mingi, yote imekuja kufundisha sehem ya Uislam (ukiacha kuswali)
Babu haujasoma mafundisho Yao wewe 😁😁😁Msingi wa swali langu ni namna nilivyojibiwa kuwa Adam,Ibrahim,Musa na Yesu walikuwa waislam kwa sababu walimuamini Mungu mmoja na mtume wake,kwa.maana nyingine walitamka shahada!
Swali linakuja kuwa walimuamini Mungu mmoja na mtume gani ilhali Mwamedi alikuwa hajazaliwa?
Nikisema Namshuhudia Mungu mmoja na Zumaridi ni mtume wake tayari nakuwa muislam?
Mimi situmii kitabu cha mtu kuthibitisha Uislamu wa hao mitumeKwa nini tuthibitishe uislam wa mitume wa zamani kwenye kitabu cha Muhammad na si kwenye vitabu vyao hao mitume?
Mitume inakujaga pale jamii inapopotoka kabisa,Mtoa mada anauliza swali kama hiki ulichokisema kina ukweli
So ilikuwaje Muhammad Alipaanza kufundisha watu kuhusu uislam hakuwahi kumkuta hata mtu Mmoja kuwa ni muislam
Kama uislam ulikuwepo before ya Muhammad to be born Je Kwanini Muhammad hakuwahi kumkuta hata muislam Mmoja kabla ya yeye kuanza kuutangaza uislam
Kama Imani ya uislam ilikuwepo before tena Kwa kuletwa na hao manabii walio tangulia kina Ibrahim kina mussa na issa manabii ambao walikuwa na influence kubwa huko nyuma means ni lazima Kuna masalia ya watu ambao Wana Imani ya kiislam ambao wangekuwa Bado wapo Wana amini hiyo dini , so mbona mpaka Muhammad anakuja kufundisha mafundisho ya uislam hapakuwa na mtu yoyote ambaye ni muislam hapo kabla ,
Maana history inasema mtu wa Kwanza kubadili dini ni bi- Khadija na abubakar , haya hao watu wakwanza walio tangulia kurithi uislam walio kuwa wame hubiriwa na kina nabii issa (yesu) na mussa etc walikwenda wapi !?
Kwanini bi- Khadija awe mtu wa kwanza kuwa muislam wakati uislam ulikuwepo tangu zamani kabla ya muddy kama mnavyosema !?
😁😁😁😁
Inafikirisha sana
Hizi dini ni utapeli mtupu
Jamii hata kama imepotoka haiwezekani jamii nzima asiwepo mnyoofu hata mmoja, historia ya uislam inaanzia kwa Muhammad tu.Mitume inakujaga pale jamii inapopotoka kabisa,
So wakati anakuja jamii ilikuwa imepotoka na ushenzi ulikuwa umetawala,
Lastly, tofauti kubwa ya Uislam wa zaman na wa Baada ya mtume ni swala tano.
Ukiangalia nguzo za Uislam zilikuwepo kabla ya mtume Muhammad kuja kama vile kumuanini Mungu mmoja, Kufunga (not Ramadhan), na Kutoa zaka.
So Uislam ulikamilishwa na mtume Muhammad ila watu walikuwa wnaapractise before that
Umeelewa mada vyema sana mkuu👋👏Mtoa mada anauliza swali kama hiki ulichokisema kina ukweli
So ilikuwaje Muhammad Alipaanza kufundisha watu kuhusu uislam hakuwahi kumkuta hata mtu Mmoja kuwa ni muislam
Kama uislam ulikuwepo before ya Muhammad to be born Je Kwanini Muhammad hakuwahi kumkuta hata muislam Mmoja kabla ya yeye kuanza kuutangaza uislam
Kama Imani ya uislam ilikuwepo before tena Kwa kuletwa na hao manabii walio tangulia kina Ibrahim kina mussa na issa manabii ambao walikuwa na influence kubwa huko nyuma means ni lazima Kuna masalia ya watu ambao Wana Imani ya kiislam ambao wangekuwa Bado wapo Wana amini hiyo dini , so mbona mpaka Muhammad anakuja kufundisha mafundisho ya uislam hapakuwa na mtu yoyote ambaye ni muislam hapo kabla ,
Maana history inasema mtu wa Kwanza kubadili dini ni bi- Khadija na abubakar , haya hao watu wakwanza walio tangulia kurithi uislam walio kuwa wame hubiriwa na kina nabii issa (yesu) na mussa etc walikwenda wapi !?
Kwanini bi- Khadija awe mtu wa kwanza kuwa muislam wakati uislam ulikuwepo tangu zamani kabla ya muddy kama mnavyosema !?
😁😁😁😁
Inafikirisha sana
Hizi dini ni utapeli mtupu
Wote walikuwa lazima waanguke chini(wapige magoti) na wakimuangukia Mungu mmoja tu.Hawa manabii waliitanaje kwenye swala?
Waliswali sala ngapi?
Walifunga?
Walikwenda kuhiji wapi?
Walitoa zaka?
Mwenye akili ilikuwaje Yesu yakamfika haya kuchukuliwa na Mwovu na kuwekwa juu ya mnara?.Muislamu yoyote anaye amini katika uislamu awezi kuwa na akili ....dini ya lugha ni uislamu pekee dini ya kweli ya mungu haiwezi kuwa kwa lugha moja...
Sasa shida ipo wapi hapo ...Yesu alikua anaonyesha njia kuu 3 ambazo shetana anazitumia kumwangusha mwanadamu ..ambazo niMwenye akili ilikuwaje Yesu yakamfika haya kuchukuliwa na Mwovu na kuwekwa juu ya mnara?.
3 Ibilisi akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, liambie jiwe hili liwe mkate.”
4 Yesu akamjibu, “Maandiko yanasema, ‘Watu hawataishi kwa mkate tu.’”
5 Kisha mwovu akamchukua Yesu na kwa muda mfupi akamwonyesha falme zote za ulimwengu. 6 Mwovu akamwambia, “Nitakufanya uwe mfalme wa sehemu zote hizi. Utakuwa na mamlaka juu yao, na utapata utukufu wote. Yote yametolewa kwangu. Ninaweza kumpa yeyote kadri ninavyopenda. 7 Nitakupa vyote hivi, ikiwa utaniabudu tu.”
8 Yesu akajibu, “Maandiko yanasema, ‘Ni lazima umwabudu Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake.’”
9 Ndipo Shetani akamwongoza Yesu mpaka Yerusalemu na kumweka mahali palipo juu katika mnara wa Hekalu. Akamwambia, “Kama wewe ni Mwana wa Mungu, jirushe!
Quran imetunga yenyewe jambo halafu unataka ushahidi nje ya quran au ndani ya quran!NABII NUHU, IBRAHIM, MUSA NA YESU
WALIKUWA WAISLAM
Quran 42:13
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
NABII IBRAHIM NA WANAWE YANI ISHIMAEL NA ISAKA WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
NABII YAAQUB NA WANAWE WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
Haya ndio maelezo ya Quran kitabu ambacho ni kiboko ya makafiri
Sasa kama wewe ni kidume vunja hizo hoja za Quran hapo zinazosema hao manabii na vizazi vyao wote walikuwa waislam
Weka ushahidi hapa kama walikuwa wakristo kama wewe au walikuwa na dini ya kiyahudi au kama walikuwa wapagani weka hapa ushahidi