.
Nilicho gundua pia Mimi natabia ya kuto kuogopa/ Huwa natii sheria bila shuruti ila Huwa sio muoga kupaza sauti au kumwogopa mtu/ watu hata akiwa Raisi au mtu mwenye mamlaka tabia ya kuto kuogopa huwaleteaga watu matatizo Mimi nalionaga kwangu ila tabia ya kuto igopa ni tabia mbaya sana..mfano prof. kapuya akiwa waziri wa ULINZI ana mtoto wake very notorious akawa ana mtendea ndivyo sivyo mshikaji mmoja hapo sikujua ni mtoto wa waziri wa ulinzi by then ile na mfuata jamaa akanishika kunikataza akanambia mwache huyo mtoto pendwa wa prof. Kapuya utaingia matatizoni
So tabia ya kuto ogopa inaweza kukuletea matatizo muda wowote . Ila ndio uanaumeee