Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Ili ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam

Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Kitabu chako kinasema hao manabii walikua wanakimbiza watu na majambia kuwatangazia dini ya amani?
Sisi tunaosoma Bible tunajua Mungu hajaanzisha dini yeyote hata Ukristo, dini ni namna ya kujitambulisha sehemu penye imani tofauti nyingi...kuna vitabu vya wengine vinasema Mungu wao alianzisha dini (sawa sibishani na wewe)
 

Attachments

  • Screenshot_20260107_223219.jpg
    Screenshot_20260107_223219.jpg
    124.3 KB · Views: 13
Nimekuletea ushahidi wa Biblia ya kiarabu bado unabisha

Aya lete wewe Biblia ya kiarabu tuone wanatumia Jina gani kumuita Mungu
Nimeweka screen shot hebu itafsiri hiyo Aya kama itakuja jina Allah. Ni Aya hiyo hiyo uliyonipa wewe
 
Back
Top Bottom