Wewe Tahira1000% i agree Tanzania yote na dunia nzima inajua hilo, JPM has been out classed, out performed in just two years, nasema hadi Mama Samia akifikisha miaka 6 madarakani, aiseee tutaona makubwa sana, nasema ukweli 100% toka rohoni, moyoni na mwilini mwangu. Mungu amlinde sana huyu Mama yetu, hakika huyu ni Mama kwa vitendo. Eeehh Mwenyezi Mungu tusikie maombi yetu, Amen amen..!!
Kwa kweli amemzidi,mama wa watu hatulii mara Marekani mara uingereza mara Dubai mara Uarabuni kwa kweli kongole kwake
Ili wewe inaonekana dishi limeyumbaKama walikuwa kizini wakapata ajali sisi inatuhusu nini??
Maana raha walizokulwa huko sisi pia hazituhusu
Mimi nashangaa mikopo inakopwa na haijulikani inaenda wapiMIGODI YA MADINI INAUZWA KWA BEI CHEEE ,
WANYAMA WA MWITUNI WANAPANDISHWA MIDEGE KWENDA. UARABUNI SIJUI WATARUDI AU KWISHA HIYOOOOO
MIKOPO DAILY
MALIZIA
IMEBAKI MUDA TUUU NA WEWE HUUZWE
MAANA. NCHI IMEKWISHA UZWA
Basi ndio hata machiz wacha wamchezee si ni mama.Hakuna kama mama
Hata wewe pia ni Shetani.SIku nyingine ni vyema kulinganisha vitu vinavyofanana makundi.
Sasa ona unalinganisha kiumbe mtu na kiumbe shetani.
Joni ni kundi la shetani.
Za mwanzo aliuza nani?Tunamalizia kupiga bei mbuga zilizobakia
Iliyokopwa huko nyuma ulishawahi kuletewa?Mimi nashangaa mikopo inakopwa na haijulikani inaenda wapi
Likiyumba si ndio linashika chanel vizuri?Ili wewe inaonekana dishi limeyumba
Tumeziuza kwa royo tuwaZa mwanzo aliuza nani?
πππwe jamaaTumeziuza kwa royo tuwa
Waambie waweke wazi mkataba wa ile mizengwe.... Pesa wanakua jamaa na gharama za kwetu hadi baada ya miaka 3_ namba ya mwisho malizia mwenyewe.πππwe jamaa
Mizengwe gani?Waambie waweke wazi mkataba wa ile mizengwe.... Pesa wanakua jamaa na gharama za kwetu hadi baada ya miaka 3_ namba ya mwisho malizia mwenyewe.
We Utakuwa Dokta Shika.Mizengwe gani?
Asante,Kwenye kuruhusu matendo ya kifisadi na wizi.Γ
Tuliona .aendeleo ndio maana nikasema wewe ni zwazwa zombokokoIliyokopwa huko nyuma ulishawahi kuletewa?
Ma+viLikiyumba si ndio linashika chanel vizuri?
NaafikiKwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.
Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.
Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.
Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.
Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.
Jpili njema wadau