Unajuaje kwamba Mohamed aliongea na jibril? Yule kiumbe kule pangoni haku jitambulisha,aliyempa jina la jibril alikuwa mzee Waraq.
Mohamed alivyorudi nyumbani kwa Hadija alikuwa na hofu kubwa ,alidhani amekutana na jini . Akaomba mkewe amfunike na mashuka kitandani.
Mzee Waraq ndiye alisema yule atakuwa ni jibril ambaya alikutana na Musa hapo zamani. Ukisoma torati hakuna sehemu imeandikwa kwamba Musa aliwahi kutana na jibril.
Kama Mohamed asingepelekwa kwa Mzee waraq basi kuna uwezekano yule kiumbe angepewa jina lingine. Chanzo cha dini yenu kinatia mashaka sana, Mohamed alikutana na shetani aliyejifanya ni malaika .
Ukisema vitabu vyetu vime chakachuliwa basi mlaumu Allah ambaye alimtuma Mohamed kwetu kutuuliza kama ana mashaka.
Quran 10:94
Quran 5:47
Quran 47:53.

Mmedanganywa Kwa kuletewa dini ya uongo na Wazungu na Sasa mnadanganywa kuhusu uislam Ili muendelee kuwa misukule yao
Ngoja nikufundishe Ili usidanywe tena
First time malaika Jibril anakuja Kwa mtume alimkuta pangoni na alikuja na hizi Aya 5 za Quran
Quran 96:1 - Soma kwa jina la Mola wako Mlezi aliye umba,
96:2 - Amemuumba binaadamu kwa tone la damu,
96:3- Soma! Na Mola wako Mlezi ni Karimu kushinda wote!
96:4 - Ambaye amefundisha kwa kalamu.
96:5 - Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
Baada ya hilo tukio mtume akiwa hofu na kujiuliza maswali mengi kuhusu kilichomtokea pangoni
Mara ya pili Malaika Jibril akaja tena nyumbani Kwa mtume na hizi Aya
Quran 74:1 - Ewe uliye jigubika!
74:2 - Simama uonye!
74:3 - Na Mola wako Mlezi mtukuze!
74:4 - Na nguo zako, zisafishe.
74:5 - Na yaliyo machafu yahame!
Na Baada ya hapo Malaika Jibril aliendelea kuja Kwa mtume Muhammad Hadi Quran yote ikakamilika na Quran ilikamilika Kwa muda wa miaka 23
Inawezekana mtume Muhammad ndio Nabii aliyekutana na Malaika Jibril mara nyingi zaidi kuliko manabii wote
Sasa nyinyi jinsi mnavyodanganyana kana kwamba Baada ya Malaika Jibril kumtokea mtume Muhammad pale pangoni hakuja tena sio hivyo aliendelea kuja Kwa mtume Kwa muda wa miaka 23