Wametufanya tuwe tegemezi kwao, mpaka leo tumekua dormant hatuwezi fanya kitu tunasubiri kuletewa na Wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa tegemezi ni sisi halafu bado tunawalaumu wao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wametufanya tuwe tegemezi kwao, mpaka leo tumekua dormant hatuwezi fanya kitu tunasubiri kuletewa na Wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyingine uje na ushahidi kuonyesha kama kweli Tanzania bado wanasubiri fedha za misaada. Tena utuoyeshe wapi waziri wetu wa fedha alifunga safari kuenda kuomba fedha za bajeti. Usifanishe misaada ya kijamii na misaada ya bajeti ya serikali.
Nachotaka kusema, hakuna binadamu mkamilifu, na ukitaka kulinganisha utawala wa kikoloni na utawala wa sasa wote wanamapungufu yao, lakini nakataa kama utawala wa sasa ni katili sana kuliko wa kikoloni. Kwa serikali iliyochaguliwa na wananchi wenywe huwezi kulinganisha na serikali ya mkoloni iliyojipa madaraka bila ridhaa ya mtu yoyote na inachukiwa maamizi nje ya nchi na kufaidisha watu wao wa nje.
Serekali ipi iliochaguliwa na wananchi?
Serikali iliyochaguliwa na watu zaidi ya Millioni 8, demokrasia ya kweli ni kuheshimu maamuzi wa watu wengi.
Demokrasia ya kweli !!! inayotokana na Policcm + TICCM + NECCM
Naona unapindisha maneno kweni hiyo mikopo tunayokopa huko si tunaomba wenyewe?Nimesikitika sana na watu wanaomuunga mkono mleta mada. Ama kweli kutokujua ulipotoka ni hatari. Mkoloni alifanya mambo yote kwa manufaa yake na aliua wengi sana. Hatuna cha kumshukuru mkoloni zaidi ya kumtupia lawama kwa uovu wake. Na kwa nyakati hizi mkoloni bado yupo akiwa kavaa koti la IMF na WB. Ni unyonyaji mtupu.
We historia halisi unaijuia au hio iliyochakuliwa tukilishwa uongo kwa faida ya watawalaKuhusu mada hii, wote waliozaliwa baada ya tarehe 9 December, 1961 hawajui historia ya huko nyuma wanakurupuka kama huyu mleta mada.
Ccm hata wewe unaweza kuwa ccm utafananisha vp na mkoloni?Naona unapindisha maneno kweni hiyo mikopo tunayokopa huko si tunaomba wenyewe?
Mkoloni aliyebaki ni CCM tusipindishe maneno
Mimi siwezi kuwa mwanaCCM
Sio huwezi bali hutaki, hivyo huwezi kufananisha mkoloni na ccm ambayo hata wewe ukitaka unaweza kuwa ccm.Mimi siwezi kuwa mwana ccm
Unacholazimisha ni nini mbona hueleweki.Sio huwezi bali hutaki, hivyo huwezi kufananisha mkoloni na ccm ambayo hata wewe ukitaka unaweza kuwa ccm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tuna viongozi wengi leo hij wanatawala bila idhini ya wananchi.hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Mkoloni alikuwa na mabaya yake lakini amefanya mengi mazuri na makubwa...miafrika mingi haina shukrani kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ile ina watu kama mie na wewe tu na ndiyo wenye kuunda ccm na si kwamba kuna jamii fulani huko ndiyo wamekuja kuunda hiyo ccm, ndiyo maana nasema hata wewe unaweza kuwa ccm kama walivyokuwa baadhi ya wanasiasa ambao walikuwa wakiipinga ccm ila sasa wamejiunga huko hivyo suala la ccm ni matatizo yetu wenyewe ni tofauti kabisa na ukoloni.Unacholazimisha ni nini mbona hueleweki.
Nishakwambia siwezi na sitakuja kuwa ccm.
Ccm ni mkoloni aliebaki Tz
Ccm ni sisi wenyewe watanzania ndiyo wenye kuunda ccm na ndiyo maana kule kuna watu ambao walikuwa wanaipinga ccm zaidi yako ila sasa wamejiunga ccm,hivyo ccm ni matatizo yetu wenyewe tusiizungumzie ccm kama dubwasha fulani hivi tusilolielewa au kundi la watu kutoka huko walikotoka na kuja kututawala kama ilivyo kwa wakoloni.Mkoloni no Bora kuliko hao Kenge unaowataja.
Siku hizi hawataki mtu agombee hata uongozi was Kijiji?
Sijui wanaogopa Nini,labda wanataka kuweka utawala was kichifu
Sent using Jamii Forums mobile app