G
guest-1788671453
Guest
Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani,
sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua
uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote!
Waafrika tunaroho mbaya sana,
waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana tunayo!
katika makuzi yetu sisi watu wa mipakani kule tulikua tukiamini kua warundi na wanyarwanda wanaroho mbaya sana kumbe tulidanganywa, mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana haijapata kutokea aisee
Mungu usikae kimya hakika