MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Damu ni nzito kuliko maji, huwezi sahau kirahisi!.
ww1 watu wamekufa zaidi ya mil 70 na story ishaisha wewe wahalifu 2 ndo unakuja kuandika uziNafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani,
sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua
uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote!
Waafrika tunaroho mbaya sana,
waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana tunayo!
katika makuzi yetu sisi watu wa mipakani kule tulikua tukiamini kua warundi na wanyarwanda wanaroho mbaya sana kumbe tulidanganywa, mtanzania ni mtu mwenye roho mbaya sana haijapata kutokea aisee
Mungu usikae kimya hakika
Amani ya ****** wa mamako,hivi nyie waseng€ mnatuonaje ? ,we mseng€ kilaza Una amani gani nchi hii shit hole ambayo uhai wa binadamu hauna thamani watu wanateswa ,kuuawa na kunajisiwa kila siku ? .Wengine hatujui maana na ukubwa wa kiapo anachokula Rais, amani imetufanya tushindwe kuziheshimu mamlaka.
Pia shibe inawasumbua vijana wa Kitanzania, wanachati kwenye simu zao wakiwa wanaucheua ugali waliomaliza kuula kwa amani kabisa.
Mungu apishie mbali balaa lile lisije tena kutokea katika ardhi ya Tanzania.
Walijazwa chuki ya mwaka mzima kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025.Mtajifariji sana lkn kikubwa Samia ndiye rais!!
Mseng€Huko makanisani tunapiga magoti ili vijana wanaoendelea kukua wawe wanapata uwezo wa kujifunza mengi ambayo yanachangia wao kuingia katika mikumbo ya kichochezi.
Ukimfuatilia Mange kwa ukaribu utagundua anawapa watanzania habari za udaku ambazo yeye mwenyewe hana uhakika nazo. Lengo lake kutengeneza mwitikio hasi wa mtanzania wa kawaida dhidi ya yote yanayofanywa na serikali.
Wale vijana siku ile walikwenda kupiga zile mali za watu ambao kwa muda mrefu walikuwa wakipewa taarifa potofu dhidi ya kile wanachokimiliki.
Kwa sababu aliwajaza chuki kwa muda mrefu akili zao hazikujiuliza mara mbili wakaenda moja kwa moja kufanya uharibifu. Uchochezi walioukuwa wakiusoma kwenye mitandao katika kurasa za Mange wakiutekeleza kwa vitendo kwa kuichoma nchi yao wenyewe!.
Huko makanisani tunaomba kila siku vijana waweze kuepuka kupokea habari za kichochezi, waweze kupata ajira ambazo zitawanyima muda wa kukaa bure na kupoteza muda kwenye habari za kishenzi za kina Mange na Maria.
Kuna yule kamanda wa police geita..Ilq ni ukatili wa kiwango cha sgr
Me nilisikia kabisa kwa police mmoja ananiambia oya mwanangu kaa ndani saizi order iliyotolewa ni shaba za kichwa TU
Hakuna tusi jipya chini ya jua, yote hayo yameshatukanwa kabla mama yako hajaenda leba akachanua miguu akautoa uchafu tumboni ambao ndio wewe.Amani ya ****** wa mamako,hivi nyie waseng€ mnatuonaje ? ,we mseng€ kilaza Una amani gani nchi hii shit hole ambayo uhai wa binadamu hauna thamani watu wanateswa ,kuuawa na kunajisiwa kila siku ? .
Tafuta tusi jipya usirudie kuandika yale yale ya zamani. Acheni kushinda mnapakua ujinga wa hao wachochezi wa California, tafuteni habari chanya itawasaidia kupunguza hizo hasira.Mseng€
Tumtegemee Mungu, ukisema litatutesa mpaka kaburini unasahau kuwa kule Uvira na Goma DRC kila mwaka wanauliwa vijana kuanzia laki moja na maisha yao yanaendelea kama kawaida.Hakuna anayeweza kusahau hili, iwe sisi watanzania waathirika, wale wauwaji wenyewe ama wale waliowatuma na machawa wao wanaowatetea wote hili litatutesa hadi makaburini mwetu
You infer a simple conclusionHuko makanisani tunapiga magoti ili vijana wanaoendelea kukua wawe wanapata uwezo wa kujifunza mengi ambayo yanachangia wao kuingia katika mikumbo ya kichochezi.
Ukimfuatilia Mange kwa ukaribu utagundua anawapa watanzania habari za udaku ambazo yeye mwenyewe hana uhakika nazo. Lengo lake kutengeneza mwitikio hasi wa mtanzania wa kawaida dhidi ya yote yanayofanywa na serikali.
Wale vijana siku ile walikwenda kupiga zile mali za watu ambao kwa muda mrefu walikuwa wakipewa taarifa potofu dhidi ya kile wanachokimiliki.
Kwa sababu aliwajaza chuki kwa muda mrefu akili zao hazikujiuliza mara mbili wakaenda moja kwa moja kufanya uharibifu. Uchochezi walioukuwa wakiusoma kwenye mitandao katika kurasa za Mange wakiutekeleza kwa vitendo kwa kuichoma nchi yao wenyewe!.
Huko makanisani tunaomba kila siku vijana waweze kuepuka kupokea habari za kichochezi, waweze kupata ajira ambazo zitawanyima muda wa kukaa bure na kupoteza muda kwenye habari za kishenzi za kina Mange na Maria.
Chawa hadhi yake ni uchafuni tu. UselessMtajifariji sana lkn kikubwa Samia ndiye rais!!
Kila mara majambazi wanapigwa risasi na kufa damu yao inalilia wapi?Unadhani anafuraha huko aliko? Vaa viatu vyake
Unadhani ile ilitazamiwa kuwa vile ilivyokuwa.
Una mfano Niwapi ilitokea yaliyotoke.
Unadhani historia itasomekaje katika enzi hizi za technology isiyoficha kitu.
Unadhani roho gani imepandikizwa ndani ya watu na italipuka lini?
Unadhani ndio kesi imekwisha hivyo.
Mambo haya ni magumu sana. Damu inalia damu ni mbegu inayoota Kwa fujo.
Never underate
Teh teh tehChawa hadhi yake ni uchafuni tu. Useless
Umelaaniwa na damu ya mwanadamu.Kila mara majambazi wanapigwa risasi na kufa damu yao inalilia wapi?
Wale wa tarehe 29 hawana tofauti na majambazi au magaidi.
Leo bado tupo Tanzania ni kwa sababu za hatua madhubuti kuchuliwa dhidi yao.
Wengine kila wakitaka kuingiza pua wanakumbuka ile picha ya oct 29 wanagwaya.
Huyu mama unyama alioufanya ilitakiwa yeye mwenyewe ajiue. Huwezi kuendelea kuishi kwa namna ulivyowauwa binadamu wenzako. Mpaka sasa hivi bado kuna picha zinaendelea kupostiwa za wahanga wa mauaji. Kuna moja dogo kapigwa ya kifuani anajitikisa mguu kuonyesha anakata roho, dah! Huyu mama acommit suicide mwenyewe tu, ndio atapata amani huko aendako
Na hiko kinamla mdogo mdogo
Basi serikali ingezubaa dakika mbili tu saa hizi ungekuwa upo njiani na mizigo Yako kichwani unakimbilia Rwanda au Burundi kujificha kuepuka machafuko ya hapo. Wale watu waliodhaminiwa na TEC na chadema walidhamiria kabisa kuchoma moto nchi hii. Penda Tanzania Yako kwani, nchi kama nchi Haina hatia kabisa.Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani,